Je, ulifika Third floor(30s) bila kuwa na familia? Hali ilikuwaje?

Je, ulifika Third floor(30s) bila kuwa na familia? Hali ilikuwaje?

System ndio hayo maisha, basic sisi tufanye ibada akatuwekea maisha ambayo yanachangamoto na akatuwekea udhaifu kama njaa na u jobless

Swali Zuri, nilishawahi kumwambia mtu watu tunakuwa kwenye dini fulani kwasababu tumezalowa kwenye imani hio ila kimsingi ukishota kwenye utoto ukiwa na akili inabidi ufanye tathmini ipi imani ya kweli Duniani, angalia imani zoote na misingi yake.

Mimi nimefanya hiki nikiringanisha na Dini zote dini nayoiamini nimeona ina misingi inayo make sense sana, mean hata nongezaliwa fsmilia ya dini nyengine ningekuwa Muslim.

Mungu kasema "Mungu kasema nimewaumba hili muniabudu"
Dah we jomba, acha niishie hapa.
👉Maana umemezeshwa vitu ambavyo ni vyepesi mno
 
ungekuwa angalau una hoja nzito ninge zijibu.
Nisha wahi kuwa na debate na shekhe mmoja mzuri Sana.

Lakini hoja unazo Nipa wewe ni myth stories, ambazo ume zikuta.
Na you don't have a free will upon them,
.usikute ndo wale mlikuwa mna chapwa fimbo ili muende madrasa!

But ili uelewe hivi vitu, you have to step out of that box kiddo.
 
Wapo wanawake wengi wameolewa na kupata watoto at 30S na ni kawaida kwa dunia ya sasa. Hivyo usihofu saana.
Cha msingi pata mtu sahihi kwako, muombe Mungu pia akusaidie upate mtu sahihi. Halaf kwa dunia ya sasa watu wengi wakizaa watoto wengi mwisho wawili hivyo kuanzisha famili kwenye 30s sio issue.
Ahsante sana mkuu, nimefarijika na hii comment
 
ungekuwa angalau una hoja nzito ninge zijibu.
Nisha wahi kuwa na debate na shekhe mmoja mzuri Sana.

Lakini hoja unazo Nipa wewe ni myth stories, ambazo ume zikuta.
Na you don't have a free will upon them,
.usikute ndo wale mlikuwa mna chapwa fimbo ili muende madrasa!

But ili uelewe hivi vitu, you have to step out of that box kiddo.
Sawa
 
Kwahiyo unataka upotoshe huku tunakuangalia tu!
Useme uongo tukuache

Nimekurekebisha,hizo ramli zako za jinsia yake zipo Chaka.
Ni mdada huyo,
Tafuta kisingizio kingine.
Basi chukuana nae mkamaluzane huko kwanza akili mnalingana sisi hatuna akili usitupigie kelele
 
Back
Top Bottom