Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
Dah we jomba, acha niishie hapa.System ndio hayo maisha, basic sisi tufanye ibada akatuwekea maisha ambayo yanachangamoto na akatuwekea udhaifu kama njaa na u jobless
Swali Zuri, nilishawahi kumwambia mtu watu tunakuwa kwenye dini fulani kwasababu tumezalowa kwenye imani hio ila kimsingi ukishota kwenye utoto ukiwa na akili inabidi ufanye tathmini ipi imani ya kweli Duniani, angalia imani zoote na misingi yake.
Mimi nimefanya hiki nikiringanisha na Dini zote dini nayoiamini nimeona ina misingi inayo make sense sana, mean hata nongezaliwa fsmilia ya dini nyengine ningekuwa Muslim.
Mungu kasema "Mungu kasema nimewaumba hili muniabudu"
SawaDah we jomba, acha niishie hapa.
👉Maana umemezeshwa vitu ambavyo ni vyepesi mno
ungekuwa angalau una hoja nzito ninge zijibu.Sawa
Ahsante sana mkuu, nimefarijika na hii commentWapo wanawake wengi wameolewa na kupata watoto at 30S na ni kawaida kwa dunia ya sasa. Hivyo usihofu saana.
Cha msingi pata mtu sahihi kwako, muombe Mungu pia akusaidie upate mtu sahihi. Halaf kwa dunia ya sasa watu wengi wakizaa watoto wengi mwisho wawili hivyo kuanzisha famili kwenye 30s sio issue.
Sawaungekuwa angalau una hoja nzito ninge zijibu.
Nisha wahi kuwa na debate na shekhe mmoja mzuri Sana.
Lakini hoja unazo Nipa wewe ni myth stories, ambazo ume zikuta.
Na you don't have a free will upon them,
.usikute ndo wale mlikuwa mna chapwa fimbo ili muende madrasa!
But ili uelewe hivi vitu, you have to step out of that box kiddo.
Akiwa wa kike utamwita nani?!Ahsante sana mkuu, nimefarijika na hii comment
Humu ndani wote tunaitana wakuu hata akiwa mbibi ni mkuuAkiwa wa kike utamwita nani?!
Nime maanisha mtoto wako wa kike wa kwanza madamHumu ndani wote tunaitana wakuu hata akiwa mbibi ni mkuu
Basi chukuana nae mkamaluzane huko kwanza akili mnalingana sisi hatuna akili usitupigie keleleKwahiyo unataka upotoshe huku tunakuangalia tu!
Useme uongo tukuache
Nimekurekebisha,hizo ramli zako za jinsia yake zipo Chaka.
Ni mdada huyo,
Tafuta kisingizio kingine.
Okay, hata sina majina labda nisubiri hadi akipatikana huyo mtoto ndiyo ntajua but atafata initial ya jina la baba ake mfano wewe unaitwa Intelligence basi mtoto jina litaanzia na I...🏃🙆♀️Nime maanisha mtoto wako wa kike wa kwanza madam
Aisee watu wanasema una tako zuri kumbe😆😆 tako zuri ulilionea wapi mkuu? Sina kabisa
Kwa hiyo nikiwa mume mie mzabzab basi tutamuita mwajumaOkay, hata sina majina labda nisubiri hadi akipatikana huyo mtoto ndiyo ntajua but atafata initial ya jina la baba ake mfano wewe unaitwa Intelligence basi mtoto jina litaanzia na I...🏃🙆♀️
Usidanganyike mkuu, sina kabisaAisee watu wanasema una tako zuri kumbe
Jinga kabisa😆🤣Kwa hiyo nikiwa mume mie mzabzab basi tutamuita mwajuma
Wasi kutishe, nyie ma slim curvy ndo favorite zetu 😆😍Usidanganyike mkuu, sina kabisa
Hahaa ataitwa hivo yes, mbona jina zuri tu hilo😆Kwa hiyo nikiwa mume mie mzabzab basi tutamuita mwajuma
Shida mi muoga wa kutongoza😆🤣, nita katika ulimi bure, kisa kuji ng'ata😆Okay, hata sina majina labda nisubiri hadi akipatikana huyo mtoto ndiyo ntajua but atafata initial ya jina la baba ake mfano wewe unaitwa Intelligence basi mtoto jina litaanzia na I...🏃🙆♀️
Unamaanisha ungemtongoza nani kama usingekua muoga?Shida mi muoga wa kutongoza😆🤣, nita katika ulimi bure, kisa kuji ng'ata😆
Anyone who is worth itUnamaanisha ungemtongoza nani kama usingekua muoga?