Panctuality
JF-Expert Member
- Jun 11, 2019
- 775
- 1,150
Ngoja nimalizie kula mihogo yangu hapa mgahawani kisha nisinzie na kulala,nikiamka nitajua third floor (30s) ni nini? Kama sio ghorofa ya 3.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahahahahaha..umetisha ..mwenye hela unapita naeit is very individual bhana. Sasa yeye ana malengo yake na mimi yangu yalikuwa hayo kwamba nikimpata mtu mwenye hela nalala naye mbelee😂😂
wengi wanatumia usemi wa mungu/shetani ili kuficha ukweliWanawake mumekalia Mungu Mungu tu most hoja zinazomtaja Mungu ni hoja ambazo hata Mungu mwenyewe anazichukia kwasababu huyo Mungu katoa miongozo ya kufanya sio kumlilia lilia yeye tu fanya Ptogress ukiwa unamtaja.
Mungu atakueretea kwa njia gani kimaajabu ajabu you need to work out to get that.
Ewaaaaaah yanini niteseke duniani na bado uhakika wa kwenda mbinguni sina?😂😂😂Hahahahahahaha..umetisha ..mwenye hela unapita nae
Ahahahah...kwan huko kwenu wenzetu bado mnasoma kizamani?? Mbona 24 ndio umeri wa kumaliza chuo?. Kiuhalisia mtoto anatkiwa kuanza shule darasa la kwanza akiwa na 5 years.Jamani miaka 24 si ni mwanafunzi huyo kabisa? Sema watu kwenye jamii bado wapo na mawazo yale ya zamani ambapo binti alikuwa hatakiwi kusoma. Lakini dunia sasa hivi imebadilik sana.
Ni kwa sababu nimeandika ukweli mchungu ambao hautaki kuusikia, na wanaume wengi hamtupendi wanawake tunaowaambia ukweli mnatuita majina yote ya ajabu mnayoyajua ninyi, halafu wengi wenu badala ya kujadili hoja huwa mnakimbilia kuleta ad hominem attacks tuHuyo ni empty set, maana kaongea offside kabisa.,
[emoji117]Maana hawezi kuji funza kuishi na mtu 1, kwa maana versatility itakuwa kubwa.
wewe umeolewa?Mkuu nimekuuliza swali hakuna wanawake wanaodate na mwanaume mmoja na bado hawaolewi wanaachwa, kama wanawake wanaodate mwanaume mmoja wangekuwa na tabia nzuri si mngekuwa mnawaoa sasa mbona wengi wanalialia kila siku kwa kuachwa, kama unaelewa masuala ya probability basi bila shaka utapata jibu la hilo swali lako la kwanza
Poa mkuuMkuu kwetu tuko 3 tu,
Mkuu fafanua kidogo tuna safari ndefu kivipiKwa mtazamo huu, basi dada zetu mna safari ndefu sana.
Kweli....?Broh umemaliza [emoji120]
Madam kutembea na wanaume 5 ni ukweli mchungu??, Au ndo ku declare umala...ya wenyewe🙄🤔.Ni kwa sababu nimeandika ukweli mchungu ambao hautaki kuusikia, na wanaume wengi hamtupendi wanawake tunaowaambia ukweli mnatuita majina yote ya ajabu mnayoyajua ninyi, halafu wengi wenu badala ya kujadili hoja huwa mnakimbilia kuleta ad hominem attacks tu
Sasa ujuaji unahusiana nini na mwanamke kuwa na wanaume watano, mwanamke siku zote hajui ni nani atakayemuoa kwa sababu ndoa haamui yeye sasa unataka awe na mwanaume mmoja huyo asipomuoa je, bora awe na zaidi ili asipoolewa na huyu anaweza akaolewa na yule je ni wanawake wangapi wanakuwa na mwanaume mmoja na bado hawaolewi wanaachwa vile vile
Labda miaka hii. Miaka ya nyuma hapo darasa la kwanza ni miaka 7.Ahahahah...kwan huko kwenu wenzetu bado mnasoma kizamani?? Mbona 24 ndio umeri wa kumaliza chuo?. Kiuhalisia mtoto anatkiwa kuanza shule darasa la kwanza akiwa na 5 years.
Na ndivyo familia yangu ita kuwaPoa mkuu
Kwanza ujue mimi nashangaa mnawaonea huruma wanawake kwa ajili gani, waacheni na ujinga wao yani wao wenyewe hawajionei huruma halafu ninyi ndio mnapoteza muda wenu kuwaonea huruma, kwani ninyi mna hasara gani wanaoumia si ni wao ninyi pigeni na kusepa tu msihangaike kuwaoaHawa viumbe hawajielewi, kikubwa ni kuwaacha wakomae na ujinga wao.
Uko vizuri mkuu, hahaha.Ndio nataka Dem ila tuanzie makumbusho.Hahahahahaha...maridadi mvuto kama zamaradi..apitapo maskani awape wana midadi...
Ila tuna boa🙄🤣😀Hampoi
Kwahiyo mnadhani kudate na wanaume wengi ndo kutengeneza chances nyingi za kuolewa? Na Unadhani mdada anayedate wanaume 5 tabia zake zitakuwa sawa na mdada anayedate na mwanamme 1?
Watano ni wastani mzuri.Na ndivyo familia yangu ita kuwa