Je, ulifika Third floor(30s) bila kuwa na familia? Hali ilikuwaje?

wengi wanatumia usemi wa mungu/shetani ili kuficha ukweli
 
Jamani miaka 24 si ni mwanafunzi huyo kabisa? Sema watu kwenye jamii bado wapo na mawazo yale ya zamani ambapo binti alikuwa hatakiwi kusoma. Lakini dunia sasa hivi imebadilik sana.
Ahahahah...kwan huko kwenu wenzetu bado mnasoma kizamani?? Mbona 24 ndio umeri wa kumaliza chuo?. Kiuhalisia mtoto anatkiwa kuanza shule darasa la kwanza akiwa na 5 years.
 
Huyo ni empty set, maana kaongea offside kabisa.,
[emoji117]Maana hawezi kuji funza kuishi na mtu 1, kwa maana versatility itakuwa kubwa.
Ni kwa sababu nimeandika ukweli mchungu ambao hautaki kuusikia, na wanaume wengi hamtupendi wanawake tunaowaambia ukweli mnatuita majina yote ya ajabu mnayoyajua ninyi, halafu wengi wenu badala ya kujadili hoja huwa mnakimbilia kuleta ad hominem attacks tu
 
wewe umeolewa?
 
Madam kutembea na wanaume 5 ni ukweli mchungu??, Au ndo ku declare umala...ya wenyewe🙄🤔.

 
Ahahahah...kwan huko kwenu wenzetu bado mnasoma kizamani?? Mbona 24 ndio umeri wa kumaliza chuo?. Kiuhalisia mtoto anatkiwa kuanza shule darasa la kwanza akiwa na 5 years.
Labda miaka hii. Miaka ya nyuma hapo darasa la kwanza ni miaka 7.
Sasa 7 + 7+4+2+3 ni ngapi?
Na hapo nimepiga mitatu kwa kwa chuo japo kuna wanaosoma minne na mitano .
Na hapo ni kwa walioenda moja kwa moja bila kurudia darasa wala kupitia diploma.
 
Hawa viumbe hawajielewi, kikubwa ni kuwaacha wakomae na ujinga wao.
Kwanza ujue mimi nashangaa mnawaonea huruma wanawake kwa ajili gani, waacheni na ujinga wao yani wao wenyewe hawajionei huruma halafu ninyi ndio mnapoteza muda wenu kuwaonea huruma, kwani ninyi mna hasara gani wanaoumia si ni wao ninyi pigeni na kusepa tu msihangaike kuwaoa
 
Kwahiyo mnadhani kudate na wanaume wengi ndo kutengeneza chances nyingi za kuolewa? Na Unadhani mdada anayedate wanaume 5 tabia zake zitakuwa sawa na mdada anayedate na mwanamme 1?

mkuu yaelekea huelewi maana ya kudate ni nini ?

datting ni kama step ya kujuana na mtu. ni kama kufanyiana interview ya kuwa wanandoa.

interview hupaswi kumfanyia mtu mmoja pekee.. maana utakuwa unapoteza sana muda.

ni sahihi kabisa kwa mdada anayetafuta mume kudate hata na wanaume watano ndani ya muda mmoja. maana hajui nani ni sahihi kwake na nani ndie atamuoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…