Je, ulishawahi kuaibika katika mazingira mabaya?

Hahahaha [emoji23] [emoji23] [emoji23] kweli hiyo ilikuwa ya karne
 
Mimi nakumbuka kwa mara ya kwanza natumia blue band licha ya kuweka kwenye mkate nikawa naweka na kwenye matango,nyanya na carot, sasa ukila na matango blue band inanasa juu ya fizi nikaamua niombe toothpic kaka akaniuliza mbona umekula nyanya tu tooth pic ya nini nikamwambia niliweka blue band sasa imenasa juu ya fizi, kaka akaniuliza kwanini nimeweka blue band kwenye nyanya nikamjibu nimeona kwenye kopo lao la blue band wameweka picha ya vitu hivyo nikajua kuwa naweza kutumia vitu hivyo na blue band kumbe ni baadhi ya vitu vilivyotumika kutengeneza blue band hiyo nilijisikia aibu siku nzima
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] ww umenfanya nicheke usiku huu kama kichaa
 
[emoji23] [emoji23] [emoji13] mbavu zangu
 
kpnd icho sasa ndio ka dogo dogo flan iv tupo ugenin kama kwa mwez iv lkzo asubuh tumenunuliwa miswak ndugu mwenyew mkuda balaa c nkajitia ujuaj najua kufungua mwenyew mara Twaaah nmeuvunjia apa karbia na brush asee nliutumia mpka cku tunaondoka ka kpande cha mswak ukfanya masihara unakameza asee cta sahau
 
ilikua form3 majira ya asubuhi nimegonga chai na kiporo cha makukuru then tumeingia kupiga test, basi tumejipanga fresh kilamtu na kiti chake, mm npo katikati ss ile tumegaiwa karatasi za maswali tumbo likavuruga kidogo afu nkaskia kama kigesi chembamba kimegonga hodi, kuangalia kulia na kushoto raia wakobize wanaperuzi maswali, nikawaza kwan nani atajua bhana pasipo iyana nikapumua kibingwa[yusuphhh], duh sikujua nilichofanya kilikua na maajabu gani mpakapale nilipoona darasa zima wakiongozwa na msimamizi wakitokanje speed huku wakipiga kelele na mm nikafuata mwisho sikumbuki walichosema lkn nlisikiawakitaja jinalangu huku wakicheka sana, duh huwezi amini nlijikuta natabasam maskini mm
NB:fikiri mara mbili kabla hujaachia shuzi la kimya kmya
 
Sasa ulikua unamkimbia nini?

Afu umetudharilisha weusi.

Wataona sie sio wakakamvu, how comes uchoke haraka afu mchina awe fit bado[emoji1]
 
Now itabidi nichekee pm maana...sio kwa ugumu huo kuwanyima wanajukwaa kucheka.

Planett kanichekesha saana kufukuzana na polisi wa kichina. Walivyo vijeba naamini hakukatiza hata corido 2
Wananguvu?
 
Sasa ulikua unamkimbia nini?

Afu umetudharilisha weusi.

Wataona sie sio wakakamvu, how comes uchoke haraka afu mchina awe fit bado[emoji1]
mkuu ile dhahama we acha tuu omba yasikukute na ile lugha yao sijui walikuwa wanaambizana we msimamishe huyo basi nilikuwa naskia makelele tuu nikajua wanapiga kelele za mwizi huyoo...
 
Ejooo ndio nini sasa?[emoji23]
 
mkuu ile dhahama we acha tuu omba yasikukute na ile lugha yao sijui walikuwa wanaambizana we msimamishe huyo basi nilikuwa naskia makelele tuu nikajua wanapiga kelele za mwizi huyoo...
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
mkuu ile dhahama we acha tuu omba yasikukute na ile lugha yao sijui walikuwa wanaambizana we msimamishe huyo basi nilikuwa naskia makelele tuu nikajua wanapiga kelele za mwizi huyoo...
Yani wewe ni tatizo khaaaa
 
Haha..unanikumbusha na mie iliwahi kunitokea. Nilikuwa sehemu hivi nimekaa halafu kuna mzee mmoja alikuwa amekaa pembeni yangu,basi tumbo lilitoa muungurumo wa ghafla na nilikuwa nimekaa chini..yule mzee akageuka akaniangalia kisha akahama sehemu nyengine.

Mi nikajikuta nacheka tu mwenyewe kwa jinsi tumbo lilivyonitia aibu,maana ilikuwa ngumu mtu kukuelewa kuwa ilikuwa ni muungurumo wa tumbo tu na mambo mengine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…