Je, ulifika Third floor(30s) bila kuwa na familia? Hali ilikuwaje?

Je, ulifika Third floor(30s) bila kuwa na familia? Hali ilikuwaje?

wekeza kwenye oniline dating uko mbona wezenu wakenya wamechangamka sana Tatizo wanawake wa Ki Tanzania mnajiona mna akili sana na wazuri sana afu wengi wenu ni wajinga tu kuna yule dada anajita oniline dating assitance anawafundisha sana wanawake wa kibongo namna yakupata majunga ya kizungu jaribu kumtafta kwa umri wako huo kwa mzungu wew bado ni Binti mdogo sana hili liDunia ni likubwa sana bwana Maisha sio Tanzania tu.
 
Habari ya weekend great thinkers?

Maisha yananipa experience tofauti, Sikuwahi kufikiria kama ningefika third floor bila kuwa na familia wala watoto, kuna muda nahisi kupanic nahofia watoto wasije kuniita bibi badala ya mama, au kukosa kabisa sababu ya umri mkubwa[emoji848]

Enzi hizo nilikua nashangaa mtu hasa mdada unafikaje hadi 30s huna familia, aisee kumbe ni kweli now ni mimi mwenyewe.

Mlioanza familia mkiwa 30s je ni kweli au mnaona dalili za watoto wenu kuwaita bibi au babu? Vipi changamoto za uzazi sababu ya umri mkubwa?[emoji17]

Nipo tayari kwa comments zote.

Happy valentine's day in advance [emoji122][emoji3059]
Na nilikuomba nikuoe ukagoma [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Hawa wanawake wanaoolewa kwenye 30's huwa wanaolewa Na wanaume wa umri gani
Mwanamke ukifika 30s una nafasi ya kuolewa na mwanaume wa late 30s na kuendelea. Hawa wako wachache sana kwahio kama unajidai kuchaguq sana ujue una very limited choices. Wako wachache sana. Weka ego pembeni ukimpata mshikilie.
 
Na kwanini ionekane kama jamii kuharibika ni makosa ya wanawake na si matatizo ya wanaume kushindwa kuendana na hali halisi ya ulimwengu wa sasa, sikia bro hizo enzi za bibi zetu zilishapita na hakuna mwanamke ambaye atakuwa tayari kurudi huko hata dunia ibadili mzunguko wake, na nadhani hali halisi ya tunakoelekea umeshaanza kuiona wanawake wengi siku hizi hawajali tena kuhusu mitazamo ya jamii wanajali furaha yao kwanza

Kadiri mnavyozidi kuwatandika viboko ndivyo nao wanavyozidi kutafuta namna ya kuwa masugu ili visiwaumize na siyo kutafuta namna ya kuvikwepa, and trust me ikifikia hiyo hatua wanawake wote wakawa masugu basi wanaume mtashuhudia the worst era tangu dunia iumbwe, wanawake wameshachoka wao kutakiwa kusacrifice furaha yao kila siku kwa ajili ya wanaume kama mnaona ni rahisi anzeni ninyi kusacrifice furaha yenu halafu mje hapa tuongee lugha moja

So kilichobaki hapa ni either ninyi wenyewe wanaume ndio muanze kubadilika mkubali kucompromise au muendelee kulalamika hadi mwisho wa dahari, lakini wanawake hawatakubali tena kuendelea kuburuzwa na kuwa watumwa in the name of maadili sijui ustawi wa jamii hilo ni jukumu la jinsia zote, kama ninyi ndio mnaumizwa sana na uharibifu wa jamii basi tunategemea ninyi ndio muanze kubadilika siyo tena mzigo wote muwasukumizie wanawake tu
Mbeijing katika ubora wako.
 
Nimesoma comments zote za kufariji na zenye ukweli mchungu, nawashukuruni sana na naendelea kufatilia comments zote zingine zitakazoongezeka.
Kuna comments zinaumiza na kukatisha tamaa ila ndiyo dawa👏
Ishu sio uzuri dada yangu ishu ni thamani yako. Unaweza ukajiongezea thamani kwa kujifunza vitu vipya. Na kujipambania utoboe.
 
Factor ya uchumi haijawahi kuwa kikwazo kwangu as long as tunapendana, pesa zinatafutwa tu. Kuna watu walianza zero pamoja now wako somewhere.
hii kauli hii😀🙄
FB_IMG_17073863114622129.jpg
 
Back
Top Bottom