Je, ulifika Third floor(30s) bila kuwa na familia? Hali ilikuwaje?

Je, ulifika Third floor(30s) bila kuwa na familia? Hali ilikuwaje?

Wala am not even interested bro, mi bado nipo nipo Kama fa.
👉Beside life still has a better package for me.
Bro we all thot that until reality hit us....wee unadhani tulio 3rd and 4th floor tipo single tumependa? Life has was to meas things up.
Though honestly speaking on my side ni kuendekeza mbususu tuu🤣🤣🤣🤣
 
Dah Nilikuwa nakuona kabla ya kujiunga jf.
👉Mzee wa 5 seconds 😆, beside good luck to her - Afu mkubwa SI mnasemaga numbers don't mean anything in love ?;
 
Dah Nilikuwa nakuona kabla ya kujiunga jf.
👉Mzee wa 5 seconds 😆, beside good luck to her - Afu mkubwa SI mnasemaga numbers don't mean anything in love ?;
Wee kwanza achana na huo ujinga wa love...hamana mwanamke atakaye kupenda zaidi ya mama yako.
Hao wengine unatafuta shimo tuu la kumwaga shahawa zako. Take that as life's harsh reality
 
Wee kwanza achana na huo ujinga wa love...hamana mwanamke atakaye kupenda zaidi ya mama yako.
Hao wengine unatafuta shimo tuu la kumwaga shahawa zako. Take that as life's harsh reality
Naielewa hiyo concept, nime shuhudia kwa macho- watu Waki fanyiwa manipulation 🤣😆.

Sema bro 40 floor, huna hata mpango wa bahati mbaya mjuba🤣🤔
 
Wewe labda ndio uondoke maana thread siyo yako wala yetu.
Mkuu naona umeshupalia sana huyo demu wako anaakili kutuzidi, basi fanya kitu kimoja, mwambie tunamualika kule jukwaa la intelligence aje atoe mawazo yake tuone kama kweli akili anazo au ni mawazo tu ya kufanya umbea hapa jukwaa la wambea, maana hili jukwaa siku hizi limekuwa umbea mtupu hata watu waliokuwa na michango na mada nzuri za kuelimisha wamekimbia wote, kama unawakumbuka kina sky eclat, gudume, Lara 1, kecy, na wengineo unajua ni miaka mingapi wamepotea humu kwa utoto wenu? Jitafakarini sana munapotoa comment humu munatuchosha na ngonjera zenu.
 
Habari ya weekend great thinkers?

Maisha yananipa experience tofauti, Sikuwahi kufikiria kama ningefika third floor bila kuwa na familia wala watoto, kuna muda nahisi kupanic nahofia watoto wasije kuniita bibi badala ya mama, au kukosa kabisa sababu ya umri mkubwa🤔

Enzi hizo nilikua nashangaa mtu hasa mdada unafikaje hadi 30s huna familia, aisee kumbe ni kweli now ni mimi mwenyewe.

Mlioanza familia mkiwa 30s je ni kweli au mnaona dalili za watoto wenu kuwaita bibi au babu? Vipi changamoto za uzazi sababu ya umri mkubwa?😔

Nipo tayari kwa comments zote.

Happy valentine's day in advance 👏🥰
Jua limeshazama pole, usikute unaendelea kuwakataa wanaume, ngoja ugonge 40 afu bila bila ndo utajua hujui.
 
Hivi kwanini Mwanamke akifika miaka 25+ kama hana Mtoto wala Mume anachanganyikiwa alafu Mwanaume anaweza kua na 32+ hana Mtoto wala Mke alafu fresh tu hata hapagawi???
Kwasababu thamani ya mwanamke inashuka kadri muda unavyoenda, thamani ya mwanaume inapanda kadri muda unavyoenda (kutokana na kukua ktk kipato)

Tendo la kujamiiana ni katili kwa mwanamke (akiliwa sana, K inatanuka na kulegea, inakosa ladha) ila mwanamke akifanya tendo mara kwa mara au na wanawake kadhaa, ndo uume wake unakuwa bora zaidi.

So anayetakiwa kujitunza ni mwanamke na siyo mwanaume, ndomaana mwanaume hana bikra, kwahiyo ukikuta mwanamke kaenda sana umri, kuna uwezekano kaliwa sana mpaka makombo aliyonayo hayana ladha kabisa, wanaume tuanzishe kikao kuwa hakuna kuoa single mother, wala mshangazi wenye miaka 30 na kuendelea, alikuwa wapi, tumuache ale jeuri aliyoifanya ya kuwakataa wanaume alivyokuwa ana umri wa miaka 23.
 
Mkuu naona umeshupalia sana huyo demu wako anaakili kutuzidi, basi fanya kitu kimoja, mwambie tunamualika kule jukwaa la intelligence aje atoe mawazo yake tuone kama kweli akili anazo au ni mawazo tu ya kufanya umbea hapa jukwaa la wambea, maana hili jukwaa siku hizi limekuwa umbea mtupu hata watu waliokuwa na michango na mada nzuri za kuelimisha wamekimbia wote, kama unawakumbuka kina sky eclat, gudume, Lara 1, kecy, na wengineo unajua ni miaka mingapi wamepotea humu kwa utoto wenu? Jitafakarini sana munapotoa comment humu munatuchosha na ngonjera zenu.
Upo jukwaa la wambea na unachangia kwa nguvu zote manake na wewe ni Mbea.
 
Mkuu sina ushahidi wa kukupa ila kama umefika walau nchi moja wapo, kati ya mabara ya Amerika ya Kaskazini au Ulaya Magharibi na kuyaona maisha ya kule, basi utakubaliana na mimi kwamba kwa wazungu hilo jambo siyo habari

Kule mwanamke hata akiwa ni Stripper au hata akifika miaka 50 anaolewa, haijalishi ana watoto au hana na hakuna anayeona ajabu ni kitu cha kawaida tu sasa kwa akili ya kawaida tu, unahisi mwanamke anayefanya kazi hiyo au mwenye umri huo katembea na wanaume kiasi gani

Mimi nimekuuliza swali je una uhakika hata hapa bongo tu (ukiachilia mbali huko nje), kwamba wanawake wote wanaoolewa ni wale wenye mwanaume mmoja tu, hili swali mbona unakwepa kulijibu kwa sababu hili ndio lilikuwa msingi wa mada
Sasa usiwe unaandika au kujadili mambo usiyo kuwa na elimu nayo.

Hakuna swali ambalo sijajibu.
 
Sasa usiwe unaandika au kujadili mambo usiyo kuwa na elimu nayo.

Hakuna swali ambalo sijajibu.
Acha kukwepa hoja jibu swali na kama huna majibu sema sina majibu sasa unataka nikupe ushahidi gani, kama hujatembelea hizo nchi na kuona maisha yao hilo siyo tatizo langu mimi yani mimi naongea uhalisia wewe unataka tuongee story za vijiweni, nimekuuliza hivi una uhakika wanawake wote duniani wanaoolewa ni wale wenye mwanaume mmoja tu nioneshe ni wapi uliponijibu hilo
 
Back
Top Bottom