Je, ukweli ni upi kuhusu vyombo tunavyotumia Kwa chakula?

Je, ukweli ni upi kuhusu vyombo tunavyotumia Kwa chakula?

Tutafanyaje na ndio vyombo tunavyomudu.
Mabakuli ya plastic ya take away yamejaa kibao wauzaji wanafungia chakula humo
Huwezi epuka kabisa ila unaweza punguza madhara. Tumia plastic containers zenye label inasomeka "BPA free". Hizi zina afadhali. Pia epuka kuweka chakula cha moto sana kwenye chombo chochote cha plastic.
 
Kwa nchi masikini kama za Africa inawezekana kwa sababu tuna huduma duni sana za Afya ila kwa nchi zilizoendelea zenye hospitali bora watu wana life span kubwa tu pamoja na matumizi ya hivi vitu.
Hoja yako bado inahitaji mjadala mrefu, nchi zilizoendelea nyingi zina shida kubwa pia...
 
Back
Top Bottom