Na kwanini ionekane kama jamii kuharibika ni makosa ya wanawake na si matatizo ya wanaume kushindwa kuendana na hali halisi ya ulimwengu wa sasa, sikia bro hizo enzi za bibi zetu zilishapita na hakuna mwanamke ambaye atakuwa tayari kurudi huko hata dunia ibadili mzunguko wake, na nadhani hali halisi ya tunakoelekea umeshaanza kuiona wanawake wengi siku hizi hawajali tena kuhusu mitazamo ya jamii wanajali furaha yao kwanza
Kadiri mnavyozidi kuwatandika viboko ndivyo nao wanavyozidi kutafuta namna ya kuwa masugu ili visiwaumize na siyo kutafuta namna ya kuvikwepa, and trust me ikifikia hiyo hatua wanawake wote wakawa masugu basi wanaume mtashuhudia the worst era tangu dunia iumbwe, wanawake wameshachoka wao kutakiwa kusacrifice furaha yao kila siku kwa ajili ya wanaume kama mnaona ni rahisi anzeni ninyi kusacrifice furaha yenu halafu mje hapa tuongee lugha moja
So kilichobaki hapa ni either ninyi wenyewe wanaume ndio muanze kubadilika mkubali kucompromise au muendelee kulalamika hadi mwisho wa dahari, lakini wanawake hawatakubali tena kuendelea kuburuzwa na kuwa watumwa in the name of maadili sijui ustawi wa jamii hilo ni jukumu la jinsia zote, kama ninyi ndio mnaumizwa sana na uharibifu wa jamii basi tunategemea ninyi ndio muanze kubadilika siyo tena mzigo wote muwasukumizie wanawake tu
Ungekuwa serious usingeandika haya uliyo andika hapa. Ila kwakuwa haupo serious wacha nikwambie machache ambayo yatakusaidia.
Unahisi wewe na hao wenzako ambao mnahisi mnashindana na wanaume mnamkoa nani zaidi ya kuteseka na kuishi kwa huzuni na upweke?
Wanaume hawalalamiki sababu hii kitu inawatesa wao ila ni huruma juu yenu wenyewe na pia kutazama ustawi wa jamii.
The worst that is yet to happen kwa jamii ya mwafrika ni yale yale yanayotokea mataifa ya kimagharibi huko (am not sure if unajua au kufuatilia kinachoendelea mataifa ya magharibi kwa sasa).
Furaha yako ni illusion uliyobeba kichwani ukidhani kila mtu anajali au upo entitled kupewa au kuona unachokitaka.
Sasa wewe ukizeeka ukachoka na ukawa na fatherless kids mimi kama mwanaume inanizuia nini kutafuta mwanamke younger than you ambaye hana mtoto tukaanzisha familia ?
Au wewe kuwa na kazi ambayo mapato yake hayatanisaidia tukiishi pamoja ina tofauti gani na nikiwa bila wewe?
The point is mkiharibu hii jamii kwa viburi, ego, utoto na uzembe wenu hasara itaanza watafuna ninyi kwanza.
Nakwambia hivi kwasababu mkilea watoto bila baba wakiwa majambazi nani atakuwa kwenye risk kubwa ya kushambuliwa kati ya mwanaume na mwanamke, si unakumbuka "Panya Road" habari yake, nani walikuwa wanakabwa kila uchao?
Haya tuje makahaba na Wadangaji, hawa watoto wa sasa hivi wa mwaka 2000 tu tazama wanavyovamia wanaume za watu rika za babu zao, nani ana athirika hapo si ninyi wanawake maana vibinti vinawazidi kete, dada wa mwakan1980 utakompete kimvuto na binti wa mwaka 2000 shughuli yake utaiweza?
Haya kulea watoto bila mwanaume, kodi, matunzo, gharama za utility ndani ya nyumba, zote utazibeba na bado mtoto akikua anasepa utabaki pekee yako nani aliyekwambia hiyo inamuathiri mwanaume kuliko mwanamke?
Upweke wa maisha bila mwenza wa maisha ni kichochezi kikubwa cha magonjwa ya akili na afya ya mwili kama kisukari, stroke, kiharusi kwa wanawake miaka hii, ulizia data za wataalamu ujifunze acha kuleta petty arguments hapa.
Wanawake single ndio mnaoongoza kurubuniwa na wanasiasa na kuchagua viongozi wa hovyo na hii inaathiri sana maendeleo ya jamii in the long run, fuatilia utajionea hizi tafiti zipo na zinasema ukweli?
Madhara ni mengi kuliko faida ila sababu unahisi ni ujanja kushindana, then "continue to Fuuck around then you will find out".