Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
Kila niki Soma hoja zako, naona Zina onyesha maamlaka.Haha yes nimepitia ila hilo halihusiani na hii misimamo yangu mkuu, inakera unabishana na mtu badala ya kuleta facts anakuja na mihemko wewe mwenyewe si umejionea hapo, mtu confidently kabisa anakutajia takwimu ambazo hajazifanyia utafiti mradi tu atetee uongo wake
Wapi niliposema mwanamke awe na wanaume wengi anakuwaje na wengi alafu aitwe Submissive...unajua maana ya kuji Submit.Duuh naona taratibu mnaanza kupunguza vigezo, kwahiyo sasa hivi sifa siyo tena kutulia na mwanaume mmoja, bali ni kuwa submissive tu kwa wanaume si ndio
Sijazungumzia umalaya, nimezungumzia umapepe maana ningekutolea mfano Mwajuma wa mtaani kwetu usingemjua kwenye mada hizi natafutaga mtu ambaye wote tutamjua....unapenda ku twist mfano ukupe mada.Yani wewe hapo unataka kuniambia kwamba unaweza kuoa mwanamke malaya, kwa sababu tu ni submissive kwako maana hizo sample ulizonitajia hapo, ni certified and chartered sluts na wanajivunia kabisa they do not care
Ukiona mwanaume anaoa mwanamke tabia zake zinaonelana nzuri kwenye jamii jua kwanza ametanguliza tabia za ndani ya mahusiano ndio aka angalia hizo za jamaii....Seems kwa ubongo wako nilivyokusoma nikisema mwanaume anaangalia tabia za ndani ya mahusaino kwako unatafsiri kuwa huyo mwaume haruhusiwi kuangalia tabia za nje zinazoonelana kwa jamii....tatizo hapa naona ni Critical Thinking.Halafu wanaume huwa mnapenda kuoa wanawake ambao tabia zao njema zinaonekana mpaka kwenye jamii, yani pale jamii inapowasifia ninyi ndio mnaona fahari sasa wewe ndio mwanaume wa kwanza, naona unasema eti unaweza kuoa mwanamke mwenye tabia mbaya kwenye jamii ila tu awe anakuheshimu.. pathetic!!
Ukiwa unasoma jitahidi kusoma na kuelewa, katika nukta ya kuhusu kushindana sijasema kushindana na mwanaume nimeandika kushindana na mtu, yaweza kuwa mwanamke mwenzako au kinyume chake.Na ndio tatizo lenu kudhani kwamba kila mwanamke anapofanya kosa basi anashindana na mwanaume, kwanini msichukulie tu kwamba kafanya kosa kwa sababu na yeye ni binadamu au mliambiwa mwanamke ni malaika hatakiwi kukosea, na wewe nakuuliza hili swali kama kweli wanawake wenye mwanaume mmoja ndio wanaolewa mbona huko kwenye ndoa malalamiko toka kwa wanaume kuhusu wake zao kuchepuka yamekuwa mengi sana
Naona bibie unaondoa umakini katika mjadala. Madhara gani ya kufikirika ? Kudharauliwa, kuchakaa, mizozo, msongo wa mawazo na mengine ni ya kufikirika ?Mimi nilikuambia unitajie hayo madhara ambayo yanaonekana unanitajia ya kufikirika tu, labda wewe ndio uniambie ni wazungu gani ambao kwao mwanamke kuwa na wanaume wengi ni habari, maana mimi najua kwa wazungu wote hilo jambo ni kawaida na siyo habari tena
Ukisaidiwa majukumu ndio dharau zinapoanzia, nyinyi wanawake mukipewa pima munataka shubili, Sina ujinga huoBora wewe umeamua kuwa honest mkuu good for you kama umeamua kuoa mama wa nyumbani na umekubaliana na changamoto zote za kuishi na mama wa nyumbani, wanaoweza kuoa corporate women waoe tu as long as nao wanakubali changamoto za kuishi na wanawake wa aina hiyo, shida inakuja mwanaume anataka mama wa nyumbani ila hataki kumhudumia au mwanaume anataka corporate woman halafu hapo hapo anataka atimize majukumu ya nyumbani
Kwani wewe jadda hutaki mume wa kukuweka ndani Na kukupelekea Moto Tu Na kumzalia?Bora wewe umeamua kuwa honest mkuu good for you kama umeamua kuoa mama wa nyumbani na umekubaliana na changamoto zote za kuishi na mama wa nyumbani, wanaoweza kuoa corporate women waoe tu as long as nao wanakubali changamoto za kuishi na wanawake wa aina hiyo, shida inakuja mwanaume anataka mama wa nyumbani ila hataki kumhudumia au mwanaume anataka corporate woman halafu hapo hapo anataka atimize majukumu ya nyumbani
Hii ni sheria yako... au ya nchi, au dini yako... au ni jamii yenu unayotokea?Mwanaume ukifika 28 inatakiwa uwe umejipata na familia uwe nayo
Sijawai fikiria kuoa mwanamke msomi hata niwe bilionea since hapo mke wangu wa kawaida na maisha yanaenda.Hawaogopwi wanapuuzwa,wangeogopwa wangekuwa wanavuliwa chupi hata na mabodaboda ?
