Sea Beast
JF-Expert Member
- Aug 5, 2022
- 2,212
- 4,808
Yaap Job na ishanikataa i go back to jobless againYou got what Buddha??, USI niambie ni job??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaap Job na ishanikataa i go back to jobless againYou got what Buddha??, USI niambie ni job??
Tunia vizuri ulicho pata, kunaeza kusogeza pengineYaap Job na ishanikataa i go back to jobless again
Yaap nitatumia mshahara as resource kingia field nyengine, nahitaji kuwa career man sio kuwa mtu wa natafuta kazi yeyetoTunia vizuri ulicho pata, kunaeza kusogeza pengine
😆😆 tako zuri ulilionea wapi mkuu? Sina kabisaMbona unaonekana kuwa una tako zuri sana dada?
Safi mkuu, nitafurahi ukienda extra mile.Yaap nitatumia mshahara as resource kingia field nyengine, nahitaji kuwa career man sio kuwa mtu wa natafuta kazi yeyeto
Yaap, familia mimi bado jobless lakini usije nikimbiaSafi mkuu, nitafurahi ukienda extra mile.
Big up, nakuombea ufanikiwe. hizi ndio ndoto kijana unatakiwa uwe nazo.Bongo kuna hela nyingi sana katika sekta ya viwanda Mengi, Bakhressa, Willy Tarimo na huyu ambaye anatambua sasa Mulokozi wote wamepiga hela kwenye viwanda. Ninasoma huku nikimaliza nije huko kufungua kiwanda nipige hela. Maisha ya huku hauwezi kuwa bilionea ikijitahidi sana utakuwa middle class. Ni rahisi sana kujidanganya umetoboa ukiwa ulaya maana unaweza ukasukuma Benz kwa mkopo. Ni vigumu sana kumiliki nyumba au apartment bei yake ni Mkasi sana.
NarudPamoja kwamba hakun kanuni kamili za maisha but the best things its good to start a family and have the first & second child before 30/31 is good baadae uzeen huko 50+ hamtoo kuw na Majukum makubwa
Kwahiyo kwa maneno yako una maanisha kuwa mwanamke ni boksi, hana utashi wake?
Yaani kujiheshimu kwann iwe matokeo ya mwenendo wangu mimi?
Kwahiyo mfano mimi akitokea binti akanibambikia kesi kuwa nilimbaka na akapata ujauzito yeye akienda nje akapata mimba kunirudishia halafu ikajaonekana baadae kuwa binti alinisingizia then akaniomba msamaha yeye atafuta vipi maamuzi ya kutoka nje ili kujibu shambulizi.
Huoni kuwa hizo ni akili za kipumbavu kabisa kwa mwanamke kuwa nazo?
Basi ndio maana siku hizi hawaolewi eti.
Ma jobless hatu kimbiani, mimi ndo raisi wenu jobless pro maxYaap, familia mimi bado jobless lakini usije nikimbia
Sasa jamani kupenda mbususu ni uhuni toka liniWe si muhuni ndio maana.
Kwa hiyo wewe unataka uishi vipi na mumeo ikiwa atakuruhusu ufanye kazi, hata kama hatotaka uchangie chochote kwenye familia? Mimi Kwa Kweli nimekukubali Na nitatii Amri yako utakuwa Amiri jeshi mkuu mama Samia.Kuliko kuwa na mwanaume wa aina hiyo heri nibaki single maisha yangu yote, kuna umri nilifika nikaanza kujisikia vibaya kuomba pesa hata kwa wazazi wangu tu sembuse kwa mwanaume, na pia siwezi kuwa na mwanaume anayedekadeka anataka afanyiwe vitu kama mtoto wakati nimempunguzia mzigo wa kunihudumia na anaona kabisa namsaidia majukumu yake
Mimi sio wa kupiga kijanja umri ushanitupa mkono hayo Mambo ya vijana Kwa sasaMmmmmmhmn bro mbona umekaza statement hivi au unataka kupiga kijanja?
Haya Ni matokeo ya ujuwaji mwingiNdio maana watu wanalala na kuwaacha unaendelea kuwa cha wote hadi uzee unakuvaa.
