Je, ulijua kati ya Benki 5 kubwa duniani 4 ni za China? Benki za Marekani zikifuata nyuma ya China

Kijana mjinga sana wewe
Unaweza kutuambia ni muafrika gani amewahi kupewa uraia wa china

Ukipewa nafasi yakuchagua ukaishi marekani au china utaenda wapi

Muafrika asingetawaliwa angekua sio tu mtu wa misituni bali kula nyama za watu mpaka leo
Mpuuzi na fala uliyekubuhu.
Afrika ilianza kuwa civilized kabla ya wazungu WOTE.
-Moors na Berber ambao ni asili ya North Afrika(kabla ya uvamizi wa waarabu) ndio wakwanza kustaarabika na waliwafundisha wazungu kuoga na kujisafisha.
-Kilwa ilianza kuwa mji mkubwa wa kistaarabu unaofanya biashara na ulioanza kumiliki sarafu yake kwa mgongo wa persians kabla ya Wareno kuja kuuangusha huo mji.
-Embu Kasome historia ya Abyssinia kabla haijaitwa Habesha na kuja kuitwa Ethiopia ilikua ina maendeleo ya aina gani.
-Kasome miji kama Timbuktu na Kumbisale ambayo walimiliki hadi vyuo vikuu kabla ya ukoloni.
-Kaisome BENIN ya miaka hiyo kabla ya Afrika colonization walianza kuunda hadi bunduki.

Wazungu wakaja kutuvunjia ustaarabu wetu na wakatujaza uongo kuwa bila wao tusingestaarabika ilhali walitukuta na ustaarabu wetu.

-Ni sawa China kupata uraia ni nearly impossible,ila bora China sio mnafiki kama mzungu ambaye anaongoza kwa ubaguzi hata akikupa uraia. Sasa hivi wameshaanza kampeni ya kufukuza wageni toka Afrika na Middle east.

-Bila ya China leo hii usingejua simu ni nini,mtandao ni nini na miundombinu ni nini.
Mkiambiwa msome hamtaki.
 
Suala la profitability mleta mada amelizungumzia. Sijui ni ujinga wako wa kujitia ujuaji au ni umeamua kuwa mpumbavu!?
 
Hayo mabank ya China ni ya serikali, hata ukuaji wake ni kama artificial tu, meaning serikali inamwaga mitaji na mipesa huko na market favours nyingi sana, ndo maana unakuta yanajitutumua.Mabank ya US, Europe, mengi private, ukiona liko pale juu ujue limefight, limegrow taratibu, kuna uhalisia, market oriented
 
Unadhani serikali ya China inakupa subsidy pasi na kutegemea faida!?
Embu kamsome Jack Ma halafu utengue kauli yako. Jack Ma nusu apotezwe kwenye ramani kwa kuleta baadhi ya hasara baada ya kupokea government subsidy.
 
Mbona hujajadili "Ownership"?
Bank za uchina ni za umma/state owned/zimeanzishwa na dola, state schemes and Ownership.

JP Morgan Chase & Co imetokana na Morgan House, hakuna single coin ya walipakodi wa Marekani pale. Ni private entity.

Construction bank of China, Industrial Bank of China, Postal Bank of China, ni uwekezaji wa kidola "state owned investment". Mchina kachukua Yuan zake, na kuziweka hapo kufanya trade.

La pili ni kwamba; Hakuna Competitors in banking industry ya China, no way.

Marekani kuna Utitiri wa bank binafsi, zinazoshindana na ni za binafsi. Zinashindana kwa masoko, mapato, teknolojia na kila kitu.
 
China ni mzigo kwa nchi za Africa!
 
Angekuwa na walau 5% ya huu uhalisia, angeachana na mtazamo wa kisifia uchumi wa China kibiashara!
 
Hawa ndio wakopeshaji wa serikali zetu za Africa kwa sasa.
Wachina ni wakopeshaji ambao hawana bureaucracy, wao wanazingatia win win cooperation tofauti na benki za Magharibi​

“If I go to Italy and they ask for a $500 million check for a power plant, but the Chinese offer to finance the project with only 20% down and a five-year payment plan, which one would you choose?”

“China dominates the African business landscape because it is more willing than the U.S. or Europe to provide long-term financing and credit for major industrial projects.”

