Eugene Krabs
JF-Expert Member
- Feb 19, 2026
- 451
- 859
Africa ni tatizo financially, lakini tusiwape lawama wengine. Kwa Tanzania shida inaanza kuamini mtu kama Mwigulu sijui Saada Mkuya can advise you financially na huyu taahira mpya waziri wa fedha leo Tanzania bara.China ni mzigo kwa nchi za Africa!
Lete taarifa zako maneno yasiwe mengiWe na huyo na taahira mwenzako akili zenu sawa that’s not how financial analysis is done.
Ratio ni numbers kutoka kwenye financial statement, comparison inafanywa through comparisons na performances ya wengine.
Banks assets ina mambo kadhaa, hata mikopo ni assets na aina maana hakutakuwa na future defaults.
Cash is an asset aina maana kama aitengenezi hela.
Bank ina liquid na illiquid assets how much of that is the asset; liquid asset is desirable.
ChatGPT inamfanya kila taahira kujiona mjuaji kama wewe.
Unajua hata info gani za financial statement zinatumika ku-analyse profit and Equity ratios; let alone accepted results.
Hakuna cha maana alichoandika zaidi ya upuuzi mtupu.
Lengo ni kukupa changamoto ya kutanua wigo wa kufikiri kwenye taarifa za fedha, kwenye kuzingatia yepi ni maswala muhimu.Lete taarifa zako maneno yasiwe mengi
Ima tellin’ you, you don’t know nothin’ bout bankin'. You act like you know it all, but you really clueless manLengo ni kukupa changamoto ya kutanua wigo wa kufikiri kwenye taarifa za fedha, kwenye kuzingatia yepi ni maswala muhimu.
Otherwise banking is complicated topic above your capacity.
Break down what forms the asset value of Chinese bank you mention and its main shareholder.Ima tellin’ you, you don’t know nothin’ bout bankin'. You act like you know it all, but you really clueless man
First off, let’s keep the emotions outta this and talk real banking structure and balance sheet factsBreak down what forms the asset value of Chinese bank you mention and its main shareholder.
Mind you the main attraction of banking assets is it’s (loans) and profit returns.
Pick a bank, do the due diligence; then we might have a banking discussion. Supposedly that is elementary challenge as far as banking is concerned.
But then I already know it’s beyond ya little mind.
Major banks in China their assets are mainly loans like any bank globally, loans are the core driver of asset value and return generationBreak down what forms the asset value of Chinese bank you mention and its main shareholder.
Mind you the main attraction of banking assets is it’s (loans) and profit returns.
Pick a bank, do the due diligence; then we might have a banking discussion. Supposedly that is elementary challenge as far as banking is concerned.
But then I already know it’s beyond ya little mind.
Ndio ujue yakuwa wengine humu JF tunauwezo wa ku asses huyu mchangiaji anauelewa wa hii topic au anategemea google na AI mainly.Major banks in China their assets are mainly loans like any bank globally, loans are the core driver of asset value and return generation
Most large Chinese banks are majority owned by the Chinese state via sovereign entities
Mkuu, wewe una expertise kwenye banking industry?AI platforms imemfanya kila mtu kujiona mtaalamu.
Muhimu kwenye thamani ya biashara hasa banking ni profitability ratios and earnings ratio.
Ukubwa wa asset sio muhimu sana, especially where the source of capital is government and the bank offers cheap loans,
Kuna hili tatizo kubwa sana Tanzania ya watu kujiongelea vitu ambavyo hawana uelewa nao kabisa.
Yaani ukisoma ujinga mtupu
NopeMkuu, wewe una expertise kwenye banking industry?
Maelezo mengi ya u much know. Umechagua kuwa mbishani na mpumbavu.We na huyo na taahira mwenzako akili zenu sawa that’s not how financial analysis is done.
Ratio ni numbers kutoka kwenye financial statement, comparison inafanywa through comparisons na performances ya wengine.
Banks assets ina mambo kadhaa, hata mikopo ni assets na aina maana hakutakuwa na future defaults.
Cash is an asset aina maana kama aitengenezi hela.
Bank ina liquid na illiquid assets how much of that is the asset; liquid asset is desirable.
ChatGPT inamfanya kila taahira kujiona mjuaji kama wewe.
Unajua hata info gani za financial statement zinatumika ku-analyse profit and Equity ratios; let alone accepted results.
Hakuna cha maana alichoandika zaidi ya upuuzi mtupu.
Majibu niliyokupa kuna lolote ambalo liko wrong? Tuamzie hapo. Hoja hujibiwa kwa hoja, unakimbia mjadala sio?Ndio ujue yakuwa wengine humu JF tunauwezo wa ku asses huyu mchangiaji anauelewa wa hii topic au anategemea google na AI mainly.
