Mpuuzi na fala uliyekubuhu.Kijana mjinga sana wewe
Unaweza kutuambia ni muafrika gani amewahi kupewa uraia wa china
Ukipewa nafasi yakuchagua ukaishi marekani au china utaenda wapi
Muafrika asingetawaliwa angekua sio tu mtu wa misituni bali kula nyama za watu mpaka leo
Afrika ilianza kuwa civilized kabla ya wazungu WOTE.
-Moors na Berber ambao ni asili ya North Afrika(kabla ya uvamizi wa waarabu) ndio wakwanza kustaarabika na waliwafundisha wazungu kuoga na kujisafisha.
-Kilwa ilianza kuwa mji mkubwa wa kistaarabu unaofanya biashara na ulioanza kumiliki sarafu yake kwa mgongo wa persians kabla ya Wareno kuja kuuangusha huo mji.
-Embu Kasome historia ya Abyssinia kabla haijaitwa Habesha na kuja kuitwa Ethiopia ilikua ina maendeleo ya aina gani.
-Kasome miji kama Timbuktu na Kumbisale ambayo walimiliki hadi vyuo vikuu kabla ya ukoloni.
-Kaisome BENIN ya miaka hiyo kabla ya Afrika colonization walianza kuunda hadi bunduki.
Wazungu wakaja kutuvunjia ustaarabu wetu na wakatujaza uongo kuwa bila wao tusingestaarabika ilhali walitukuta na ustaarabu wetu.
-Ni sawa China kupata uraia ni nearly impossible,ila bora China sio mnafiki kama mzungu ambaye anaongoza kwa ubaguzi hata akikupa uraia. Sasa hivi wameshaanza kampeni ya kufukuza wageni toka Afrika na Middle east.
-Bila ya China leo hii usingejua simu ni nini,mtandao ni nini na miundombinu ni nini.
Mkiambiwa msome hamtaki.