Monetary doctor
JF-Expert Member
- Oct 20, 2022
- 14,350
- 27,420
Nilimwona TikTok ana jiko limejaa hayo non stick kama zote,,Sidhani kama namjua
Nilimwona TikTok ana jiko limejaa hayo non stick kama zote,,Sidhani kama namjua
Vizuri tunavitaka Hela hatuna.Tatizo liko hapo kwenye uwezo.
NakubaliZina shida kubwa ila life expectancy nayo ni kubwa sana.
Yanapendeza sana kupikia.kila mwanamke mwenye uwezo anatamani kuwa nayo.ila Sasa hapo kwenye kuachia sumuNilimwona TikTok ana jiko limejaa hayo non stick kama zote,,
Ipo..vyungu hakunaMiiko ya mbao ipo bwana
Kula tu ama pika mwenyewe mkuuWale jamaa wanapika machapati makubwa kwanin wanatumia sponji kugeuzia Ile michapati Yao! Sio salama Ile sponji
Mkuu ni kweli madhara yapo Kila mahali.Haya maisha bana, ukiwa serious sana utateseka mno, kwani kabla ya hizo sufuria tumekula uchafu tani ngapi? Kuanzia kule mtaani, tuanzie kwenye mashine za kusaga, zile nyundo za kusagia mahindi kwa ni nini huwa zinaisha? Zinaongeza chuma kwenye unga?
Mkuu ni kweli madhara yapo Kila mahali.
Lakini kuchukua tahadhari tueleimishane na kupunguza mdahara japo kidogo Kuna ubaya?
Kama yapo yanayoepukika yaepuke.
Mbege kwenye bohoraNatumia mboriko , birika kwa chai na kipata kwa mbege kishwa c.c Makiwendo , zaishose Mtoto halali na hela
Nakutafuta auntHata ufanyaje
Haya upikie nini
Muda wa kufa ukifika utakufa tuuuuu
Nipo auntieNakutafuta aunt
Bwashee,comments zako lazima pombe ihusike!Natumia mboriko , birika kwa chai na kipata kwa mbege kishwa c.c Makiwendo , zaishose Mtoto halali na hela
Tumeishaa!Kwamba masufuria yakusifiwa ukipikia chakula hayashiki chini yanaitwa non-stick yametengenezwa na chemical na material amabazo zikikaa kwenye joto Kali sana la moto linaachia sumu sijui inaitwa Teflon ambayo huwa chanzo Cha kansa.
Kwa kuila ama kuivuta Kwa hewa. pia chanzo Cha matatizo ya hormone, figo na maradhi mengine
Watu wengi siku hizi wamhamia kwenye ukisasa, kupika ubwabwa Kwa rice cooker, Kuna pressure cooker zinarahisisha mapishi magumu ya muda mrefu, Kuna air fryer, na vingine to, lakini swali linakuja kwenye usalama wa hivyo vitu.
Vitu vingi vinavyolerwa Africa hasa huku Tanzania ni low grade ili tu kukidhi mahitaji ya soko la watu wa kipato Cha chini na kati.sio genuine. Nonstick ya Europe sio non stick ya mchina.
Mtu ananununua sufuria anaambiwa ni nani stick kumbe ni libati tu limekwa hizo kemikali uchwara akipenda kutumia mwezi mmoja tu linababuka,mbaya zaidi anaweza kula zile chemical asipokuwa makini.
Sufuria za bei ghali ila bado zinawababukia. Pia matumizi ya vitu vya plastic kwenye joto kali.wengi hatuna elimu.mtu anapikia mboga miiko ya silikoni ili kuzuia tu hizo sufuria zisibabuke,anaongeza tatizo.mtu anakuuzia sufuria uchwara halafu anakwambia utumie Miko ya silicone kupikia😊 just imagine?
Nikisoma mtandaoni wazungu wenyewe wanasisitiza usitumie non stick ni sumu, usitumie plastic na silicone zikishika joto ni sumu.
Sisi Sasa chopping board za plastic za mchina zimejaa kibao,makontena ya plastic tunafungia chakula Cha moto.
Nyinyi mnaonaje?
Chuma katika kiwango sahihi hakina shida mwilini, kwanza ni sehemu ya madini yanayohitajika mwilini.Haya maisha bana, ukiwa serious sana utateseka mno, kwani kabla ya hizo sufuria tumekula uchafu tani ngapi? Kuanzia kule mtaani, tuanzie kwenye mashine za kusaga, zile nyundo za kusagia mahindi kwa ni nini huwa zinaisha? Zinaongeza chuma kwenye unga?
Chamecha mangyi ya kanyi, Makiwendo aluriwie ngandeNatumia mboriko , birika kwa chai na kipata kwa mbege kishwa c.c Makiwendo , zaishose Mtoto halali na hela
Marahaba kwanini umekimbia kule?Nipo auntie
Shikamoo
Sawa meku 😂Tukore chao/kyao na nungu na tulye na wanji sawa secretarybird wa odiliiiiii