Je, ulifika Third floor(30s) bila kuwa na familia? Hali ilikuwaje?

huyo bwana ana mwanaume wake wa ndotoni hataki kuolewa na kina sie pangu pakavu tia mchuzi, mwache asubiri apate anachokitaka, binafsi niliwahi kumfata private lkn hata kujuana tu alinitumia picha hizo una uhakika huyu sio yeye nikaachana nae ili mambo yasiwe mengi, na nilikuwa na nia nzuri tu juu yake, na sio huyo tu ila wanawake wengi walio humu ukiachia walioolewa waliobaki ni wale wachaguzi wa wanaume, nikikutajia majina mwenyewe utashangaa
 
kufungwa kivipi fafanua
 
she is too picky
 
30 huna mtoto,pole sana ila kwa mwanamke kuzaa 30plus au 35 plus ni risky my dear
 
Nimesoma comments zote za kufariji na zenye ukweli mchungu, nawashukuruni sana na naendelea kufatilia comments zote zingine zitakazoongezeka.
Kuna comments zinaumiza na kukatisha tamaa ila ndiyo dawaπŸ‘
Acha sindano iingie...πŸ™ŒβœŒοΈπŸ˜‚πŸ˜‚
 
Lakini mkuu hata wewe si umemchagua kwa kuwaacha wengine kwenye targets zako, sasa kuna ubaya gani na yeye asipokuweka kwenye targets zake 😁😁

Hata hivyo, kama ana tabia ya kubagua apunguze sana lakini asibebe kila kinachopumua
 
Aah mkuu why nitume picha siyo zangu Are you sure?, and why useme uliona tu siyo picha zangu inamaana ulikua na picha yako kichwani ama? Sawa watu tuna mapungufu but lawama zingine mtupunguzie jamani πŸ™†β€β™€οΈ

Factor ya uchumi haijawahi kuwa kikwazo kwangu as long as tunapendana, pesa zinatafutwa tu. Kuna watu walianza zero pamoja now wako somewhere.
 
Lakini mkuu hata wewe si umemchagua kwa kuwaacha wengine kwenye targets zako, sasa kuna ubaya gani na yeye asipokuweka kwenye targets zake 😁😁

Hata hivyo, kama ana tabia ya kubagua apunguze sana lakini asibebe kila kinachopumua
Nimekuelewa mkuu, thank you kiukweli am not that selective, binadamu tumeumbwa kwa mfano wa Mungu.
 
Nimesoma comments zote za kufariji na zenye ukweli mchungu, nawashukuruni sana na naendelea kufatilia comments zote zingine zitakazoongezeka.
Kuna comments zinaumiza na kukatisha tamaa ila ndiyo dawa[emoji122]
nakuomba sana mtu akija kwako kwa nia nzuri usimpuuze, nina uhakika umetukosa wengi tuliokuwa na nia nzuri na wewe, ila wengi wetu umetukatisha tamaa kabla hata hatujatangaza nia, ule wakati wa kujiona wewe ndio wewe ushakutupa mkono, kwa sasa kwenye suala la mahusiano fana kama unabeti tu waweza kushinda bingo ujishangae
 
Mh haya ahsante mkuu, but wakati wa "kujionana mimi kama mimi?" Haya ahsante and am sorry kama kuna mtu nilimpuuza pasipo hata kujua labda. Hatupaswi kupuuziana sisi wote viumbe wa Mungu.

Pia umejoin humu 2024 lini nilikupuuza?πŸ˜ͺ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…