Wewe naona unazunguka sana halafu hakuna cha maana ulichonijibu hadi sasa, yani umeamua kukwepa hoja kwa kufanya kama vile mimi ndio sijakuelewa, na ni mimi ndio nimetoka nje ya mada
Acha ujanjaujanja jibu maswali yangu hayo madhara uliyonitajia, yanamu affect vipi mwanamke moja kwa moja na yanamzuia vipi yeye kuolewa, na je una uhakika kwamba wanawake wote wanaoolewa wana mwanaume mmoja tu
Msingi wa hii hoja ulikuwa ni kusema kwamba mwanamke akiwa na wanaume wengi haolewi, kwahiyo hatuwezi kuukwepa msingi wa hii hoja ndio maana nikakuuliza na wewe hilo swali, au ulivamia tu mada bila kujua hoja ilipoanzia