Je, ulifika Third floor(30s) bila kuwa na familia? Hali ilikuwaje?

Poleni sana mabinti,wakati wa MUNGU ni sahihi.pia nanyi msisubiri kufatwa binti changamka.
Mambo yamechemka huko nje noma sana.
Mtu anakufata unaanza kujizungusha mara sijui ufikirie na kumbe unamuelewa..eiish baby gal ni kubaya siku hizi,ukipata shikilia.
 

Kumbe kuna ushauri huwa unaubania au kunipigia simu ni ngumu kuliko kuandika insha Jf , arifu huu mwaka ni wa kusafisha contact list, kama unaona naelekea shimoni na upo kimya, hii ni redflag bro 😁😁
 
tatizo lenu ni ujuaji mwingi. Unakuta mdada anadate na wanaume 5 kwa wakati mmoja. alafu hapo hapo anakwambia anatafuta mwanamme wa kumuoa. huyo kama siyo chizi ni nani?
 
Kumbe kuna ushauri huwa unaubania au kunipigia simu ni ngumu kuliko kuandika insha Jf , arifu huu mwaka ni wa kusafisha contact list, kama unaona naelekea shimoni na upo kimya, hii ni redflag bro 😁😁
Wewe tatizo akili nafalsafa nyingi..unapenda kupindua pindua kila ulaoambiwa ulichambueeee
 
Wengi wanalisahau ila lipo sana, kuna laana, mikosi, vifungo n.k
Haya yanawatesa wengi na ni sababu kubwa pia ya wengi kushindwa kuwa na familia wakifika 30.
acheni kutengeneza imani zisizo na msingi. yaani mwanamme na mwanamke kuishi pamoja laana inatokea wapi?. tatizo dada zetu wanataka sherehe kubwa, mwanamme mwenye kazi nzuri, mwenye magari mengi na nyumba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…