Je, ulifika Third floor(30s) bila kuwa na familia? Hali ilikuwaje?

Je, ulifika Third floor(30s) bila kuwa na familia? Hali ilikuwaje?

Ng'ombe hazeeki maini,mwanamke kufika miaka 45 huna mtoto Kuna mawili kupata au kukosa kabisaa lkn mwanaume anapeta

Sasa we umezaa na umri mzuri kabisa unampa false hopes mwenzio. Azae haraka kashachelewa huyo. Mwanamke anawahi kuchoka sana kuliko sisi wa kiume. Yani kuanzia 30 mwanaume thamani inapanda sana sababu ndio tuko kwenye peak ya ujana na wahitaji familia wengi wanatazamia kwenye kundi hilo ila wenye chance ni wale walioko below 25 years. Mwanamke wa 30 years and above ni mzee.
Mwanaume ukifika 28 inatakiwa uwe umejipata na familia uwe nayo
 
Unasumbuliwa na mapokeo ya kijamii. Wanaotuzunguka wanatupangia kuo/kuolewa katika umri flani, kupata watoto, kazi nk...

Elewa kwamba ukienda tofauti na mapokeo ya kijamii hakuna baya litakalokukuta, ikiwa una sababu maalum.

Msongo wa mapokeo ya kijamii utakutesa kuliko hali unayopitia....
You spitted the right shit bro🤒
 
Speaking from personal experience..
When approaching 30s kweli pressure ilikua just sana. And I always had a vow kua nkifika 30 I'm gon have a family regardless of my financial status.
By 29, hakuna ramani ilikua inasoma. I told my girlfriend, darling, we need to have a baby,. Akashangaa. Nkamwambia, life ni tight, yes sina life poa sana but sasa hv ndo nina nguvu
Alikataa, baadae around 31 huko akakubali, kimbembe kikaja hakukua na mimba. Tried a whole year b4 bein succesful.
to be honest, with time you get used to it, but mtoto anakupa changamoto ya kupambana zaidi. Every day I wake up at 5 a.m and my little girl anakua macho pia, we have our moments n I leave kwenda kwenye harakati. Its a good feeling wouldn't trade it for nufn.
So financial services, don't sweat it. Cha muhim upate the right person, ul never feel like you are late, it will be a start to the best chapter of your life
Broh umemaliza [emoji120]
 
Back
Top Bottom