Je, ukweli ni upi kuhusu vyombo tunavyotumia Kwa chakula?

Kununua sufuria nzuri ni kama kufaulu form fo ya zamani 😂
Mimi ndio hata grade za masufuria sizijui. Hii thread nikirudi home nitampa wife simu aisome labda anaweza akaelewa yanayoongelewa hapa.

NB: badae mkiona comments zangu ambazo hazina tones za Natafuta Ajira katika hii thread mjue sio mimi
 
Mmefikia level ya kushare account ya JF, must be nice.

Wanaume wengi hawaelewi sufuria kwa kweli labda wale wanaopika (wapishi) Ni kazi ngumu sana kupata quality nzuri ya sufuria, mamsapu akikwambia amenunua sufuria laki 5 usimfokee , na zinaweza kumdissapoint vile vile.
 
Sufuria laki 5, hapo kwa kweli lazima anionyeshe risiti
 
Back
Top Bottom