Je, ulifika Third floor(30s) bila kuwa na familia? Hali ilikuwaje?

Mwanamke/mwanaume anaweza kudate watu zaidi ya mmoja kwa wakati mmoja, nadhani watu hawaelewi hii kitu, kudhani kwamba dating equals ngono ni kosa kubwa sana.

Sasa unadate vipi mtu mmoja wakati hujui yupi kati yao anaweza kuwa mume? Date as many men as you can(only potential husbands), kati yao utachagua yupi unaona anfaa kuwa mume, na katika hili tunasema mshurikishe Mungu. Katika dating weka ngono pembeni(kitu ambacho wengi hatuwezi) hadi pale utakapokuwa na uhakika kuwa Eroni is my man, sasa unadate wanaume wanne na wote unawapa papa jamani, that's umalaya.
 
Dada yangu ameolewa ana 35years na ana watoto. Nakumbuka Kuna mabrother pale mtaani walikuwa wananiambia "dada Yako anaonekana mkali sana Hadi unamuogopa"

Lakini siyo mkali, ni kuishi TU kimaadili (kimavazi, muonekano, matendo, etc).

Dada yangu mtoa mada usiogope. Sometimes wanaume hawakufati siyo kwasababu hawakuoni au hauna mvuto, ila kwasababu ya namna haiba Yako ilivyo inavutia zaidi high quality men na siyo wa kuonjaonja.
 
Zingatia hii@financial services mwamba katoa bonge la ushauri.
 
Uwiiii🤣😂
 
Kuna clip nimeiona yule dada wa EATV kaandaa event kwa ajili ya walio single kukutana siku ya Valentine day, siamini kama tumefika na huku Tz.Maana events kama hizi nchi za mbele wanao huduria wengi huwaga wanawake,wanaume huwaga hawa jitokezi kabisa,kwani wanaume tumeumbiwa kuwinda na si kuwindwa.
 
Tuki sema miss Amina hata Katie haina noma,
Nita Hakikisha Hakuna machozi Kama
Jude.

Sito subiri aseme ana kuja Kama sister p.
Mkubwa Tresor Mandala ata malizia, hahaha
Kuna real story life advise ilinitokea nimejikunja kuandika nikajua ita wa touch wengi na sikupenda ni be quotes na watu...

Nimeifuta aisee
 
Aahh kumbe muda wote nabishana na mtu mwenye mtazamo huu basi ningejua hata tusingefika kote huku

Mkuu wewe sasa ndio tunaongea lugha moja, binafsi huwa nabishana na wale wanaosema eti mwanaume akiwa na wanawake wengi hakuna madhara, ila kwa mwanamke yapo ndio nataka waniletee hapa hayo madhara hasa physical

Hata mimi mtazamo wangu ni huo huo kwamba kila mtu awe na mpenzi mmoja tu, sasa mwanaume ukishataka uwe nao wengi kwa visingizio vya kipumbavu hao wanawake nao lazima wakae mguu nje mguu ndani, maana wanajijua wapo wengi hivyo hawana uhakika wa kuolewa hapo
 
Ume someka vyema mkuu, itifaki izingatiwe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…