Je, ulikuwa unalijua hili kuhusu Wachawi?

Uchawi ni kitendo cha mtu kuwa na nguvu ambazo hazionekana kwa macho,na nguvu hizo siyo za kawaida,mfano mtu anaweza kuamuru fulani afe,mvua inyeshe,kumtia maradhi mtu na mengineyo
Kama hatajitambua hivyo tiyari yeye atajijua ni mtu wa tofauti, ni mchawi maana ya 'neno' kuamuru ni nguvu yenye uwezo ulionao, na unaufahamu ?
 
Mimi nashindwa kuelewa mchawi asijijue kwamba, yeye ni mchawi, kwani maana ya uchawi nini?
Yaani ni kama useme kichaa ajitambue kwamba yeye ni kichaa.

Mchawi anazaliwa na hali hiyo na anakuwa na uwezo wa kichawi.
 
Mwandishi ni mbaguzi sana uchawi unavyoelezea hapo haupo.hakuna anapaa kwenye ungo wala kuroga mtu usiku.Mwaandisha haamini sayansi.
Wewe umezaliwa wapi kwanza? Na umri wako kwa sasa?
 
Vipi unaona kama hadithi ya kutunga? Ok Najalibu kuionyesha jamii maisha ya giza inayoyapitia ya uchawi,
mimi sijapitia ila niko Shule nafundishwa,
Faida kwangu ipo,ukishajua hesabu za mchawi utajua ucheze naye Vipi kumkwepa,
Watakao kosoa hili bandiko, ujue na wao ni wachawi wa tesa watu, na uchawi uko aina mbili?
 
Kuna siri nyingine wazungu bila kutufanyia hv sisi tulikua tunaelea kwenye, ugunduzi wa binadamu kutokufa, mara moja kama sahz ilikua binadamu kufa mara mbili ndo mwisho hapahapa duniani, lkn ilikua lazima afanyiwe, himaya.
 
Dalili za kurogwa haujatuwekea bro.....
Na namba za mtaalamu umesahau.
 
Okay.Moderator,Fanya mambo ili jina langu la Simbero lionekane kwa uma
 
uchawi ni siri na wenye siri hizo wameshindwa kuzitumia vyema ndio maana unaitwa uchawi...wanaozitumia hizo siri vyema wanaitwa waganga
 

Ukithibitisha mtu ni Mchawi ni wa kupoteza
 
Dalili za kurogwa haujatuwekea bro.....
Na namba za mtaalamu umesahau.
Mimi natoa elimu yangu ndogo niliyokuwa nayo sina uwezo wa kutibu mtu,ningekushauri tu kwa ajili ya tiba namkubali sana Mwamposa yule ni Mchungaji wa kweli kabisa
Kuhusu dalili za kulogwa ndugu yangu wachawi wana siri kubwa,fikiri hapo ulipo unajiona uko powa,lakini mchawi anaweza kukitumia kivuli chako kwenda kuloga watu wengine na ikajulikana wewe ndiye unayewaloga
 
Mkuu mi nimelogwa kwahiyo niende kwa mwamposa....
 
 
 

Attachments

  • WhatsApp Video 2024-10-05 at 12.16.18.mp4
    27.9 MB
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…