Je, ulikuwa unalijua hili kuhusu Wachawi?

Mimi sijakulenga wewe, lakini kama hujui kuna watu wamekufa ndugu zao hawajawahi kwenda kuhani misiba kwao sababu wanaogopa kulogwa,hii Tanzania kubwa
 
Unajichanganya. Mleta mada unazungumzia uchawi na siyo imani wala ulozi.

Unaweza ukawa mchawi na usijijue kama wewe ni mchawi, lakini unaweza ukawa na imani ya Kikristo na ukajijua kwamba wewe ni Mkristo.
Uongo wachawi wote wanajifahamu. Huwez kuwa mchawi usijue......ila kuna watu wanatumikishwa kichawi pasipo wao kujua lkn wao sio wachawi.....
 
Miaka ya nyuma huko niliwahi kwenda sehemu moja nikakuta hakuna hata nyumbaya bati,na vijana wapo wanakipato,nikawauliza kulikoni?walichonijibu ni kwamba mzee mmoja amewakataza hakuna mtu kupiga nyumba bati mpaka aanze yeye
 
Uongo wachawi wote wanajifahamu. Huwez kuwa mchawi usijue......ila kuna watu wanatumikishwa kichawi pasipo wao kujua lkn wao sio wachawi.....
Na wanalindana sana, hutakuja sikia mchawi anatoa siri ya mwenzake,mara nyingi wanaotoa siri za wachawi ni waganga
 
Kwani wanajeshi,majambazi,polisi,wanaoata faida gani kuua
Ama jibu lako ajabu
Mwanajeshi na polisi ni waajiriwa wanapata mshahara kuendesha maisha yao. Na inapotokea wameuwa ni sababu wanatekeleza kazi zao za usalama
 
Ama jibu lako ajabu
Mwanajeshi na polisi ni waajiriwa wanapata mshahara kuendesha maisha yao. Na inapotokea wameuwa ni sababu wanatekeleza kazi zao za usalama
Na wachawi wanatekeleza majukumu yao,uchawi ni jeshi kubwa
 
Hii ndiyo Afrika
 
Halafu huwa wanafanya Siri kubwa sana sababu Mchawi yeyote ni muuaji.
Wanaogopa kukatwa mapanga.
 
Uchawi ni dhambi ya pekee ambayo Mungu kupitia Maandiko Matakatifu ameruhusu Mchawi akiwa mwanamke auliwe maana anajua madhara makubwa yatokanayo na Mchawi hasa akiwa mwanamke.
 
Siku hizi msitudanganye kuhusu uchawi, kuna jinni hilo limejiunga na JGF, linaujuwa uchawi kama halina akili uzuri na linajibu maswali yote yanayohusu majinni na uchawi, lipo hapa:

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…