financial services
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 17,776
- 42,402
- Thread starter
- #1,381
Kaongo wewe am sure hatupo pamoja😀Hapana namtia moyo by the way hayupo peke yake tupo pamoja
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kaongo wewe am sure hatupo pamoja😀Hapana namtia moyo by the way hayupo peke yake tupo pamoja
😁😁😁😁😁Kasongo mbona wewoooAhaaa nakusemelea😀
Tupo pamoja...siku nikiwa na huba Zito hutoniona hapa 😆Kaongo wewe am sure hatupo pamoja😀
Aisee sasa ntajuaje? Jua linazama hili🙄Usikute wa kwake alishamkataa kitambo sababu hana gari, nyumba wala kazi ya kueleweka.
Utaimba kasongo mobali nangai😀😀😁😁😁😁😁Kasongo mbona wewooo
Mbona libala eehUtaimba kasongo mobali nangai😀😀
Hapana King, nna wivu ntakua nalia kila siku😀 hivi unakua unapanga siku labda j3 to J5 kwa bibi mkubwa then alhamisi to sunday kwa bi mdogo, aisee 🙌Utauweza uke wenza mama...😅
Wivu wa nini sasa, utamu si ule ule tuHapana King, nna wivu ntakua nalia kila siku😀 hivi unakua unapanga siku labda j3 to J5 kwa bibi mkubwa then alhamisi to sunday kwa bi mdogo, aisee 🙌
Kasongo mbona wewo mbona wewoooo😀😀Mbona libala eeh
😁😁😁😁😁Kasongo mbona wewo mbona wewoooo😀😀
Tatizo ni kushare huo utamu ndiyo inauma🙄Wivu wa nini sasa, utamu si ule ule tu
Unakuwa na muda wako unafyonza hadi kanaishaaaTatizo ni kushare huo utamu ndiyo inauma🙄
Ila ipi nzuri? Jamaa awe anapiga kazi za nje kimya kimya au ahalalishe kabisa?Tatizo ni kushare huo utamu ndiyo inauma🙄
Bora za nje kimya kimya nisijue, ila kuhalalisha kabisa eti unajua mpo wawili, nyie inauma naweza lia kwa sauti😀Ila ipi nzuri? Jamaa awe anapiga kazi za nje kimya kimya au ahalalishe kabisa?
Hahahahah sasa kizuri utakulaje mwenyewe.Bora za nje kimya kimya nisijue, ila kuhalalisha kabisa eti unajua mpo wawili, nyie inauma naweza lia kwa sauti😀
Wewe unasema tu, tena wanaume ndiyo kabisa hamuwezi ,eti ujue kabisa babe wako kacheat aah mbona moto utwaka humo mdani, ila kwetu mnaona sawa tuHahahahah sasa kizuri utakulaje mwenyewe.
😂😂😂😂😂😂 Mwanaume ndiye anaweza kuwa na many chicks na anaitwa shababi ila mwanamke haruhusiwi kuwa na many dicks, atakuwa malaya direct.Wewe unasema tu, tena wanaume ndiyo kabisa hamuwezi ,eti ujue kabisa babe wako kacheat aah mbona moto utwaka humo mdani, ila kwetu mnaona sawa tu
You see, maisha hayako fair, coz zinazotumika na secret parts zile zile tu, why huyu aitwe shababi, mwingine mhuni🤔😂😂😂😂😂😂 Mwanaume ndiye anaweza kuwa na many chicks na anaitwa shababi ila mwanamke haruhusiwi kuwa na many dicks, atakuwa malaya direct.
We jaribu uone balaa lake, a man will always be a manYou see, maisha hayako fair, coz zinazotumika na secret parts zile zile tu, why huyu aitwe shababi, mwingine mhuni🤔
Kuwa na imani ktk Mungu, hakuna linaloshindikana kwa MunguAisee sasa ntajuaje? Jua linazama hili🙄