Je, ulishawahi kuaibika katika mazingira mabaya?

Usichukulie serious.....wengine tunataka tujue ili tusiaibike....tumezoea chai/kahawa 500/-.
 
Labda umwambie ni Hotel gani hio uliokunywa kahawa vikombe viwili 22500/-. Atakuelewa.
Sikutaka kujibu sababu ya u ligi mzee. Na identity. Ila siku ukija ngorongoro au kama unafikaga ustue nipo muda wote hapa mamlaka idara ya maji nitakupeleka kwenye hiyo kahawa.
Ha ha ha, ngoja tusubiri tuone kama atajibu.
 
Sikutaka kujibu sababu ya u ligi mzee. Na identity. Ila siku ukija ngorongoro au kama unafikaga ustue nipo muda wote hapa mamlaka idara ya maji nitakupeleka kwenye hiyo kahawa.

Bila shaka mkuu, tahadhari ni muhimu sana.
 
Sawa bwana ila hizo bei zenu mnazotaja sidhan kama ni ukwel yaan vikombe viwili 22500Tsh
Hahaha...ujue mwenyew nacheka pia. Ok wewe Mondray bei yako ya mwisho kunywa kahawa ni shingapi toka ukue
 
Mimi bwana niliumbuka huko Schippol Amsterdam. Mara ya kwanza kuingia nchi za watu nilikuwa sijawahi kutumia esclators zaidi ya kuziona kwenye movies. Sasa nimeingia Schippol airport nakutana na escalators nikazikwepa nikatumia ngazi! Kufika mbele mambo ya kubadili terminal kuna sehemu inabidi nitembee nafikiri about 100m hamna namna kuna moving walkay tu inabidi uzitumie.



Sasa kwenye ndege nilikutana na dogo mmoja kashaenda sana huko kazoea tukawa tunaongozana, dogo akapita humo kama mchezo, mtu mzima nikairukia! Aisee bado kidogo nipige mwereka nikawahi kushikilia railings! Yule dogo alicheka hadi akakaa chini! Akanielekeza jinsi ya kutumia 'kila kitu kina mara ya kwanza'.
 
Hahaha...ujue mwenyew nacheka pia. Ok wewe Mondray bei yako ya mwisho kunywa kahawa ni shingapi toka ukue
Ila hujakosea mimi nikiingia hizo hotels huwa sinywi kahawa.....hata buffet breakfast/brunch huwa situmii kahawa maybe chai.
 
Mbavu zangu mie
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]...mkuu niruhusu nije pm nikuulize kitu.
 
Sh mia mtaaani, home napendelea kununua pakti la kahawa then najitengenezea mwenyewe
Mwenyewe nilijichanganya siku hiyo tu mkuu...hadi na leo nikiingia nakuwa makini saana.

Kule hupewi na vile viglass unapewa chupa ya maji ya moto + kikombe sukari na kahawa unajipimia Vikombe vyako. Sasa sikujua ukibakiza hayo maji kuna bei yake . Na pia ukimaliza kuna bei yake. Mimi nikabugia kachupa kote ha ha ha ha ha
 
Kahaea alfu ishna tano,wapi ulikunywa hii kitu,au Starbucks.
 
Hahaaaaaaa pole brother daah tatizo mnapenda kwenda kwenye mahotel makubwa
 
Huwezi kunishinda saundi niliyowapiga walimu ofisi nzima wakakubaliana na mm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…