Jamani mumegundua kitu? Huyu jadda Ni mwanaume sio mwanamke I swear, I'm sure Ni mwanaume mark my wordsMkuu kwanza kabisa futa hiyo kauli kuwa wanaume wanalalamika kwa sababu ya kuwahurumia wanawake futa kabisa, HAKUNA mwanaume anayefanya jambo kwenye mahusiano kwa maslahi ya mwanamke narudia HAYUPO acheni kuwadanganya wanawake kwenye hili, ukiona mwanaume analalamikia jambo kwenye mahusiano ujue linamuumiza yeye ila ni vile tu huwa mnatumia kitu kinaitwa self serving reverse psychology trick ili ionekane kama vile mnawasaidia wanawake ili wafanye mnachotaka
Tuanze kwanza na hili kama mngekuwa mnawahurumia wanawake basi mngekuwa mmeshaacha kuwatongoza kwa lengo la kuwachezea lakini kwa bahati mbaya mkiambiwa hivi mnakimbilia kusema, "oo mwanaume hawezi kujizuia mwanamke akitongozwa ndiye anatakiwa akatae sababu yeye ndiye anayeumia zaidi" kitendo cha kutoa hiyo kauli maana yake hamna huruma kwa wanawake, kwa sababu kama ninyi mmeshindwa kujizuia mnategemea mwanamke aweze vipi kwani yeye ameumbwa na kitu gani special cha kumfanya ajizuie na majaribu na vishawishi kwani naye si binadamu
Tukija kwenye suala la ndoa waliosusa ndoa ni wanaume na siyo wanawake maana vinara wa campaign ya kataa ndoa ni wanaume na lengo la wao kufanya hivyo siyo kwamba hawataki ndoa kweli, ila wanataka eti kuwakomoa wanawake ili wajirudi wawe wife materials ndio waolewe sababu wanajua wanawake wako desperate na ndoa hivyo wako tayari kufanya chochote ili waolewe, sasa mimi ndio nawaambia kwamba hao walikuwa ni wanawake wa zamani hawa wa siku hizi ukiwasusia ndoa nao watatafuta njia ya kuwa na furaha bila ndoa they do not care
Kama ni upweke na matatizo ya akili haviwapati wanawake tu tena wanaume wakikosa wanawake ndio wanakuwa wapweke kuliko wanawake wakikosa wanaume na tukiangalia uhalisia wanaume ndio wanaihitaji sana ndoa kuliko wanawake, ila hawataki kuadmit kama nilivyosema wanatumia self serving reverse psychology trick ili kufanya ndoa ionekane ni muhimu kwa wanawake tu, ila ukiuliza huo umuhimu ni upi hasa ambao kwa mwanaume haupo hakuna jibu la maana utapewa lakini tukija kwenye uhalisia kisaikolojia wanaume ndio wanaihitaji sana ndoa kuliko wanawake
Ni kwa sababu wanaume huwa mnaitafuta furaha kwa wanawake na siyo kwa watu wengine au kwenye vitu vingine tofauti na wanawake ambao wao wanaweza kupata furaha toka kwa watu wengine kama watoto na vitu vingine kama pesa, ndio maana kwenye ndoa mke akizingua tu kidogo mwanaume anavurugwa akili na ni ngumu kumvumilia na kusamehe badala yake atatafuta furaha kwa mchepuko ambaye naye pia ni mwanamke, wakati mwanaume akizingua ni rahisi mwanamke kumvumilia na kusamehe na atatafuta furaha kwa watoto wake na watu wengine wa karibu au kazi au biashara yake
Wewe hujawahi kusikia huu msemo kwamba mwanaume kadiri anavyozidi kupata pesa ndivyo anavyozidi kutaka kuwa na wanawake wengi ila mwanamke anavyozidi kupata pesa ndivyo anavyozidi kutaka kujiweka mbali na wanaume, mkuu kwenye mahusiano au ndoa wanaume ndio mnapenda kupetiwa kubembelezwa na kauli kama "pole na uchovu mpenzi" sijui "karibu chakula mume wangu" na huwa mnategemea kuzipata toka kwa wanawake tu, na kuna wanaume seriously kabisa wanachepuka kisa tu hawapati romantic gestures kama hizo toka kwa wake zao wakati wanawake mara nyingi huwa hawajali kuhusu hizo gestures
Sasa unaposema kwamba utazalisha mwanamke halafu utamuacha awe single mother kisha utaoa binti mbichi una uhakika gani huyo binti ndio atakuwa decent na hatakusaliti unataka kuniambia wanaume wote wazee waliooa vibinti wanafurahia ndoa zao kuliko waliooa single mothers, na kama mnajua kuwa wanawake decent wapo sasa mbona malalamiko ni mengi kwamba siku hizi wanawake wameharibika si muwaoe hao hao wanawake mnaowaona decent ujue mkuu ifike mahali wanaume muache kuishi kwenye fantasies mje kwenye reality, mkubaliane na ukweli kwamba wanawake hawatarudi tena enzi za bibi zetu na huko tunakoelekea hali ndio itakuwa mbaya zaidi acheni kujifariji it is either ninyi ndio mkubali kucompromise au muendelee kulalamika hadi mwisho wa dahari
Jitahidini kumuelewa mtu mnaejadiliana nae otherwise mtakesha na hamtafikia muafaka.Jamani mumegundua kitu? Huyu jadda Ni mwanaume sio mwanamke I swear, I'm sure Ni mwanaume mark my words