James Comey
JF-Expert Member
- May 14, 2017
- 8,759
- 14,831
Jadda ni mwanamke kwa kuwa kasema yeye mwenyewe ila yeye ni type ya wanawake kama flani hivi kama yule Iron Butterfly au Judge Mfawidhi ambao uanamke wao hauko mbele ktk kuwakilisha mawazo yao. Yaani wao kuwa wanawake siyo karata inayoathiri mawazo au michango yao ktk baadhi ya mada.Jamani mumegundua kitu? Huyu jadda Ni mwanaume sio mwanamke I swear, I'm sure Ni mwanaume mark my words
Wewe naona unazunguka sana halafu hakuna cha maana ulichonijibu hadi sasa, yani umeamua kukwepa hoja kwa kufanya kama vile mimi ndio sijakuelewa, na ni mimi ndio nimetoka nje ya mada
Acha ujanjaujanja jibu maswali yangu hayo madhara uliyonitajia, yanamu affect vipi mwanamke moja kwa moja na yanamzuia vipi yeye kuolewa, na je una uhakika kwamba wanawake wote wanaoolewa wana mwanaume mmoja tu
Msingi wa hii hoja ulikuwa ni kusema kwamba mwanamke akiwa na wanaume wengi haolewi, kwahiyo hatuwezi kuukwepa msingi wa hii hoja ndio maana nikakuuliza na wewe hilo swali, au ulivamia tu mada bila kujua hoja ilipoanzia
MkuuJamani mumegundua kitu? Huyu jadda Ni mwanaume sio mwanamke I swear, I'm sure Ni mwanaume mark my words
Kweli mkuu Mimi mwanzo nilidhani Ni Hawa feminist kumbe jike dume bwana duhJitahidini kumuelewa mtu mnaejadiliana nae otherwise mtakesha na hamtafikia muafaka.
Sio Kweli mkuu huo muandiko wake Ni ushahidi tosha, Hakuna mwanamke anaeweza kuandika hivyo abadani hata kama hajazaliwa Wala kushushwa kutoka mbinguni, huyo Ni mwanammeJadda ni mwanamke kwa kuwa kasema yeye mwenyewe ila yeye ni type ya wanawake kama flani hivi kama yule Iron Butterfly au Judge Mfawidhi ambao uanamke wao hauko mbele ktk kuwakilisha mawazo yao. Yaani wao kuwa wanawake siyo karata inayoathiri mawazo au michango yao ktk baadhi ya mada.
Ni uongo mtupu Hakuna mwanamke wa Aina hiyo, Mimi sikuwa napingana nae Kwa chochote lkn ktk kujieleza ndio nimegundua hiloMkuu
Wewe pambana na hoja
Mbona unakimbilia kwenye jinsia yake?
Huyo ni mdada mrembo.
Si useme tu kuwa umeshindwa hoja Mkuu.Ni uongo mtupu Hakuna mwanamke wa Aina hiyo, Mimi sikuwa napingana nae Kwa chochote lkn ktk kujiepeza ndio nimegundua hilo
Ni dalili za kushindwa kihojaWanamgwaya mtoto mrembo tu huyo Jadda
Mmmmh huna kabisa tako ?😆😆 tako zuri ulilionea wapi mkuu? Sina kabisa
Incoming 💥Ma jobless hatu kimbiani, mimi ndo raisi wenu jobless pro max
Ndiyo mkuu sitaniiMmmmh huna kabisa tako ?
Kwahio unakalia mgongo?Ndiyo mkuu sitanii
Ko Kuna nini 😆🙄Ndiyo mkuu sitanii
For now my organization is in a complicated situation.Incoming 💥
Hahahahaha..siamini ingawa najua hutanii MkuuNdiyo mkuu sitanii
Acha kujitoa ufahamu mkuu, ni kipi kilichofanya udhani mimi mwanaume, kuna mwanaume humu anayeweza kukosoa maovu ya wanaume wenzieJamani mumegundua kitu? Huyu jadda Ni mwanaume sio mwanamke I swear, I'm sure Ni mwanaume mark my words
Shida una Wapiga spana Sana, Hadi Wana hisi labda ni mwenzao so una was provokeAcha kujitoa ufahamu mkuu, ni kipi kilichofanya udhani mimi mwanaume, kuna mwanaume humu anayeweza kukosoa maovu ya wanaume wenzie
Mkuu suala siyo kujibu tu suala ni kujibu majibu ya ukweli kwa sababu kujibu mtu yeyote anaweza akajibu tu kitu chochote hata kama ni cha uongo halafu naye akakuambia amejibu, nimekuuliza hayo madhara uliyonitajia yanamuathiri vipi mwanamke moja kwa moja unasema eti mwanamke kuwa na wanaume wengi ni habari nikakuuliza ni habari kwa nani mbona kwa wazungu siyo habari, pia msingi wa hoja ulikuwa kwamba mwanamke akiwa na wanaume wengi haolewi sasa kwa kuwa na wewe umeingilia mada nikakuuliza una uhakika wanawake wote wanaoolewa ni wale wenye mwanaume mmoja tu au ulivamia mada bila kuelewa hoja iliyoko mezaniBibie unapokosolewa kubali kukosolewa, sababu makosa yako yapo wazi sana, kiasi ambacho ukirudia kusoma ulichokoandika utaona hilo.
Uzuri umeandika na Mimi nimeandika. Rekebisha ulipokosea kisha ujenge hoja. Ulitaka madhara ya mwanamke kuwa na Wanaume wengi, nimekuonyesha. Sasa usipoteze muda kwenye hakuna.
Onyesha katika majibu yangu wapi sijajinu swali lako.
Labda nikuulize swali gani sijakujibu ?