Je, ulifika Third floor(30s) bila kuwa na familia? Hali ilikuwaje?

Je, ulifika Third floor(30s) bila kuwa na familia? Hali ilikuwaje?

1. Uchaguzi lazma kwa sababu watu waliozaa na watu ambao sio sahihi, msoto wake ni mzito kuliko kutokuwa na mtoto.

2. Watu hawaishi na 30's kwa maisha ya sasa, wapo wanaume wengi tu hawana ndoa wala watoto, kiufupi ishakuwa system mpya maana maisha yanatunyoosha kiuchumi

3. Presha ni kawaida kwa sababu almost kila mtu anatamani maisha flani hivi perfect , yakikosekana lazma upagawe. Ila usisahau pale unapokuwa desperate kama alivyo mtoa mada, uwezekano wa kufanya maamuzi ya hovyo ni rahisi sana. Hivyo, ajitulize na asiangalie alichopoteza kuliko alichobakiza. Akisema ajiforce na kuangukia usingo maza, watu wale wale wanaompa presha ndio watakaomkandia

Cha msingi ni furaha na amani kwanza, mengine ni majaaliwa tu ya Mungu mkuu
huyo bwana ana mwanaume wake wa ndotoni hataki kuolewa na kina sie pangu pakavu tia mchuzi, mwache asubiri apate anachokitaka, binafsi niliwahi kumfata private lkn hata kujuana tu alinitumia picha hizo una uhakika huyu sio yeye nikaachana nae ili mambo yasiwe mengi, na nilikuwa na nia nzuri tu juu yake, na sio huyo tu ila wanawake wengi walio humu ukiachia walioolewa waliobaki ni wale wachaguzi wa wanaume, nikikutajia majina mwenyewe utashangaa
 
Dunia ina mambo mengi na changamoto nyingi sana.

Kuna watu kutokuwa na mtoto au kuchelewa kupata mtoto haitokani na maamuzi yake, kuna nguvu ya tofauti inayolizuia/kuchelewesha hilo kuwezekana ukiachana na wale ambao wana changamoto za afya ya uzazi.

Sitaki niende kwenye hili sana kwa kuwa siwezi kulielezea vyema Donatila utanisaidia ufafanuzi mzuri.

Ni hivi kuna watu wamefungwa kupata wenza na watoto, wapo watu wana sifa zote nzuri lakini likija suala la kupata mwenza wa kudumu nae au kupata watoto ni mtihani mgumu. Na hii hali inawatesa wengi sana bila kujua.
kufungwa kivipi fafanua
 
Mada muhimu sana, hasa kwa wanaohitaji familia na watoto. Kwa personal experience, ukifika 30s lazima kengele ilie kichwani, lazima uhisi kuchelewa, tena ikiwa hujapata mtu 'sahihi' ndio msongo unaongezeka.

Kupata watoto kwenye mid 20s na early 30s ni vizuri zaidi kuliko mid 30s na early 40s, kupanga ni juu yetu lakini nature ndio inatuongoza, huna jinsi.

Muhimu, usiwe too desperate, tulia tafuta mtu sahihi (sio ili mradi), then halalisha maisha yaende, ukiwa too picky pia sio sawa.
she is too picky
 
Habari ya weekend great thinkers?

Maisha yananipa experience tofauti, Sikuwahi kufikiria kama ningefika third floor bila kuwa na familia wala watoto, kuna muda nahisi kupanic nahofia watoto wasije kuniita bibi badala ya mama, au kukosa kabisa sababu ya umri mkubwa[emoji848]

Enzi hizo nilikua nashangaa mtu hasa mdada unafikaje hadi 30s huna familia, aisee kumbe ni kweli now ni mimi mwenyewe.

Mlioanza familia mkiwa 30s je ni kweli au mnaona dalili za watoto wenu kuwaita bibi au babu? Vipi changamoto za uzazi sababu ya umri mkubwa?[emoji17]

Nipo tayari kwa comments zote.

Happy valentine's day in advance [emoji122][emoji3059]
30 huna mtoto,pole sana ila kwa mwanamke kuzaa 30plus au 35 plus ni risky my dear
 
Nimesoma comments zote za kufariji na zenye ukweli mchungu, nawashukuruni sana na naendelea kufatilia comments zote zingine zitakazoongezeka.
Kuna comments zinaumiza na kukatisha tamaa ila ndiyo dawa👏
Acha sindano iingie...🙌✌️😂😂
 
huyo bwana ana mwanaume wake wa ndotoni hataki kuolewa na kina sie pangu pakavu tia mchuzi, mwache asubiri apate anachokitaka, binafsi niliwahi kumfata private lkn hata kujuana tu alinitumia picha hizo una uhakika huyu sio yeye nikaachana nae ili mambo yasiwe mengi, na nilikuwa na nia nzuri tu juu yake, na sio huyo tu ila wanawake wengi walio humu ukiachia walioolewa waliobaki ni wale wachaguzi wa wanaume, nikikutajia majina mwenyewe utashangaa
Lakini mkuu hata wewe si umemchagua kwa kuwaacha wengine kwenye targets zako, sasa kuna ubaya gani na yeye asipokuweka kwenye targets zake 😁😁

Hata hivyo, kama ana tabia ya kubagua apunguze sana lakini asibebe kila kinachopumua
 
Aah mkuu why nitume picha siyo zangu Are you sure?, and why useme uliona tu siyo picha zangu inamaana ulikua na picha yako kichwani ama? Sawa watu tuna mapungufu but lawama zingine mtupunguzie jamani 🙆‍♀️

Factor ya uchumi haijawahi kuwa kikwazo kwangu as long as tunapendana, pesa zinatafutwa tu. Kuna watu walianza zero pamoja now wako somewhere.
 
Lakini mkuu hata wewe si umemchagua kwa kuwaacha wengine kwenye targets zako, sasa kuna ubaya gani na yeye asipokuweka kwenye targets zake 😁😁

Hata hivyo, kama ana tabia ya kubagua apunguze sana lakini asibebe kila kinachopumua
Nimekuelewa mkuu, thank you kiukweli am not that selective, binadamu tumeumbwa kwa mfano wa Mungu.
 
Nimesoma comments zote za kufariji na zenye ukweli mchungu, nawashukuruni sana na naendelea kufatilia comments zote zingine zitakazoongezeka.
Kuna comments zinaumiza na kukatisha tamaa ila ndiyo dawa[emoji122]
nakuomba sana mtu akija kwako kwa nia nzuri usimpuuze, nina uhakika umetukosa wengi tuliokuwa na nia nzuri na wewe, ila wengi wetu umetukatisha tamaa kabla hata hatujatangaza nia, ule wakati wa kujiona wewe ndio wewe ushakutupa mkono, kwa sasa kwenye suala la mahusiano fana kama unabeti tu waweza kushinda bingo ujishangae
 
Mh haya ahsante mkuu, but wakati wa "kujionana mimi kama mimi?" Haya ahsante and am sorry kama kuna mtu nilimpuuza pasipo hata kujua labda. Hatupaswi kupuuziana sisi wote viumbe wa Mungu.

Pia umejoin humu 2024 lini nilikupuuza?😪
 
Back
Top Bottom