Je, ulikuwa unalijua hili kuhusu Wachawi?

bila shaka wewe ni msukuma

YESU NI BWANA&MWOKOZI
 
Jamani ninayeandika hii histori napitia kipindi kigumu Sana, hii vita ya uchawi ni kubwa Sana tofauti na mnavyofikili,nashukhuru Kwa Mara ya kwanza jmanne nilikuwa kwa Mchungaji Mwamposa akanishika mkono kwenye paji la uso na kukanyaga mafuta ya upako,
Yaani naamini isingekuwa hivyo Sasa hivi yangekuwa mengine,
 
Leo nitazungumzia kuhusu Misukule,ni binadamu anayechukuliwa kimauchawi Kwa mfano wa kifo wakati anakuwa kuhalisia hajafa,huyu kazi yake ni kwenda kutumikishwa kazi bila ridhaa yake na hutolewa ufahamu hawajui chochote kile

Nitasimulia Kisa chá huyu mwanamke,amezaa mototo kamtunza kamsomesha mpaka akapata Kazi,na kijana akalipa fadhila kama watoto wengine kwa kuwahudumia wazazi wake Kwa mahitaji mbalimbali,laki mwisho wa siku yeye mwenyewe mama yake kamuuwa mwanaye na kumfanya msukule,ambaye kazi yake ni kumlimia mashambani.Sasa unaona ni jinsi gani uchawi usivyokuwa na faida,jiulize swali moja umeshawi kumuona mtu mzee huwa analima pele yake lakini utashangaa anapata mazao mengi sana,jua kuna namna

Na hawa misukule huwa wanakuja kufa Kwa mala ya pili Sabubu mwenye kuitoa roho ya mwanadamu ni Mwenyezi Mungu peke yake
 

Hapo huenda walau mmepona sasa.
Nazani hakuna chipukizi.
Ingawa wengine wanawawahi wakiwa watoto na kuwatishia wakubali kurithi mikoba ya uchawi.

Familia ikiwa na uchawi hamsongi mbele kimaendeleo ,
Kila anaejitokeza kufanikiwa wanamuwekea husuda na kuroga kumpa mitihani kumkwamisha, kwenye ndoa, afya na uchumi akwame kila eneo.
Target zao ni kuharibia wanaoinuka kufanikiwa (wanasema anaringa).
Ukiwa lofa wala hawahangaiki na wewe.
Labda uwe binti Mrembo pia huwa wanawatia nuksi wasipate mabwana wa maana, au akipata Mwanaume wa maana anarogwa asizae.
Mchawi hata akiwa mama yako mzazi hafai maana ukifika zamu yake ya kutoa kafara kama wewe umefanikiwa kimaisha anakutoa.
Hata kama wewe ndie msaada na tegemeo kwake hajali.
Wanasema hawali vinyonge.
Utoke kafara itakayokuuma.
 
Uchawi ndio dhambi pekee ambayo Mungu kwenye Biblia ameruhusu Mchawi auliwe, auwawe ikithibitika kuwa Mchawi .
Mungu ni wa huruma sana lakini ukiona hadi ameruhusu iwe hivyo inamaana anajua madhara yatokanayo na Mchawi ni mabaya kupita kiasi.
 
Wachawi wakurithishwa huwa wanapimwa wakiwa wachanga kabisa ndani ya siku 7 iwapo warithishwe au la.
Wanaenda kuwaweka mlangoni mwa nyumba 2-3 tofauti.
Wakikuta yuko macho hajalala wanajua Huyu akijakurithishwa uchawi Atafaa na atakubali na akuwa katili gangwe bandidu.
Wakikuta kichanga kimelala au kinalia wanajua huyo hafai kuja kurithishwa uchawi. Wanasema watasumbuana kukubali kurithishwa.
Wanamlea kawaida tu.

Wachawi Mungu apapasue na watoto wao hata kama ni ndugu wa damu.
 
Mchawi akiwa ndugu wa tumbo moja au mzazi au mke au mume ni balaa.
Au mkwe maana atapitia kwa mwanae kuchukua vitu na mizimu ya kwenu.
Balaa.
 
