Sister Abigail
JF-Expert Member
- Sep 2, 2020
- 4,817
- 14,925
Masufuria ya stainless steel ni salama?Chochote cha kiwandani kina kemikali ndio maana kansa ni nyingi Sana
Sio kwa asilimia 100 hasa yanapoanza kuchokaMasufuria ya stainless steel ni salama?
Tutapikia nini sasa jamani, turudi kwenye vyungu?Sio kwa asilimia 100 hasa yanapoanza kuchoka
Tunakula "forever chemicals" karibia kwenye kila kitu.Kwamba masufuria yakusifiwa ukipikia chakula hayashiki chini yanaitwa non-stick yametengenezwa na chemical na material amabazo zikikaa kwenye joto Kali sana la moto linaachia sumu sijui inaitwa Teflon ambayo huwa chanzo Cha kansa,Kwa kuila ama kuivuta Kwa hewa.pia chanzo Cha matatizo ya hormone,figo na maradhi mengine
Watu wengi siku hizi wamhamia kwenye ukisasa,kupika ubwabwa Kwa rice cooker,Kuna pressure cooker zinarahisisha mapishi magumu ya muda mrefu,Kuna air fryer, na vingine to.lakini swali linakuja kwenye usalama wa hivyo vitu.
Vitu vingi vinavyolerwa Africa hasa huku Tanzania ni low grade ili tu kukidhi mahitaji ya soko la watu wa kipato Cha chini na kati.sio genuine.
Nonstick ya Europe sio non stick ya mchina.
Mtu ananununua sufuria anaambiwa ni nani stick kumbe ni libati tu limekwa hizo kemikali uchwara akipenda kutumia mwezi mmoja tu linababuka,mbaya zaidi anaweza kula zile chemical asipokuwa makini.
Sufuria za bei ghali ila bado zinawababukia.
Pia matumizi ya vitu vya plastic kwenye joto kali.wengi hatuna elimu.mtu anapikia mboga miiko ya silikoni ili kuzuia tu hizo sufuria zisibabuke,anaongeza tatizo.mtu anakuuzia sufuria uchwara halafu anakwambia utumie Miko ya silicone kupikia😊 just imagine?
Nikisoma mtandaoni wazungu wenyewe wanasisitiza usitumie non stick ni sumu,usitumie plastic na silicone zikishika joto ni sumu.
Sisi Sasa chopping board za plastic za mchina zimejaa kibao,makontena ya plastic tunafungia chakula Cha moto.
Nyinyi mnaonaje?
Hazipunguzi life span ya mwanadamu ila zinazongeza matatizo mengi sana kwa binadamu kama cancer, kutahiri kinga ya mwili, obesity na kushusha kiwango cha akili.Ndio maana unakuta kijana yupo 30s na kazeeka, industrial products iwe vyakula au zana zina negative impact kubwa sana kupunguza lifespan ya mwanadamu.
Acha tu.Tunakula "forever chemicals" karibia kwenye kila kitu.
Kama zinaongeza matatizo na hasa maradhi, basi zinapunguza umri wa mtu kuishi. Usiwe mbishi Yoda!Hazipunguzi life span ya mwanadamu ila zinazongeza matatizo mengi sana kwa binadamu kama cancer, kutahiri kinga ya mwili, obesity na kushusha kiwango cha akili.
Tutafanyaje na ndio vyombo tunavyomudu.Ni kweli japo vinatofautiana ukubwa wa madhara. Vyombo vya kuhifadhia vya plastic, chupa za plastic, mifuko ya plastic ni hatari zaidi kwa afya yako kuliko hivyo vya chuma vya kupikia.
Kwa nchi masikini kama za Africa inawezekana kwa sababu tuna huduma duni sana za Afya ila kwa nchi zilizoendelea zenye hospitali bora watu wana life span kubwa tu pamoja na matumizi ya hivi vitu.Kama zinaongeza matatizo na hasa maradhi, basi zinapunguza umri wa mtu kuishi. Usiwe mbishi Yoda!
Miko ya mbao ipo.vyungu vimetowekaTurudi kwenye vyungu na miko ya mbao,,?
Mi najionea mtu ananunua sufuria set Kwa laki mbili Hadi tatu na bado zinambabukia.Kununua sufuria nzuri ni kama kufaulu form fo ya zamani 😂