Kuweza kujibu maswali niliyokupa inataka uelewa wa masomo ya biashara at least, kwa upande wa banking it gets even technical.
Ndio maana nilikwambia hujui, I admire your confidence though ya kuongelea mambo usiyoyajua.
As for me Knicks v Cavs make sense 👋
Maswali niliyokuuliza majibu yake yanataka financial statement.Majibu niliyokupa kuna lolote ambalo liko wrong? Tuamzie hapo. Hoja hujibiwa kwa hoja, unakimbia mjadala sio?
Kwa hiyo kwa akili zako zilivyo fupi unafikiri mpaka hizo China's big four ziwekwe za kwanza kwenye top 5 na taasisi zaS&P Global Market Intelligence na The Banker hakukuwa na uchanganuzi wa financial statement?Maswali niliyokuuliza majibu yake yanataka financial statement.
Sio upuuzi ulioandika
By now ulitakiwa kwenda online kutafuta bank statement ya bank moja ya choice yako kutoka China tuijadili ubora wake.Kwa hiyo kwa akili zako zilivyo fupi unafikiri mpaka hizo China's big four ziwekwe za kwanza kwenye top 5 na taasisi zaS&P Global Market Intelligence na The Banker hakukuwa na uchanganuzi wa financial statement?
Wewe ni mtu wa banking kweli au magumashi?
Mzee financial statements za benki yoyote duniani huwa hazifichwiBy now ulitakiwa kwenda online kutafuta bank statement ya bank moja ya choice yako kutoka China tuijadili ubora wake.
Nimekupa hizo hint mara kadhaa, uelewi somo unajibu ujinga tu.
How can you discuss banking based on asset data only without understanding its sources and other various factors.
Shida yenu ni ujinga na un’gan’ganizi na kudhani kila mtu akili zake finyu kama zenu.
From the first instance nilipokueleza faida ya biashara na impact yake kwenye uchumi inapimwa kupitia profitability ratios and Equity ratios. Sasa kuna key performances indicators in determining that.
Hujui yote Umekazana kutaka tujadili ujinga ilihali nakupa hints on what it takes to decide these matters from the instance.
Sasa kama hujui hata basics za financial statement, utaweza nitty gritty za complications za bank financial statement and its impact on the economy,
Do you even understand the key challenge to Africa economic progress is lack of bank funding.
You actually want to talk about banking with me, taahira wewe, listen I know; you don’t understand jack shyt.
Toka nimeanza kukuuliza simple technical questions huna majibu zaidi ya kuja na maelezo ya kijinga,
Listen mimi najua hujui, busara ni kuacha kuni-quote endelea na audience yako. Huku level kubwa hujui
A shallow mind incapable of serious banking analysis quick to dismiss complexity, yet lacking the intellectual depth to understand how global banking systems, capital structures, and financial influence truly operateYou actually want to talk about banking with me, taahira wewe, listen I know; you don’t understand jack shyt.
You are just stupid hata hujui unachoongea tena. Kitu gani kilichokuzuia kutafuta ya bank moja ye China ku-justify point yako ya ukubwa wa banks za China.Mzee kwa taarifa yako financial statements za benki yoyote duniani huwa hazifichwi
Ni wewe tu kuingia mtandaoni na kuzitafuta na kulinganisha na figures zilizopo kwenye uzi ujionee
Upo shallow sana kwenye banking
Nilichoona hauelewi maana ya largest bank by assets
Kwa hiyo UNAKUBALI au UNAKATAA kuwa China's big 4 banks ndio biggest banks by assets?You are just stupid hata hujui unachoongea tena. Kitu gani kilichokuzuia kutafuta ya bank moja ye China ku-justify point yako ya ukubwa wa banks za China.
Maana yake ni kwamba hujui even how company comparison performance is conducted.
Kuwa na asset kubwa doesn’t mean you are the best especially in banking. Mna tabia ya kubishanaga ujinga kama ujinga unaotaka tujibizane.
Wewe mwenyewe hujui hata kama unachoandika ni ujinga.
Intelligence service maana yake usalama wa taifa ni mchezo wa watu wenye akili. Sio mataahira kama nyie,
Mtu akili hana halafu afisa usalama jeez 👋
Nilichojifunza you have a fixated way of thinking in arguments hata pale ambapo uelewa wa topic husika ni finyu.Kwa hiyo UNAKUBALI au UNAKATAA kuwa China's big 4 banks ndio biggest banks by assets?
Jibu NDIYO au HAPANA ili nianze kukupa darasa kwenye hilo