Je, ulishawahi kuaibika katika mazingira mabaya?

Sitokaa nisahau toilets za terminal mpya Jomo Kenyatta International Airport Nairobi mwaka 2016. Nimeingia chooni nimemaliza issue zangu natoka kunawa mikono nashangaa koki ya kufungua ili maji yatoke siioni. Wacha nihangaike. Gusa hapa gusa kule, hamna kitu....hahahaa....kumbe zile taps ni automatic ukiweka tu mkono ikisense maji yanatoka yenyewe.....nilijikuta natafuta CCTV camera asije akawa ameniona mtu nlivokuwa nahangaika mle ndani looh!
 
Tongoza demu si chini ya miez sita lakini kabana...nilijinadi kwa sera nyingi ikiwemo....naweza kumkimbiza 6hrs bila pumziko...mara hapa ntakukojz hadi uishiwe maji.....mara mikunjo yangu lazima uruke ukuta wa kwenu kufuata gemu....yan dem akaniona dume si ndio ili na mkifua wangu umetuna ukichanganya na stail yangu ya kunyoa upara..basi baada ya kampen yangu kufua dafu mtoto huyu hapa gheto tena kaja kulala kabisa....owky Aibu mwanaume Baada ya kulambana lambana weeeee mda wa kuchovya ukafika ile nachovya mara ya kwanza...ya pili.....ya tatu...ya nne...ya tano.....mara mzee katapika....mtoto wa watu mzee kalala doro haamki....pumpu lakin wap....yaan goli moja tu tena chuni ya 2mns...Nimebaki natokwa jasho mrembo anauliza vp baby Ulisema 6hrs mbona ushazima......Nkajitetea unajua leo blabla nyingiiiiiiii....nilipewa kofi na bonge la sonyoo(sunya/vyonza).......Dah Kwa sasa sijinad kwa sera zisizo timizika.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Natamani nikupe like kumi Like, like, ulikuwa na umri gani? ulipaniki?.
 
Duuh yaan kwa kusimulia tu napata aibu
 
Kuna siku nilikua nafanya paper ya physics ukiangalia cjui a wala b,ikabidi niandae kachabo wacha nikamatwe ikabidi nisimamishwe mbele ya darasa kuomba samahan nilipata aibu toka siku hyo niliacha ujinga nilisoma kwa bidii sana mana nilisema aibu hii siitaki maishan tena.from there nikawa kichwa mzee wa kukill the night nasoma nisifel paper
 
Bora ungekuwa na blueband ungekumbuka Haaaa yaani nimecheka balaa.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nakumbuka Nikiwa Darasa la tatu asubuhi nikiwa Primary school shule moja Kyela huko vijijini Basi tukawa tumechelewa kuhesabu namba. Ile mwalimu anaanza kupiga walochelewa nikalala haraka chini akapiga fimbo kama tatu nikatoa kituko ambacho niliona ni ujanja........ Itaendelea [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Hahahahaaaaaaa..........Mkuu ulimzingua Parako?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…