KakaJambazi
JF-Expert Member
- Jun 5, 2009
- 18,804
- 12,227
Inabidi asiwe anafanya matusi sasa.Usiogope kila mtu Mungu kampangia muda wake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inabidi asiwe anafanya matusi sasa.Usiogope kila mtu Mungu kampangia muda wake
Eeh si mme puliza filimbi, ndege tuje🤣🤣Mmejenga kiota kwenye uzi.
kama mtt wa tajiri mi namchagua regina 😄Uko vizuri mkuu, hahaha.Ndio nataka Dem ila tuanzie makumbusho.
Sio Leila yule miyeyusho.
Dada yangu ameolewa ana 35years na ana watoto. Nakumbuka Kuna mabrother pale mtaani walikuwa wananiambia "dada Yako anaonekana mkali sana Hadi unamuogopa"Habari ya weekend great thinkers?
Maisha yananipa experience tofauti, Sikuwahi kufikiria kama ningefika third floor bila kuwa na familia wala watoto, kuna muda nahisi kupanic nahofia watoto wasije kuniita bibi badala ya mama, au kukosa kabisa sababu ya umri mkubwa🤔
Enzi hizo nilikua nashangaa mtu hasa mdada unafikaje hadi 30s huna familia, aisee kumbe ni kweli now ni mimi mwenyewe.
Mlioanza familia mkiwa 30s je ni kweli au mnaona dalili za watoto wenu kuwaita bibi au babu? Vipi changamoto za uzazi sababu ya umri mkubwa?😔
Nipo tayari kwa comments zote.
Happy valentine's day in advance 👏🥰
Zingatia hii@financial services mwamba katoa bonge la ushauri.Dada yangu ameolewa ana 35years na ana watoto. Nakumbuka Kuna mabrother pale mtaani walikuwa wananiambia "dada Yako anaonekana mkali sana Hadi unamuogopa"
Lakini siyo mkali, ni kuishi TU kimaadili (kimavazi, muonekano, matendo, etc).
Dada yangu mtoa mada usiogope. Sometimes wanaume hawakufati siyo kwasababu hawakuoni au hauna mvuto, ila kwasababu ya namna haiba Yako ilivyo inavutia zaidi high quality men na siyo wa kuonjaonja.
Tuki sema miss Amina hata Katie haina noma,kama mtt wa tajiri mi namchagua regina 😄
Uwiiii🤣😂Mwanamke/mwanaume anaweza kudate watu zaidi ya mmoja kwa wakati mmoja, nadhani watu hawaelewi hii kitu, kudhani kwamba dating equals ngono ni kosa kubwa sana.
Sasa unadate vipi mtu mmoja wakati hujui yupi kati yao anaweza kuwa mume? Date as many men as you can(only potential husbands), kati yao utachagua yupi unaona anfaa kuwa mume, na katika hili tunasema mshurikishe Mungu. Katika dating weka ngono pembeni(kitu ambacho wengi hatuwezi) hadi pale utakapokuwa na uhakika kuwa Eroni is my man, sasa unadate wanaume wanne na wote unawapa papa jamani, that's umalaya.
Kuna real story life advise ilinitokea nimejikunja kuandika nikajua ita wa touch wengi na sikupenda ni be quotes na watu...Tuki sema miss Amina hata Katie haina noma,
Nita Hakikisha Hakuna machozi Kama
Jude.
Sito subiri aseme ana kuja Kama sister p.
Mkubwa Tresor Mandala ata malizia, hahaha
Nipe nishare mimi mkuu, huwenda tuta jifunza kitu🤒Kuna real story life advise ilinitokea nimejikunja kuandika nikajua ita wa touch wengi na sikupenda ni be quotes na watu...
Nimeifuta aisee
Mzee,View attachment 2901801
I hope mtoa mada, kuchelewa kuolewa haitokani na kumsubiria huyu mwanaume FALA wa mwisho
Aahh kumbe muda wote nabishana na mtu mwenye mtazamo huu basi ningejua hata tusingefika kote hukuMkuu sija wahi halalisha hicho kitu, sheria ni msumeno why ikate upande mmoja???.
Kama wote mko njia sahihi ni vizuri, na sio Eti mmoja ni royal Afu mwingine burudani kwa wote.
Masuala ya kiroho haya chagui jinsia au umri, ni Kama magonjwa je Yana chagua mgonjwa!!
Ili tuwe na jamii Bora, lazima wote tuwe committed.
Na masuala Kama haya ni matokeo mabovu ya misimamo ya mtu. Jadda
Niliandika Kwa hisia sanaNipe nishare mimi mkuu, huwenda tuta jifunza kitu🤒
Nita kukumbusha mkuu.Niliandika Kwa hisia sana
Nimefuta nikikaa nikatulia jion ntaandika nikutumie..
Powaaa mkuuNita kukumbusha mkuu.
Ume someka vyema mkuu, itifaki izingatiwe.Aahh kumbe muda wote nabishana na mtu mwenye mtazamo huu basi ningejua hata tusingefika kote huku
Mkuu wewe sasa ndio tunaongea lugha moja, binafsi huwa nabishana na wale wanaosema eti mwanaume akiwa na wanawake wengi hakuna madhara, ila kwa mwanamke yapo ndio nataka waniletee hapa hayo madhara hasa physical
Hata mimi mtazamo wangu ni huo huo kwamba kila mtu awe na mpenzi mmoja tu, sasa mwanaume ukishataka uwe nao wengi kwa visingizio vya kipumbavu hao wanawake nao lazima wakae mguu nje mguu ndani, maana wanajijua wapo wengi hivyo hawana uhakika wa kuolewa hapo