Je, ulifika Third floor(30s) bila kuwa na familia? Hali ilikuwaje?

Je, ulifika Third floor(30s) bila kuwa na familia? Hali ilikuwaje?

Habari ya weekend great thinkers?

Maisha yananipa experience tofauti, Sikuwahi kufikiria kama ningefika third floor bila kuwa na familia wala watoto, kuna muda nahisi kupanic nahofia watoto wasije kuniita bibi badala ya mama, au kukosa kabisa sababu ya umri mkubwa🤔

Enzi hizo nilikua nashangaa mtu hasa mdada unafikaje hadi 30s huna familia, aisee kumbe ni kweli now ni mimi mwenyewe.

Mlioanza familia mkiwa 30s je ni kweli au mnaona dalili za watoto wenu kuwaita bibi au babu? Vipi changamoto za uzazi sababu ya umri mkubwa?😔

Nipo tayari kwa comments zote.

Happy valentine's day in advance 👏🥰
Mi kinachonisumbua ni perfectionism ndo kinachonifanya nichelewe
 
Sasa kati ya mimi na wewe ni nani ameandika uongo niambie ni lini 'dunia nzima' ilipitia kwenye mfumo jike, wakati wote tunajua tangu dunia inaumbwa imekuwa katika mfumo dume (with the exception of some few inferior societies) hadi hivi sasa, halafu unajua hadi sasa hujajibu maswali yangu badala yake umeamua kutunga tu mada yako
Kwani ukiambiwa Dunia imepitia wakati fulani ni kwamba lazima iwe ni Dunia yote ?

Hakuna swali ambalo sijalijibu, labda useme hukutegemea kujibiwa maswali yako kwa ushahihi.

Mada gani ambayo nimeitunga ? Sababu bado nipo kwenye majibu ya maswali na nimeendelea kukuonyesha madhara ya mwanamke kuwa na Wanaume wengi, hii ndio nukta yako ya mzozo. Halafu unaandika uongo kwamba sijakujibu maswali yako ?

Swali gani ambalo sijakujibu ?
 
Sema hii tunawahukumu bure dada zetu sometimes sio kila anaemtafuta ana nia nzuri, kamamimi majuzi nilipata namba lengo langu wala sio niunge nae mahusiano ya kweli bali nipite tu(Mungu anisamehe) kwa kuwa bado sijamla namghairi.

Pia mambo ya uvumilivu aisee inataka moyo sana just imagine nina rafiki yangu wa kike alidate na mchizi jamaa ni chapombe kupindukia mixer kicheche sana na wala hajali kwa lolote, Je ni halali mwanamke aendelee kuvumilia ili tatizo? Mdada alishindwa akambwaga.

Sometime wanawake waangalie nao furaha yao sio tu kumfurahisha kila mtu eti kuhofia ya mbeleni, Mwisho ndoa na watoto ni mipango ya Mungu so unaweza force na usiipate.
Uko sahihi ndiyo maana nimesema unaweza kupata mwenza. Sijasema kila anayemtafuta mdada lazima awe mtu sahihi.
Na kama uko JF muda mrefu utagundua kila mdada humu ana kipindi chake cha ku kiki ama cha kufuatwa fuatwa PM kama vile ilivyo huku mitaani. Hicho ni kipindi Cha kuchagua mtu sahihi wa kufanya nae maisha iwe huko mtaani au humu.
 
Kwani ukiambiwa Dunia imepitia wakati fulani ni kwamba lazima iwe ni Dunia yote ?

Hakuna swali ambalo sijalijibu, labda useme hukutegemea kujibiwa maswali yako kwa ushahihi.

Mada gani ambayo nimeitunga ? Sababu bado nipo kwenye majibu ya maswali na nimeendelea kukuonyesha madhara ya mwanamke kuwa na Wanaume wengi, hii ndio nukta yako ya mzozo. Halafu unaandika uongo kwamba sijakujibu maswali yako ?

Swali gani ambalo sijakujibu ?
Sasa hizo jamii zilizopitia mfumo jike ni jamii ngapi na je zilikuwa na ushawishi kiasi cha kufanya mfumo jike ukubalike duniani, ndio maana nikasema tunapojadili hizi mada tuongelee wanaume au wanawake wa dunia nzima na siyo wa jamii fulani na dunia kwa ujumla wake inaendeshwa na mfumo dume haijawahi kuwa na mfumo jike, swali ambalo hujanijibu ulisema mwanamke kuwa na wanaume wengi ni habari na anadharaulika nikakuuliza mbona kwa wazungu siyo habari ni jambo la kawaida tu na hawadharauliki
 
Jadda une nikumbusha binti fulani, aisee alikuwa worth opponent.
👉Aisee hata waje 100, mta kalishwa iwe sahihi au sio sahihi😀😂
 
Yeah exactly mkuu wewe ndio umenielewa nini namaanisha, wanaume wangekuwa wanaoa wanawake wenye tabia njema kama wanavyojinadi humu basi tusingekuwa tunasikia malalamiko yao dhidi ya wake zao, lakini hata wewe unajionea hali halisi ya ndoa za siku hizi tena wanaume ndio wanaoongoza kwa kulalamika halafu mtu humu anakuja kutudanganya eti wenye tabia njema tu ndio wanaoolewa cc mkushite
Mwanamke kuwa na tabia mbovu kwenye ndoa haimaanishi hakuolewa kwasababu ya kuwa na tabia njema, wengi huja kubadilika baadae sasa mwanaume sio malaika kujus kuwa huyu atabadilika....YOU as women unachotakiwa ku note ni kuwa na tabia njema ukiwa kwenye mahusino Am tell you hata uwe na uso kama Hamorapa unakuwa na nafaimsi kubwa ya kuolewa.

Nachojaribu sema tabia njema tunayozubgumzia hapa ni ile iliyokupa tickets ya ndoa ukibadikika baada ya ndoa yes yeye bado ni binadamu si hoja iliyopo mezani
 
Back
Top Bottom