Je, ulifika Third floor(30s) bila kuwa na familia? Hali ilikuwaje?

dating namaanisha mwanamke anamahusiano na wanaume 5 na wote analala nao kwa ratiba zake tofauti tofauti. Wewe unaona hii ni njia sahihi ya kutafuta mwanamme wa kumuoa?
 
Ni sahihi kabisa, si kila mwanamke anapaswa kuolewa. na asilimia kubwa ya wadada type yako ni either ni singo maza, feminist, umeolewa na kuachika au mahusiano yako hayana afya. Hapa najua nabishana na mwanamke ambaye ashaharibikiwa, huu ushauri siyo wako na katu huwezi kuuelewa.
 
Wewe tatizo akili nafalsafa nyingi..unapenda kupindua pindua kila ulaoambiwa ulichambueeee
Daahhhhh πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎ

Sasa brother nisichambue au kuchuja kitu nachoambiwa, sasa nitafanyaje maamuzi

Ila comment yako ni soft way ya kuniambia mimi ni mr. Right, Mr. never told, Mr siambiliki. Imenichoma sana moyo 😁
 

Hayo ya burudani kwa wote ni mawazo mliyoyatengeneza vichwani mwenu tu, kwani unaweza kunijibu mwanamke akiwa na mwanaume mmoja anafaidika nini, na akiwa na zaidi anapungukiwa nini physically
Wewe hufai kuwa mke wa mtu. Unaweza kusababisha mauaji.
 
Ahahahah...kwan huko kwenu wenzetu bado mnasoma kizamani?? Mbona 24 ndio umeri wa kumaliza chuo?. Kiuhalisia mtoto anatkiwa kuanza shule darasa la kwanza akiwa na 5 years.

mimi la kwanza nimeanza na miaka 7. na bado chuo nimemaliza nikiwa na miaka 23

elimu yetu miaka tunayotumia shule ni 7 + 4 + 2 + 3 = 16 years ukijumlisha na 7 yako ya toka kuzaliwa unamaliza chuo na 23
 
Labda miaka hii. Miaka ya nyuma hapo darasa la kwanza ni miaka 7.
Sasa 7 + 7+4+2+3 ni ngapi?
Na hapo nimepiga mitatu kwa kwa chuo japo kuna wanaosoma minne na mitano .
Na hapo ni kwa walioenda moja kwa moja bila kurudia darasa wala kupitia diploma.
Dooh!! Bas sijui ilikuaje na hiyo miaka ya nyuma labda iwe nyuma sana sio hiinya generation yako. Maana nimezaliwa the very late 80's na bado nimehitimu chuo at 24 yrs 2013
 
Wewe ni mdogo angu na unajua fika kaka yako siwez shindwa kulea mkeo na katoto kamoja viwili wewe ukiwa bado unajitafuta kama kisingizio ni maisha .maana ndio sababu pekee vijana watakuambia ukiwauliza kwann hawaanzishi family
 
Mkuu bora na wewe useme maana nikisema mimi naonekana nawatetea wanawake kuwa malaya, nimegundua wanawake wengi siyo kwamba wanapenda kudate wanaume zaidi ya mmoja ila wanaume wengi ndio wanawalazimisha, wanaume wenyewe unakuta kapanga msururu wa wanawake kibao na anajua kabisa hapo wote anawachezea tu hawaoi au ataoa mmoja tu sasa hao wengine anataka wafanye nini
 
dating namaanisha mwanamke anamahusiano na wanaume 5 na wote analala nao kwa ratiba zake tofauti tofauti. Wewe unaona hii ni njia sahihi ya kutafuta mwanamme wa kumuoa?

huo ni umalaya. kufanya tendo la ndoa kabla ya ndoa ni uhuni. hata kama unafanya na mwanaume mmoja.

mwanamke mwenye hofu ya Mungu na aliyefunzwa vizuri na wazazi wake huwa hafanyi mapenzi hata na mwanaume mmoja kabla ya ndoa

ukiona mwanamke anafanya mapenzi kabla ya ndoa hiyo tu ni red flag kwamba ni mzinzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…