Don't have magical beliefs
 
Unaweza ukawa hujui kama famiria yako ni ya kichawi,ukafanikiwa kuowa mwanamke mwenye jicho la tatu atajua fika familia yako ni ya kichawi,watafanya juu chini kumuuwa,wakishindwa watajaribu kufalakanisha ndoya yenu,yaani mnajikuta mnagombana Kila siku,
Na hapa penyekugombana kama wewe ni mume,na mama yako ndiye mchawi basi atajivalisha kivuli chake kwako inamaana kila mkeo anapokuona ni hasira juu yako na maugomvi Kila siku na itawafanya msambaratike kiuchumi sababu hamko pamoja, kama hamjaachana basi tegemea mmoja wenu kufa kifo cha kichawi,na mara nyingi wamekuwa wakimfanya mtu anakufa kwa kuanguka au usingizini utasikia presha
 
Wachawi wamekuwa wakiharibu mimba za wakwe zao,mabinti zao mpaka wajukuu zao,na hizi mimba mara nyingi ni zile za miezi mitano na sita,
Akishaiharibu raha yake ni kuvila viumbe,wewe unazani mmezika kumbe ni mazingaombwe, ,nazani kuna nguvu fulani wanaipata kuwala wale watoto
Nawashauri wanawake mkimbilie kwa Mwamposa akawasaidie kuzilinda mimba zenu kwa uwezo wa Mungu
 
Wachawi wengi ni wanawake asilimia ndogo sana kukuta wachawi wanaume,na mchawi mwanamke anaweza kuishi miaka mingi pasipo mumewa kujua,kama mkewe ni mchawi,atakuwa anauwa watoto huku anamuacha mumewe na majonzi makubwa, si mnajua uchungu wa kufiwa, itafikia wakati anawarithisha uchawi mpaka watoto zake wa kike lakini mume hajui chochote kinachoendele,na wanaweza kusaidiana na watoto zake wakamuuwa mpaka mume mwenyewe
 
Kwanza Anza kuishinda hofu vingine vyote ni vyepesi
 
Sawa kiboko ya wachawi
Mimi siyo kiboko ya wachawi wala sina uganga,nasimulia jamii inayoyapita ndiyo maana nawaelekeza watu waende Kwa Mwamposa na mimi ndiko nilikoponea kama siyo yeye sasa hivi ningekuwa msukule,
Lakini naona kama umekwazika?
 

Na Mchawi mwanamke ni katili maradufu kuliko Mchawi Mwanaume .
Na ndio maana Imeandikwa mahususi “ asiachwe mwanamke Mchawi kuishi” maana yake auliwe, auwawe.
Mchawi mwanamke ni katili kupita maelezo.
Mungu awahukumu
Na kuwaangamiza na vizazi vyao s
Kama ulivyoandikwa
 
Kwanza Anza kuishinda hofu vingine vyote ni vyepesi
Siyo kwa mchawi bila nguvu za usaidizi za watu wa Mungu anapita na wewe,kuna watu wako kwenye nyumba za ibada ni washika dini wakubwa,wanamiliki misukule wengi sana mpaka inasikitisha ni wachawi wakubwa na wanajuana na wanasaidiana kufichiana Siri zao
 
Kule bara wanavyoua wachawi wanatimiza
Maandiko Matakatifu maana ndivyo ilivyoagizwa na Mungu
 
Pole sana mkuu mwanamke akishika uchawi ni hatari sana ni vile hatuna muda lakini tukiandika hapa kuhusu uchawi unavyofanya kazi na yaliyotukuta watu watalia humu kabisa, Uchawi ni mbaya sana usikie tu kwa kuhadithiwa,
Mtu anapokuwa mchawi kafanya kiapo kikubwa sana ambacho adipofata masharti kinamwangamiza mwenyewe ndio maana wanakuwa wasili sana, ili kupata uchawi kzma urithi watj hufanya mapenzi na wazazi wao,dada zao,bibi zao sio mchezo kabisa fikilia unakula mbususu ya bibi au mzazi,kuingiliana kinyume na maumbile kila uchafu huko ni halali kabisa na ni sehemu ya ibada kwao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…