Dunia ina mambo mengi na changamoto nyingi sana.
Kuna watu kutokuwa na mtoto au kuchelewa kupata mtoto haitokani na maamuzi yake, kuna nguvu ya tofauti inayolizuia/kuchelewesha hilo kuwezekana ukiachana na wale ambao wana changamoto za afya ya uzazi.
Sitaki niende kwenye hili sana kwa kuwa siwezi kulielezea vyema
Donatila utanisaidia ufafanuzi mzuri.
Ni hivi kuna watu wamefungwa kupata wenza na watoto, wapo watu wana sifa zote nzuri lakini likija suala la kupata mwenza wa kudumu nae au kupata watoto ni mtihani mgumu. Na hii hali inawatesa wengi sana bila kujua.