Je, ulifika Third floor(30s) bila kuwa na familia? Hali ilikuwaje?

Je, ulifika Third floor(30s) bila kuwa na familia? Hali ilikuwaje?

Hakuna mwanamme anayeweza vumilia kuishi na mwanamke aliharibika.

Na mwanamke aliyeaharibika, katu hawezi ficha tabia yake.
Hakuna wakati wapo kila siku wanalalamikia tabia za wake zao ila bado ndoa hawavunji unaishi sayari gani mkuu, sasa kama mwanamke hawezi kuficha tabia zake mbona mmesema kwamba kwenye uchumba wanaficha tabia zao ila kwenye ndoa ndio wanazionesha, mbona mnajicontradict wenyewe sasa kama hawajifichi maana yake huwa mnazijua tabia zao ila bado mnawaoa hivyo hivyo tu
 
Bibie ndio maana nakwambia haya mambo yana hitaji elimu na akili. Muoaji anajulikana.

Hivi mnafikiri mnaishi katika ulimwengu ambao sisi hatuishi ?

Hakuba kitu chepesi kushinda kurudi kwenye asili. Kiasili mwanamke ni wa mwanaume mmoja. Ukiwa na Wanaume zaidi ya mmoja ujue umetoka kwenye asili na uhalisia. Kurudi ni rahisi sana, acha tamaa, tumia akili kwenye maamuzi na sio hisia, ishi katika misingi sahihi, usishindane na mtu.
Na ndio tatizo lenu kudhani kwamba kila mwanamke anapofanya kosa basi anashindana na mwanaume, kwanini msichukulie tu kwamba kafanya kosa kwa sababu na yeye ni binadamu au mliambiwa mwanamke ni malaika hatakiwi kukosea, na wewe nakuuliza hili swali kama kweli wanawake wenye mwanaume mmoja ndio wanaolewa mbona huko kwenye ndoa malalamiko toka kwa wanaume kuhusu wake zao kuchepuka yamekuwa mengi sana
 
Mpaka Historia imeandikwa ujue jambo lilikuwa kubwa na taathira mbaya, sababu lilikuwa linaenda kinyume na uhalisia.

Naam jambo hilo lipo kwa Wanaume wa Dunia nzima, hao waliopitia mfumo jike waliendekeza tamaa na nguvu za kiutawala, ila wapo walio ona hilo kwa mapana makubwa na hawakulifumbia macho.

Kadhalika Kuna wakati uchache unawakilisha wote au wengi. Ndio maana madhara ya mwanamke kuwa na mwanaume wengi ni kwa Dunia nzima.

Kwa wazungu kadhalika habari, na mfano niliona kutolea ni kwa hao hao,

Labda utupe mfano wa wazungu gani jambo hilo sio habari kabisa ?
Mimi nilikuambia unitajie hayo madhara ambayo yanaonekana unanitajia ya kufikirika tu, labda wewe ndio uniambie ni wazungu gani ambao kwao mwanamke kuwa na wanaume wengi ni habari, maana mimi najua kwa wazungu wote hilo jambo ni kawaida na siyo habari tena
 
Wewe hizo takwimu umezitoa wapi mkuu, ikiwa karibu kila siku tunashuhudia harusi nyingi na wanawake wanaoolewa wengi wanajulikana tabia zao siyo nzuri, ujue tuache kuongelea fantasies tuongelee reality hapa mkuu
Madam wewe ujue huyu mwanamke Ana tabia mbaya lakini kaolewa ulikuwa kwenye mahusianonae kimapenzi??

Tabia hizi anazijua aliye kwenye Mahusinonae tu through pia mtu wa nje anaweza kuaona viashiria.

Tabia nayoizunguzia hapa ni ya mwanamke kwa mwanaume sio tabia ya mwanamke kwa jamiii mfano KUWA SUBMISSIVE KWA MWANAUME, Kila mwanaume anahitaji mwanamke aliyeji Submit kwake ni mwanaume tu ndio anajua huyu kaji Submit kwangu au laa na si mtu wa nje mwanaume yeyote aliye timamu ukiji Submit kwake uka mtreat kama mwanaume ukajua nafasi yako mwanamke kama Sub kwake, ukamuheshimu wewe lazima mwanaume atangaze nia kukuoa tu sasa mwanamke huyu mwenye tabia hizi nje anaweza kuwa kama GIGY MONEY, AMBER LULU nk wewe unachoona tabia zake za ki Gigy money huone tabia zake za ndani ya mahusiano jinsi huyi mwanamke anavyo mshemishu bwana wake, anampa nafasi yake, Ana muonesha utu na utulivu.

