Sister Abigail
JF-Expert Member
- Sep 2, 2020
- 4,817
- 14,925
Kwamba masufuria yakusifiwa ukipikia chakula hayashiki chini yanaitwa non-stick yametengenezwa na chemical na material amabazo zikikaa kwenye joto Kali sana la moto linaachia sumu sijui inaitwa Teflon ambayo huwa chanzo Cha kansa.
Kwa kuila ama kuivuta Kwa hewa. pia chanzo Cha matatizo ya hormone, figo na maradhi mengine
Watu wengi siku hizi wamhamia kwenye ukisasa, kupika ubwabwa Kwa rice cooker, Kuna pressure cooker zinarahisisha mapishi magumu ya muda mrefu, Kuna air fryer, na vingine to, lakini swali linakuja kwenye usalama wa hivyo vitu.
Vitu vingi vinavyolerwa Africa hasa huku Tanzania ni low grade ili tu kukidhi mahitaji ya soko la watu wa kipato Cha chini na kati.sio genuine. Nonstick ya Europe sio non stick ya mchina.
Mtu ananununua sufuria anaambiwa ni nani stick kumbe ni libati tu limekwa hizo kemikali uchwara akipenda kutumia mwezi mmoja tu linababuka,mbaya zaidi anaweza kula zile chemical asipokuwa makini.
Sufuria za bei ghali ila bado zinawababukia. Pia matumizi ya vitu vya plastic kwenye joto kali.wengi hatuna elimu.mtu anapikia mboga miiko ya silikoni ili kuzuia tu hizo sufuria zisibabuke,anaongeza tatizo.mtu anakuuzia sufuria uchwara halafu anakwambia utumie Miko ya silicone kupikia😊 just imagine?
Nikisoma mtandaoni wazungu wenyewe wanasisitiza usitumie non stick ni sumu, usitumie plastic na silicone zikishika joto ni sumu.
Sisi Sasa chopping board za plastic za mchina zimejaa kibao,makontena ya plastic tunafungia chakula Cha moto.
Nyinyi mnaonaje?