akajasembamba
JF-Expert Member
- Dec 24, 2010
- 1,179
- 1,794
Umuhudumie mwanamke kwani ni mlemavu wa akili au mwili??!! Hudumia watoto na wazee, ukiona mwanamke anadai huduma ujue huyo yupo ktk BIASHARA YA NGONO kajificha ktk KICHAKA CHA MAPENZI, kama unamnunua sawa endelea, ila kumbuka siku ukipungukiwa hakuna penzi, wanawake wa kuhudumia ni wale wamama wa nyumbani per se, anakupikia na kukufulia 24/7, siyo hawa wa 50/50.Nauliza kwa wema tu, je kuhudumia mwanamke mkiwa kwenye mahusiano tena hujamuoa, ni lazima?
mwanetu anatoa buku 2 daily ila anaonekana takataka tu
View attachment 2649888
Mie nilimbwaga mwanamke aeti kakataa kuchukua nauli ya buku mbili.buku mbili kama buku mbili.
Sex in exchange of money is equal to prostitution......jiongeze apo sasa😀😀😀😀Nauliza kwa wema tu, je kuhudumia mwanamke mkiwa kwenye mahusiano tena hujamuoa, ni lazima?
mwanetu anatoa buku 2 daily ila anaonekana takataka tu
View attachment 2649888
zaman wanaume walikua wanahudumia madem zao wala hawakuona ni umalaya. Kizazi chenu ubahili umewajaa mnatafuta sabb za kukwepa mnaita umalayaSex in exchange of money is equal to prostitution......jiongeze apo sasa😀😀😀😀
Inategemea shem.Tena umeandika Kwa herufi kubwa.
Elfu mbili inatosha saana Shem.
Mwezi 60'000 usisahau hilo
Sent using Jamii Forums mobile app
Jiulize apart from sex what else can you offer kwa hao wanaume ili wakuhudumie.....😆😆😆😆zaman wanaume walikua wanahudumia madem zao wala hawakuona ni umalaya. Kizazi chenu ubahili umewajaa mnatafuta sabb za kukwepa mnaita umalaya
Usisahau pia wanawake wa zamani kwenye shida na raha atakuwa na wewe leo hii mwanaume mambo yakiyumba kazini umefukuzwa tayari hapo hakuna ndoa ishu kubwa wanawake wa sasa hamna uvumilivu mwanaume anathaminika mpaka awe na hela na ndio maana siku hizi wanaume tumekuwa makini sana swala la ndoazaman wanaume walikua wanahudumia madem zao wala hawakuona ni umalaya. Kizazi chenu ubahili umewajaa mnatafuta sabb za kukwepa mnaita umalaya
basi ukusanye uwe unampa 60 ya pamoja kila mwezi[emoji23][emoji23]
Sasa kuna tofaut kat ya mwanamke mwny stara zake na mdangaji. Huwezi pata mwanamke wa shida na raha unayemhudumia vyema akakuacha wakati wa shidaUsisahau pia wanawake wa zamani kwenye shida na raha atakuwa na wewe leo hii mwanaume mambo yakiyumba kazini umefukuzwa tayari hapo hakuna ndoa ishu kubwa wanawake wa sasa hamna uvumilivu mwanaume anathaminika mpaka awe na hela na ndio maana siku hizi wanaume tumekuwa makini sana swala la ndoa
ndo asiwe anampa kila siku,,aweke hata kwenye kibubu mwisho wa mwezi ampe😂😂😂Huenda ni day worker kibarua wa kulipwa kwa siku au weekly .
Kama kumuhudumia sio lazma ...Basi kufnye nae mapenzi sio lazima pia...[emoji3526]
Wanaume,
Kila siku nawaambia, acheni kudate na Wanawake waliowazidi UMRI.
Dogo hio sms inaonyesha kuwa una date na Retired war veteran, Bed to bed Midfielder ngono kante.
Be a Man, you deserve better.