“It’s difficult to think of Western partners offering conditions more attractive than the Chinese.”

—Aliko Dangote (akielezea kwanini miradi mingi Afrika inaelekea China) ​
 
China yenye watu Bilioni zaidi ya Marekani
Population kubwa haisemi moja kwa moja benki zitakuwa kubwa by assets inategemea uchumi, savings, na industrial output

Kama ni suala la watu wengi tu, basi India ingeongoza pia lakini benki za China bado zina assets kubwa zaidi duniani

Assets za benki hupimwa kwa ukubwa wa capital flow na economic activity, si kuhesabu watu tu

Marekani ina GDP per capita kubwa zaidi lakini bado baadhi ya benki kubwa duniani ni za China hiyo inaonyesha kuna zaidi ya population
 
Bureaucracy ya nini kama una uhakika wa kuchukua rasilimali na kupewa tenda zote hadi na vibarua wanaruhusiwa kuingia kufanya kazi za wazawa
 
Mbona hujajadili "Ownership"?
Bank za uchina ni za umma/state owned/zimeanzishwa na dola, state schemes and Ownership.
Kwani haujasoma kwenye uchumi kuhusu ownership?

State ownership si udhaifu bali ni model tofauti ya uchumi. Benki nyingi kubwa za China ni state owned huo ndio mfumo wao

Mfumo wa China haukulenga free market banking kama Marekani ulilenga kutumia benki kama tools za industrial policy

Kama state owned banks zingekuwa weak automatically, China isingeweza kufinance reli, ports, megacities, manufacturing na BRI
 
La pili ni kwamba; Hakuna Competitors in banking industry ya China, no way.
Kusema hakuna competition si kweli.

China ina benki kubwa nyingi zinashindana kwa deposits, loans, digital banking, na efficiency ndani ya mfumo uleule wa state influence

Competition si lazima iwe private vs private. Inaweza kuwa state owned vs state owned, au regional banks vs national banks

Benki kama ICBC, CCB, ABC, na Bank of China zinashindana kwa biashara, corporate clients, na international financing
 

China wameruhusu benki binafsi juzi tuu hapo 2014. Serikali ya China ime "monopolise banking industry" kwa miaka mingi, ni sera yao, maana wametoka kwenye ukomonisti mkongwe wa kuhodhi uchumi wao, kitu ambacho ndio sirika/sifa/namna kuu ya ukomonisti.

State owned vs state-owned competition haipo uchina, maana uchina benki zipo kisekta, manufacturing, industrial and agricultural banks. Hazishindani wala haziingiliani zipo kisekta na ni mali ya umma, na ndio hizo ulizozitaja hapo juu.

Hatubishani, nimetoa sababu ya benki za China kuongoza katika assets kwamba ni ile hali ya kuwa, 100% state-owned, ili msomaji afahamu sababu na sio kitu kibaya au hakikubaliki; sina lengo la kukupinga wala kuharibu mada.
 
State owned vs state-owned competition haipo uchina, maana uchina benki zipo kisekta, manufacturing, industrial and agricultural banks. Hazishindani wala haziingiliani zipo kisekta na ni mali ya umma,
Zinashindana kwa wateja wa corporate, deposits na profitability, international projects, technology (digital banking, risk models)

Haziko locked kabisa kwenye sekta

Agricultural bank inaweza bado kuingia urban loans

Industrial bank inaweza pia ku-finance infrastructure au services
 
Suala la profitability mleta mada amelizungumzia. Sijui ni ujinga wako wa kujitia ujuaji au ni umeamua kuwa mpumbavu!?
We na huyo na taahira mwenzako akili zenu sawa that’s not how financial analysis is done.

Ratio ni numbers kutoka kwenye financial statement, comparison inafanywa through comparisons na performances ya wengine.

Banks assets ina mambo kadhaa, hata mikopo ni assets na aina maana hakutakuwa na future defaults.

Cash is an asset aina maana kama aitengenezi hela.

Bank ina liquid na illiquid assets how much of that is the asset; liquid asset is desirable.

ChatGPT inamfanya kila taahira kujiona mjuaji kama wewe.

Unajua hata info gani za financial statement zinatumika ku-analyse profit and Equity ratios; let alone accepted results.

Hakuna cha maana alichoandika zaidi ya upuuzi mtupu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…