NB: nikisema mwanamke anaolewa kwa tabia zake si tabia anazozionesha kwa jamaii ndio maana kiwa Church Girl sio sifa ya kuolewa nk ila church girl wengi wana tabia nzuri swali nk je akiingia kwenye mahusiano anaji Submit kwa mwanaume.
 
Acha uchaguzii saanaaa....chances zinapungua sanaaa.....watu pia wanaisha ...utalea Serengeti boys....tafuta mtu kawaida tuuu malizana pambana watoto....avhana handsome six pack ujinga mwingi theories.....hao huwa hawapo pia wao wanafata simple girls ndio wanaoa...moto na moto huwa haviendiio
Nakazia mkuu. Watu wengi wana fake sana maisha, na maisha hasa ya Ndoa hayahitaji hivyo.
 
March 07 2024 naingia third floor nipo Ingolstadt Ujerumani currently nafanya Masters in Indutrial E gineering and Management na ninafanya kazi Kiwanda cha matairi cha Continental. Sijaoa wala sina mke huku lakini nimepata demu wa kijerumani kutokana na jitihada zabgu za kufanya kazi .Lakini sijui kama nitamwoa namfikiria. Nategemea kumaliza hii masters mwezi wa kumi maana nilianza mwaka jana mwezi wa tatu. NImejifunza mengi nataka nifanye kazi mwaka mmoja baada ya kumaliza hii masters nije kupiga hela nyumbani.
Nyumbani uje kufanya nini..? Umeshaishi bongo takribani miaka 30+ , Miaka mingine pambana huko.. uzae uijaze dunia..

Rudi bongo ukarogwe..
 
Nyumbani uje kufanya nini..? Umeshaishi bongo takribani miaka 30+ , Miaka mingine pambana huko.. uzae uijaze dunia..

Rudi bongo ukarogwe..
Bongo kuna hela nyingi sana katika sekta ya viwanda Mengi, Bakhressa, Willy Tarimo na huyu ambaye anatambua sasa Mulokozi wote wamepiga hela kwenye viwanda. Ninasoma huku nikimaliza nije huko kufungua kiwanda nipige hela. Maisha ya huku hauwezi kuwa bilionea ikijitahidi sana utakuwa middle class. Ni rahisi sana kujidanganya umetoboa ukiwa ulaya maana unaweza ukasukuma Benz kwa mkopo. Ni vigumu sana kumiliki nyumba au apartment bei yake ni Mkasi sana.
 
Sawa mkuu.. uchukuwe na kadi ya chama..
Maana biashara nyingi kubwa figisu hazikosekani pamoja na umafia..
Kauli za wanasiasa ndio sheria..
Uki2a kama mwekezaji mkubwa mtarajiwa hapa bongo jiandae kukabiliana na mambo ya hapa bongo.. sio unapigwa figisu brela tu hapo unaanza kualalama,
Tengeneza circle na wakubwa kwenye siasa uta enjoy
 
Jaribu kuzingatia sana circle yako na aina ya watu unaojumuika nayo kwenye mambo mbalimbali .. inaweza ikakusaida kupata mtu sahihi..
 
Usingizi wanapata ndio, na ukiangalia siku hizi wanaume ndio wanaumia sana na suala la wanawake kuchelewa kuolewa kuliko wanawake wenyewe, sijawahi kukuta uzi wanawake wanawasema wanawake wenzao waliochelewa kuolewa ila kutwa wanaume ndio wanalisemea hilo suala lazima kuna sababu wengi wasiyoijua
Kwa Kweli Mimi siwasemi Kwa sababu mwanamke Hana mamlaka ya mwisho kuolewa lakini kama Mimi niambiwe Ni chague mke wa kuoa nitachagua wa miaka 18-25 sio Zaidi ya hapo, Kwa sababu naujua utamu wao, Mimi nikitakacho Kwa mwanamke Ni sex Tu sihitaji Zaidi kutoka kwake, sio kunisaidia Maisha nguvu za kupambana ninazo. Na vibinti vya age hiyo ndio vitaweza kunitosheleza Na wao nikawatosheleza, wakizidi hapo Ni majanga Tu, Kwa ushauri Tu dada zangu ukipata mtu anataka kukuoa wakati bado umri Ni mdogo kubali, mwanamke ana zawadi 2 anazoweza kumpa mwanaume, Ni bikra Yake au kama Hana bikra Ni kuolewa akiwa Na umri mdogo, haya Maisha Ni ubatili mtupu musidanganyike Na mashoga wanaotaka kusaidiwa Maisha, wanawake kazi Yao Ni kukaa ndani Na kuchezea ukuni Tu Na kuzaa na kulea familia, mumedanganywa Na mashoga mutafute kazi matokeo Yake ndio haya, poleni sana
 
Dah my sister Jadda we Usha wahi pitia jeshi??
[emoji117]Maana hoja zako zime kaa kibabe[emoji1787][emoji3]
Haha yes nimepitia ila hilo halihusiani na hii misimamo yangu mkuu, inakera unabishana na mtu badala ya kuleta facts anakuja na mihemko wewe mwenyewe si umejionea hapo, mtu confidently kabisa anakutajia takwimu ambazo hajazifanyia utafiti mradi tu atetee uongo wake
 
Madam wewe ujue huyu mwanamke Ana tabia mbaya lakini kaolewa ulikuwa kwenye mahusianonae kimapenzi??

