Je, ulifika Third floor(30s) bila kuwa na familia? Hali ilikuwaje?

20-35 isizidi hapo mkuu ikizidi tu inakuwa mgogoro ndo unakuta baadae anakuja kuwa msimbe anaegawa kipochi hovyo πŸ˜…

Ni hatari nakuambia imagine hata mtoto hana hiyo ndo hatari nyingine

Cc Kasie

mzabzab nakuuzia kesi hii tafadhali.

Ukipata hadidu rejea tukutane Simba Kapakatwa tujadili vyakula vinavyorefusha kibamia 😁.
 
Ushaona uzwazwa haya kikongwe na hizo tongo tongo tazilamba🀣🀣
 
Dogo Jiheshimu basi πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

Cc Gily Gru toa ushauri
financial services sina cha kumshauri

Ila naamini kila jambo lina wakati wake, akiona umri unaenda hajapata mume atafute mtoto aendelee na maisha.

Sio kila mtu ana bahati ya kuolewa, unaweza kosa ndoa ukawa mama. The ioy of motherhood has nothing to do with being married. .
 
mzabzab nakuuzia kesi hii tafadhali.

Ukipata hadidu rejea tukutane Simba Kapakatwa tujadili vyakula vinavyorefusha kibamia 😁.
Hamna chakula kinarefusha kibamia bwana. Oya leo nina hamu na kande naomba unipikie
 
Sina maisha hata, elimu ya kawaida tu na ka CPA nimekapata juzi tu hapa, nipo kawaida sana Eve
Hako unakoita CPA ni kitu kikubwa.....

Kuna sista angu flani, nae kasoma soma hadi level hizo, alikua kwenye shirika flani lina jina tu.....nae ikawa sasa kupata mchumba kipengele.

Mahusiano yanaanza simu simu simu basi mchumba anakuja kuvisit tunapokaa. Mtu akija siku hiyo ni heka heka tutapikaaa tutapikaa ili mgeni ainjoin cha ajabu akiondoka harudi tena na simu zinakufa😁

Baada ya muda anatokea mwingine hivo hivo siku akija tunakua na heka heka za ugeniii cha ajabu akitoa mguu ndo bye sa sijui shida ilikua nini siamini kama alikua hajui kutoa kiasi cha kukimbiwa.

Anyway alivofika 42 kuna jamaa kajilipua wale jamaa wasiopenda heka heka awepo tu ndani kama samaki wa mapambo 😹 ndo kamuoa.

Saaa FS pambana pamban fosi fosi usifike floo ya nne
 
Inahuzunisha lkn Mungu asaidie tu, ila mimi ni kapuku na huenda ndiyo sababu, maana mtu akiona status ya maisha(ngumu) anahisi utakua mzigo, huwa najaribu kufikiria tu
 
Inahuzunisha lkn Mungu asaidie tu, ila mimi ni kapuku na huenda ndiyo sababu, maana mtu akiona status ya maisha(ngumu) anahisi utakua mzigo, huwa najaribu kufikiria tu
Ila mi sikuamini, kweli kupata mchumba ni ngumu kiasi hiki 🀣🀣🀣🀣

Au we ni kind ya wale wanawake upole A, heshima A usikivu A.
Ukiwa too nice napo ni changamoto.....


Pitia hicho kitabu ukipata nafasi
 
Hamna chakula kinarefusha kibamia bwana. Oya leo nina hamu na kande naomba unipikie

Vipo banaa na moja ya hivyo vyakula ni makande πŸ˜πŸ˜πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹.

Ndo maona huu ujumbe saa hizi, leo siwezi yapika ila wiki haiishi ntapika makande ya nafaka mbichi. Yaani maharage mabichi, mahaindi mabichi ntaweka chombeza ya carrots na njegere halafu ntaunga na nazi halafu ntatupia meatballs humo.

Natumai yatatoka makande remix na yatakuwa matamu. Hii ni ahadi na ishakuwa deni, ntaitimoza bila ajizi.

Wacha nikaripoti kule na ambavyo nimebarikiwa πŸ™‚.
 
Ahsante sana ntapitia hicho kitabu, mimi ni mpole sana
 
Inahuzunisha lkn Mungu asaidie tu, ila mimi ni kapuku na huenda ndiyo sababu, maana mtu akiona status ya maisha(ngumu) anahisi utakua mzigo, huwa najaribu kufikiria tu
Ninakushauri ishu maisha yako. Usifuate maneno ya wanasaikolijia kuhusu umri japo kila mtu ana tamanio lake. Wapo wenzio wana NDOA chungu sababu ya kuharakia ndoa. Mbaya zaidi ndipo unapoona Kuna uadui mkubwa kati ya single mothers na Wanaume kwa sababu mwanamke aliachwa / waliachana. Hivyo ingia ktk majukumu ya Kulea / ndoa ukitambua hilo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…