Feminism ndiyo inayowaharibia hakuna kingine!
Wako kwenye kundi la wasiojielewa.Mi ninao Washkaji zangu wana 30+ hawana Mtoto wala Mke na fresh tu, sidhani kama wote wale hawana Akili timamu
Mkuu tabia huwa haijifichi mwanamke kama anamtreat mume wake vizuri au vibaya jamii lazima itaona tu hakuna cha tabia za ndani wala za nje, okay sasa kama mnaoa wanawake wanaojisubmit kwenu mbona malalamiko ya wanaume kwenye ndoa kuhusu wake zao yamekuwa mengi, kwa sababu kwa mujibu wenu ni kwamba kabla ya kuoa mnakuwa mshachunguza tabia za hao mnaotaka kuwaoa si ndioWapi niliposema mwanamke awe na wanaume wengi anakuwaje na wengi alafu aitwe Submissive...unajua maana ya kuji Submit.
Sijazungumzia umalaya, nimezungumzia umapepe maana ningekutolea mfano Mwajuma wa mtaani kwetu usingemjua kwenye mada hizi natafutaga mtu ambaye wote tutamjua....unapenda ku twist mfano ukupe mada.
Ukiona mwanaume anaoa mwanamke tabia zake zinaonelana nzuri kwenye jamii jua kwanza ametanguliza tabia za ndani ya mahusiano ndio aka angalia hizo za jamaii....Seems kwa ubongo wako nilivyokusoma nikisema mwanaume anaangalia tabia za ndani ya mahusaino kwako unatafsiri kuwa huyo mwaume haruhusiwi kuangalia tabia za nje zinazoonelana kwa jamii....tatizo hapa naona ni Critical Thinking.
Ukiwa unasoma jitahidi kusoma na kuelewa, katika nukta ya kuhusu kushindana sijasema kushindana na mwanaume nimeandika kushindana na mtu, yaweza kuwa mwanamke mwenzako au kinyume chake.
Bibie kumbe tatizo lako ni uelewa, nimeandika kiasili mwanamke ni wa mwanaume mmoja, na sijaandika mwanamke wa mwanaume mmoja ndio anae olewa.
Usiwe unajibu kitu ambacho hujakielewa, unanipa kazi mbili kwa wakati mmoja, ya kwanza kusahihisha ufahamu wako na kazi ya pili kujibu kile ulichopaswa ukielewe kwa usahihi. Kwa minajili hiyo hujakidhi vigezo vya kujadiliana.
Wewe naona unazunguka sana halafu hakuna cha maana ulichonijibu hadi sasa, yani umeamua kukwepa hoja kwa kufanya kama vile mimi ndio sijakuelewa, na ni mimi ndio nimetoka nje ya madaNaona bibie unaondoa umakini katika mjadala. Madhara gani ya kufikirika ? Kudharauliwa, kuchakaa, mizozo, msongo wa mawazo na mengine ni ya kufikirika ?
Kama unajua kipi kinachokushinda kuweka ushahidi.
Mimi nimekuonyesha ya kuwa jambo hili ni habari kwa wote na ndio maana athari hasi zimebakia pale pale miaka na mikaka.
