Je, ulifika Third floor(30s) bila kuwa na familia? Hali ilikuwaje?

tatizo lenu ni ujuaji mwingi. Unakuta mdada anadate na wanaume 5 kwa wakati mmoja. alafu hapo hapo anakwambia anatafuta mwanamme wa kumuoa. huyo kama siyo chizi ni nani?
Sasa ujuaji unahusiana nini na mwanamke kuwa na wanaume watano, mwanamke siku zote hajui ni nani atakayemuoa kwa sababu ndoa haamui yeye sasa unataka awe na mwanaume mmoja huyo asipomuoa je, bora awe na zaidi ili asipoolewa na huyu anaweza akaolewa na yule je ni wanawake wangapi wanakuwa na mwanaume mmoja na bado hawaolewi wanaachwa vile vile
 
Ko ni kheri awe Kama Azam burudani kwa wote au sio??.
👉Madam Sasa si wata choka kwa style hio, maana vidume 5, sio mchezo😀🤣.

Ni kheri mmoja, kuliko wengi maana uta onekana msambaza huduma🙄
 
Wewe bado mteke kabisa.
 
Maybe this is different where you live. Most women I know waited until 30+ to have kids and they were fine. That is what I have seen in my own social circle. It is extremly common and normal.

25-27 is the most common university graduation age. So 30 is absolutely nowhere near too late to have kids.

Too old to do this or that is the exact same ideas that get many people into difficult situations they are not ready for. Fertility issues can happen at any age.

financial services , don’t sweat it, just take your life as it comes.
 
Kwahiyo mnadhani kudate na wanaume wengi ndo kutengeneza chances nyingi za kuolewa? Na Unadhani mdada anayedate wanaume 5 tabia zake zitakuwa sawa na mdada anayedate na mwanamme 1?
 
Walaka mzuri Sana, big up mkuu.
 
Kwahiyo mnadhani kudate na wanaume wengi ndo kutengeneza chances nyingi za kuolewa? Na Unadhani mdada anayedate wanaume 5 tabia zake zitakuwa sawa na mdada anayedate na mwanamme 1?
Huyo ni empty set, maana kaongea offside kabisa.,
👉Maana hawezi kuji funza kuishi na mtu 1, kwa maana versatility itakuwa kubwa.
 
SAwa. Ndio frustration hiz sasa kama tunavyoziona hapa.
 
Kwa mtazamo huu, basi dada zetu mna safari ndefu sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…