Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,682
- 98,253
Haha ikabidi tu utoe hela mwee. Umenikumbusha story ya kiminiMambo ya kuvaa kimini alafu unataka kuvuka mtaro, mpasuo paaaaa, weeeeh!! Acha kabisa.
Kuna siku nilikuwa darasa la 5 au 6 hivi, nikawa napita mitaa ya sokoni. Nimevaa kakimini kangu ka kuchanua, najishaua tu. Basi bana kuna kichaa fulani hivi, akaninyatia kwa nyuma huyoo akanifunua mwaaaaaa, jamani nashukuru nilivaa teitei. Miguu ilistuck jamani, I felt so embarrassed khaa