Je, ulijua kati ya Benki 5 kubwa duniani 4 ni za China? Benki za Marekani zikifuata nyuma ya China

Xi Jinping

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2023
Posts
9,548
Reaction score
28,817
The top 5 largest banks world largest banks by assets:
​
1. Industrial and Commercial Bank of China (ICBC) | China
  • Assets: $7.30 trillion

2. Agricultural Bank of China | China
  • Assets: $6.80 trillion

3. China Construction Bank | China
  • Assets: $6.20trillion

4. Bank of China | China
  • Assets: $5.30 trillion

5. JPMorgan Chase | United States
  • Assets: $ 4.4 trillion


Benki kubwa duniani kwa kawaida hupangwa kwa kutumia vigezo vya kifedha vinavyopimika, si hisia au umaarufu. Hivi ndio vigezo vikuu vinavyotumika:​

1. Total Assets (Jumla ya Mali)
  • Hiki ndicho kigezo cha kinachotumika sana. Kinaangalia thamani ya kila kitu benki inachomiliki (mikopo, uwekezaji, fedha taslimu n.k.) Benki yenye assets nyingi zaidi huonekana “kubwa zaidi”​

2. Market Capitalization (Thamani ya soko)
  • Hii ni thamani ya benki kwenye soko la hisa. Inategemea bei ya hisa × idadi ya hisa. Inaonyesha uwezo wa wawekezaji kuithamini benki​

3. Revenue (Mapato ya mwaka)
  • Fedha benki inazopata kwa mwaka kutokana na huduma zake jusaidia kuonyesha nguvu ya biashara ya benki​

4. Net Profit (Faida halisi)
  • Faida baada ya kutoa gharama zote. Inaonyesha benki inaendeshwa kwa ufanisi kiasi gani​

5. Global presence (Uwepo wa kimataifa)
  • Idadi ya nchi benki inafanya kazi. Matawi na huduma zake duniani​

6. Loan & deposit size (Mikopo na amana)
  • Kiasi cha pesa watu na kampuni walioweka (deposits) Kiasi cha mikopo benki inayoitoa.​
 
Lazima benk ya china kupata pesa.We zile baiskeri za CcM na pikipiki nchi zima unazani pesa ilipita wapi
 
Ulitaka iwe Zungu zungu zungu China wakuheshiwa kutoka ndani ya Moyo wako

hajawai kuchukua Watumwa Africa kwenda kulima mshamba yao!!

Wazungu hatuwapendi kwasababu zipo wazi wamechukua rasilimali muhimu yani nguvu kazi yetu.
Kijana mjinga sana wewe
Unaweza kutuambia ni muafrika gani amewahi kupewa uraia wa china

Ukipewa nafasi yakuchagua ukaishi marekani au china utaenda wapi

Muafrika asingetawaliwa angekua sio tu mtu wa misituni bali kula nyama za watu mpaka leo
 
AI platforms imemfanya kila mtu kujiona mtaalamu.

Muhimu kwenye thamani ya biashara hasa banking ni profitability ratios and earnings ratio.

Ukubwa wa asset sio muhimu sana, especially where the source of capital is government and the bank offers cheap loans,

Kuna hili tatizo kubwa sana Tanzania ya watu kujiongelea vitu ambavyo hawana uelewa nao kabisa.

Yaani ukisoma ujinga mtupu
 
Hapa Tz mnatumia sana bidhaa za kutoka mataifa ya wap
 
China na wale watu wote benki zao hizo za serikali kushika nafasi hizo wala hakuna cha ajabu ila ukweli bado unabaki palepale kwamba mchango wa Marekani kwa hizo benki hadi kushika nafasi hizo ni mkubwa sana.
 
Kijana mjinga sana wewe
Unaweza kutuambia ni muafrika gani amewahi kupewa uraia wa china

Ukipewa nafasi yakuchagua ukaishi marekani au china utaenda wapi

Muafrika asingetawaliwa angekua sio tu mtu wa misituni bali kula nyama za watu mpaka leo
Anamlaumu mzungu kwa utumwa, anasahau leo hii Mtanzania mwenzake anaua watanzania sababu ya madaraka.

Anauza rasilimali za nchi sababu ya pesa n.k
 
Mkuu pole sana kama ulikuwa humjui mleta mada, jamaa ni mnazi wa China. So humwambii kitu kuhusu taifa la China.
 
Mkikorofisha kwenye nchi zenu hatuoni mnakimbilia Saudi Arabia,Afghan au China ! mnakimbilia US, UK ama Canada kwa makafir... kwa sababu mnajua huko kwa ndugu zenu wa kiimani huwezi kuishi kwa amani kama kwa hao mnaowaita makafir..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…