Je, ulifika Third floor(30s) bila kuwa na familia? Hali ilikuwaje?

Haya madini kama kaandika mtume Paulo vile, hongera kwa maono mkuu
 
Huyo sista ako alikuwa anawaomba wanaume hela 🤔 Evelyn Salt
 
Ushawahi kuwa kwenye mahusiano in your 20's, kama jibu ni ndiyo, kwenye hayo mahusiano nani alimuacha mwenzake financial services
 
Kivipi sasa natumai hata wewe ulichagua mwanamke wa kuzaa nae shida nini wao wakichagua mwanaume wa kua nao??

i don’t think kuna shida 🤔
Mwanaume si kama mwanaume,kuna umri mwanamke kuchagua nikuchelewa maana vigezo muhimu kwa wanaume vinakuwa vimepungua,mwanaume hata awe na miaka 70 anaweza kuoa binti wa miaka 20 lakini ni ngumu kwa mwanamke mwenye miaka 40 kuolewa na mwanaume mwenye miaka 30.

Mwanaume wa miaka 80 -100 afya yake ya uzazi inauhakika wa kuwa bora endepo tu hajashambuliwa na magonjwa yasiyo ambukizwa lakini mwanamke afya yake ya uzazi inaanza kuwa yenye changamoto kati ya 35-45.

Hivyo basi kuna umri wa mwanamke kuwa selective sana ukipita hapo kibali Ana na matokeo
 
Yeah! Kapo katoto ka moja mitaa around 22 kana kwambia kanakula ujana ni bandika bandua mara huyu nyaraka Yule nika mwambia majuto ameshafika chalinze subiri aingie kibaha
 
Nzuri sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…