Je, ulijua kati ya Benki 5 kubwa duniani 4 ni za China? Benki za Marekani zikifuata nyuma ya China

🤣🤣🤣 basi kumbe hauna hoja
 
Bureaucracy ya nini kama una uhakika wa kuchukua rasilimali na kupewa tenda zote hadi na vibarua wanaruhusiwa kuingia kufanya kazi za wazawa
Bila kusahau makampuni mengi ya China ni ya Serikali ya China na hayako masoko ya hisa
 
Bila kusahau makampuni mengi ya China ni ya Serikali ya China na hayako masoko ya hisa
Kwani ni lazima makampuni ya serikali ya China yawe kwenye masoko ya hisa?

Serikali ya China ina uwezo mkubwa wa kupanga miradi ya muda mrefu na kuifinance bila kutegemea wawekezaji binafsi (wanahisa)

China haijafuata mfumo wa Magharibi wa kibepari
 
Kwenye huu Uzi Kuna tatizo Moja la uelewa Kuna watu wanataka mfumo wa nchi za Magharibi ndo uwe applied sehemu zote,Mchina kuwa na mfumo wao kwao ndo wanaona ndo bora na umeleta matokeo hivyo hivyo Kwa nchi za Ulaya.Kama binadamu hatufanani basi hata vitu vya kuendesha uchumi haviwezi kuwa na mfanano.
 
Hata EUROPE wanatumia sana bidhaa za China hususan electric vehicles.
Mtake msitake China imeshashika usukani.
China imekopesha mataifa 138 ikiwemo mataifa ya WAZUNGU Ulaya wanadaiwa na China.
Mikopo ya china huko ulaya umeiona. Haya tuonyeshe mikopo ya china hapa Tanzania.
 
Umeongea vizuri sana

Tatizo la watu wengi wanaona kama mifumo ya kiuchumi na kisiasa ya Magharibi ndio benchmark, kwamba dunia yote wote waifuate

Lakini China wao wameamua kutumia ideologies tofauti na wametoboa wakitumia socialism with Chinese characteristics
 
Well said mdau,
Hii inamaanisha nini kiuchumi?
Hii ina maanisha China ina mfumo mkubwa sana wa kifedha unaoweza kufadhili uchumi wake na miradi ya kimataifa

Kimataifa inamaanisha China inaweza kupanua ushawishi wake kupitia mikopo na uwekezaji
 
Mikopo ya china huko ulaya umeiona. Haya tuonyeshe mikopo ya china hapa Tanzania.
-Kafuatilie BELT AND ROAD INITIATIVE mkakati wa China duniani wa ujenzi wa miundombinu hususan kimikopo.
Nchi za Ulaya zilizokopeshwa.
*Bosnia.
*Yugoslavia
*Italy n.k n.k

-Tanzania miradi mingi ya barabara na madaraja mmejengewa kwa mikopo ya China.
 
Kama hiyo ndio rejea yako no wonder watu wanalalamika kuwa masters degree ni ngumu!
 
Kitu kilichonishangaza ni China kuwapandisha mabilionea wa Marekani Coaster moja daah.
Yeah hata delegates wa Ulaya waliwahi kupandishwa coaster walipoenda China tena wakiwa na Raisi wao Ursula
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…