Kumbukeni kuna swala la nguvu kupungua kuendana na umri. Sawa mtapata wanawake vijana ila kusaidiwa kutahusika.No stress
Ukisaidiwa majukumu ndio dharau zinapoanzia, nyinyi wanawake mukipewa pima munataka shubili, Sina ujinga huo
Kuliko kuwa na mwanaume wa aina hiyo heri nibaki single maisha yangu yote, kuna umri nilifika nikaanza kujisikia vibaya kuomba pesa hata kwa wazazi wangu tu sembuse kwa mwanaume, na pia siwezi kuwa na mwanaume anayedekadeka anataka afanyiwe vitu kama mtoto wakati nimempunguzia mzigo wa kunihudumia na anaona kabisa namsaidia majukumu yakeKwani wewe jadda hutaki mume wa kukuweka ndani Na kukupelekea Moto Tu Na kumzalia?
Ungekuwa serious usingeandika haya uliyo andika hapa. Ila kwakuwa haupo serious wacha nikwambie machache ambayo yatakusaidia.Na kwanini ionekane kama jamii kuharibika ni makosa ya wanawake na si matatizo ya wanaume kushindwa kuendana na hali halisi ya ulimwengu wa sasa, sikia bro hizo enzi za bibi zetu zilishapita na hakuna mwanamke ambaye atakuwa tayari kurudi huko hata dunia ibadili mzunguko wake, na nadhani hali halisi ya tunakoelekea umeshaanza kuiona wanawake wengi siku hizi hawajali tena kuhusu mitazamo ya jamii wanajali furaha yao kwanza
Kadiri mnavyozidi kuwatandika viboko ndivyo nao wanavyozidi kutafuta namna ya kuwa masugu ili visiwaumize na siyo kutafuta namna ya kuvikwepa, and trust me ikifikia hiyo hatua wanawake wote wakawa masugu basi wanaume mtashuhudia the worst era tangu dunia iumbwe, wanawake wameshachoka wao kutakiwa kusacrifice furaha yao kila siku kwa ajili ya wanaume kama mnaona ni rahisi anzeni ninyi kusacrifice furaha yenu halafu mje hapa tuongee lugha moja
So kilichobaki hapa ni either ninyi wenyewe wanaume ndio muanze kubadilika mkubali kucompromise au muendelee kulalamika hadi mwisho wa dahari, lakini wanawake hawatakubali tena kuendelea kuburuzwa na kuwa watumwa in the name of maadili sijui ustawi wa jamii hilo ni jukumu la jinsia zote, kama ninyi ndio mnaumizwa sana na uharibifu wa jamii basi tunategemea ninyi ndio muanze kubadilika siyo tena mzigo wote muwasukumizie wanawake tu
Analeta story za mtoto kususa kula, njaa ya usiku mwenyewe ataamka kula. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hilo zigo lend sisi halituhusu hauna maadili utajioa hakuoi mtu
Kwahiyo kwa maneno yako una maanisha kuwa mwanamke ni boksi, hana utashi wake?Ukiona mwanamke hakuheshimu basi ujue shida ni ww mwanaume ila because ww ni mwanaume uwezi kujiuliza ndio tatizo linaanzia hapo
Mwanamke ni kama Kioo, ukicheka kinacheka ukilia kinalia
Wanawake wa zaman hata ukizaa nje walikuwa hawana shida, wanabeba Mtoto anatulia
Mwanamke wa sasa ukizaa nje basi ujue mimba ijayo sio yako
Kumbe kuwa single mothers ni kitu mnachagua kwa hiyari yenu sasa mbona kwenye vyombo vya habari mkihojiwa huwa mnasema wanawake wananyanyasika sababu wanaume wanawapa mimba kisha kuwatelekeza?Amka mkuu zama za kuwatishia wanawake ndoa na kuitumia kama fimbo ya kuwachapia zinaelekea ukingoni wanawake siku hizi wameshaacha kutafuta furaha kwa wanaume wanaipata kwa watoto wao, fuatilia siku hizi wanawake kuwa single mothers imeshakuwa fashion wengi hawajali tena kuhusu matusi wanayotukanwa na 'jamii' (ambayo actually ni wanaume), matokeo yake wewe usipooa humkomoi mtu endelea kununua malaya fainali uzeeni mwanamke atabaki na watoto wake wewe utabaki na malaya wako
Si umeona nilichokiona mimi boss, maana nimeshtuka sana aisee nilichosoma hapo.They love being single mothers?[emoji848]
Atakuwa bado anakua huyo mtu ambaye amefika 30 hawezi ongea statement za kisekondari kama huyo.Kwako kutokuoa mwanamke asiye na maadili inamaana kutokuoa kabisa, wenye maadili wataolewa wewe baki na tabia zako mbaya jitetee nje kumbe ndani unaumia eti zama zimeisha.