Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
Dah we jomba, acha niishie hapa.System ndio hayo maisha, basic sisi tufanye ibada akatuwekea maisha ambayo yanachangamoto na akatuwekea udhaifu kama njaa na u jobless
Swali Zuri, nilishawahi kumwambia mtu watu tunakuwa kwenye dini fulani kwasababu tumezalowa kwenye imani hio ila kimsingi ukishota kwenye utoto ukiwa na akili inabidi ufanye tathmini ipi imani ya kweli Duniani, angalia imani zoote na misingi yake.
Mimi nimefanya hiki nikiringanisha na Dini zote dini nayoiamini nimeona ina misingi inayo make sense sana, mean hata nongezaliwa fsmilia ya dini nyengine ningekuwa Muslim.
Mungu kasema "Mungu kasema nimewaumba hili muniabudu"
👉Maana umemezeshwa vitu ambavyo ni vyepesi mno