Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
Mkuu una fahamu tendo la ndoa, sio kimwili na kiroho pia??.Hayo ya burudani kwa wote ni mawazo mliyoyatengeneza vichwani mwenu tu, kwani unaweza kunijibu mwanamke akiwa na mwanaume mmoja anafaidika nini, na akiwa na zaidi anapungukiwa nini physically