Je, ulifika Third floor(30s) bila kuwa na familia? Hali ilikuwaje?

Mashangazi? Nimeshakua shangazi mkongwe kabisa ila sawa tu yote maisha😪
 
SINA MAJIBU.
 
Kama una majibu, basi nijibu maswali yangu mkuu, wengine hatutafuti kupewa mabichwa humu
We umachagua kubishana, uliokuwa unajibizana nao wamekupa majibu.

Changamoto anayopata mwanamke anapokuwa na wanaume wengi ni ya kisaikolojia zaidi na inakuja hasa anapokuwa mtu mzima. Physically unayoitaka wewe ni jamii iliyostaarabika haitakuheshimu lakini hii nayo itakuathiri kisaikolojia. Utazuga upo sawa lakini ndani haupo sawa

Kawaulize wanasaikolojia au watu kama wachungaji wanaotoa huduma za ushauri. Kesi zao asilimia kubwa ni za wanawake na zinahusu zaidi mahusiano

Wanawake na wanaume kisaikolojia hatufanani hata kidogo japo unafosi tufanane

NB: siungi mkono mwanaume au mwanamke kuwa malaya
 
Yani unataka uniambie kwa mfano Beyonce tunajua yupo na Jay z, lakini hapohapo yupo katika mahusiano na Kanye West, Chriss Brown, Snoop Dogg, Dre, 50 cent, Eminem, etc, na Bado hao wazungu wanaona kitu cha kawaida.

Sijawahi kufika kufika huko lakini tuna mitandao, kawaongopee watoto wadogo.

Wanawake wenye wanaume wengi wapo tangu enzi na enzi, hata kwetu wapo Wala hautakuwa WA kwanza ukiwa hivyo
kwa lugha lahisi tunawaita Malaya au kwa lugha ya mtaani tunawaita "chawote" na nadhani unajua heshima wanayopata kwenye jamii

Au labda unazungumzia body count (kulala na wanaume wengi)? Yani Leo upo na huyu kesho unamwacha upo na mwengine a.k.a chawote kama kina wema sepetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…