Tabia hizi anazijua aliye kwenye Mahusinonae tu through pia mtu wa nje anaweza kuaona viashiria.

Tabia nayoizunguzia hapa ni ya mwanamke kwa mwanaume sio tabia ya mwanamke kwa jamiii mfano KUWA SUBMISSIVE KWA MWANAUME, Kila mwanaume anahitaji mwanamke aliyeji Submit kwake ni mwanaume tu ndio anajua huyu kaji Submit kwangu au laa na si mtu wa nje mwanaume yeyote aliye timamu ukiji Submit kwake uka mtreat kama mwanaume ukajua nafasi yako mwanamke kama Sub kwake, ukamuheshimu wewe lazima mwanaume atangaze nia kukuoa tu sasa mwanamke huyu mwenye tabia hizi nje anaweza kuwa kama GIGY MONEY, AMBER LULU nk wewe unachoona tabia zake za ki Gigy money huone tabia zake za ndani ya mahusiano jinsi huyi mwanamke anavyo mshemishu bwana wake, anampa nafasi yake, Ana muonesha utu na utulivu.

NB: nikisema mwanamke anaolewa kwa tabia zake si tabia anazozionesha kwa jamaii ndio maana kiwa Church Girl sio sifa ya kuolewa nk ila church girl wengi wana tabia nzuri swali nk je akiingia kwenye mahusiano anaji Submit kwa mwanaume.
Duuh naona taratibu mnaanza kupunguza vigezo, kwahiyo sasa hivi sifa siyo tena kutulia na mwanaume mmoja, bali ni kuwa submissive tu kwa wanaume si ndio

Yani wewe hapo unataka kuniambia kwamba unaweza kuoa mwanamke malaya, kwa sababu tu ni submissive kwako maana hizo sample ulizonitajia hapo, ni certified and chartered sluts na wanajivunia kabisa they do not care

Halafu wanaume huwa mnapenda kuoa wanawake ambao tabia zao njema zinaonekana mpaka kwenye jamii, yani pale jamii inapowasifia ninyi ndio mnaona fahari sasa wewe ndio mwanaume wa kwanza, naona unasema eti unaweza kuoa mwanamke mwenye tabia mbaya kwenye jamii ila tu awe anakuheshimu.. pathetic!!
 
Kwa Kweli Mimi siwasemi Kwa sababu mwanamke Hana mamlaka ya mwisho kuolewa lakini kama Mimi niambiwe Ni chague mke wa kuoa nitachagua wa miaka 18-25 sio Zaidi ya hapo, Kwa sababu naujua utamu wao, Mimi nikitakacho Kwa mwanamke Ni sex Tu sihitaji Zaidi kutoka kwake, sio kunisaidia Maisha nguvu za kupambana ninazo. Na vibinti vya age hiyo ndio vitaweza kunitosheleza Na wao nikawatosheleza, wakizidi hapo Ni majanga Tu, Kwa ushauri Tu dada zangu ukipata mtu anataka kukuoa wakati bado umri Ni mdogo kubali, mwanamke ana zawadi 2 anazoweza kumpa mwanaume, Ni bikra Yake au kama Hana bikra Ni kuolewa akiwa Na umri mdogo, haya Maisha Ni ubatili mtupu musidanganyike Na mashoga wanaotaka kusaidiwa Maisha, wanawake kazi Yao Ni kukaa ndani Na kuchezea ukuni Tu Na kuzaa na kulea familia, mumedanganywa Na mashoga mutafute kazi matokeo Yake ndio haya, poleni sana
Bora wewe umeamua kuwa honest mkuu good for you kama umeamua kuoa mama wa nyumbani na umekubaliana na changamoto zote za kuishi na mama wa nyumbani, wanaoweza kuoa corporate women waoe tu as long as nao wanakubali changamoto za kuishi na wanawake wa aina hiyo, shida inakuja mwanaume anataka mama wa nyumbani ila hataki kumhudumia au mwanaume anataka corporate woman halafu hapo hapo anataka atimize majukumu ya nyumbani
 
Back
Top Bottom