Je, ulishawahi kuaibika katika mazingira mabaya?

Je, ulishawahi kuaibika katika mazingira mabaya?

Nakumbuka nilialikwa mahali kwenye sherehe.. Mda wa msosi ukawadia, self service maana watu tulikua wachache..
Kupita kwenye bufe nikaona kitu kama rojo ila naona wengine wanachota kidogo, kufika nikajaza full... Kuja mezani kuanza kula, khaa kumbe ni pilipili na nimeijaza karibu sahani nzima..
Siku hiyo niliaibika hatari sana..
 
Kati ya thread zooote nilizowahi kusoma hapa jamii forums, this is the best!!! [emoji1544][emoji1544][emoji1544][emoji1544][emoji1544][emoji1544][emoji1544][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122] kwa mleta uzi!!
 
Mimi ninayokumbuka ni hii moja!
Kipindi hicho nasoma o'level nikateuliwa niwe kiongozi wa chakula wa muda......
sasa ile sysytem ya kupanga mistari chakula cha jioni nikakuta wapo wamerundikana tu wasichana wengi......nikatoka na masifa yangu huko nikarusha teke ili watawanyike!

Sasa nilikua nimevaa jeans sijui nini kilitokea wakati nanyanyua mguu nikakosa balance, nikabamiza kidevu chini.....lol
kidogo nishindwe kuinuka pale chini

niliumia kweli mpaka leo nina alama ila niliaibika kweli!
utoto shida sana
hahahaha na viongozii wa chakula mnakuwaga wanoko balaaaa....
 
Usiombe kuokota mi demu ambayo haina aibu...ilinitokea nipo na mlupo tunaburudika na mashujaa band ilikua kino..kumbe kawabonyeza ma shost zake ahhahaa aisee akaja wa kwanza nikaona hii show naicheza na wanabugia beer si ki sport..cjakaa sawa kaja mwingine na anavyokuja kana kwamba alikua hajui kama mwenzie yupo humo kumbe wana code no zao..nikaona isiwe tabu nikalipa bill kwanza nikajifanya nimepigiwa sim ya emergency nikaamsha
 
Me kuna siku alikuja mgeni home so nikaambiwa nikale na mgeni ilikuwa ni kitu adimu sana l considered myself kama luckiest person in the house, wakati tunakula nikawa namshangaa mgeni mpk nikatosa tonge la ugali kwenye bakuli la maji ya kunawa kiruuu... Mgeni akatabasamu akanipa pole na kunisogezea bakuli la mboga karibu

Bila shaka hapo ulikuwa natamani soda ya mgeni. Heeeheheeh
 
Mimi nakumbuka nipo chuo Iringa wakati wa group presentations si unajua tena ushapiga jumba lako jeusi ili uongezee marks walau, sasa shughul ikawa tunataka kupanda group zima stejini lecturer akasema no need apande tuu mmoja...straight akanipoint mimi na hata kazi nlikua siijui inafananaje 🙂
Macho yalinitoka na lisuti lako kijasho kwa mbali..basi ile hofu kupanda stejin nikaikosa ngazi nlibiringita hadi chiniiii..kuficha aibu wallah sikuinuka nkajifanya kuzimia!!!
...that was my embarrassing moment ever
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
mim nakumbuka kpndi hicho ndo ile Tv za kuhesabika mtaan, tukawa kwa jiran tumekusanyika usiku hiv watu wa kila rika, baba mweny nyumba akadai volume kubwa ipunguzwe bas ile kuangalia remote hii hapa ubavun kwang mzee akanipoint ``ww hebu punguza remote hyo hapo kwako" mixer kuna watoto wa kike wazur wa mweny nyumba nkaishika ile remote nkabofya ktufe ilimradi hee kumbe nimezama kweny setting watu waka-shout aaaah wengne wakasonya maana jns ya kurud sasa kutoa kipengele cha setting mtihan nmebak ak naikodolea remote, mtoto wa mweny nyumba akaichukua faster kaweka sawa mambo
chin chin naskia minong'ono kama hujui si useme tu sijui... bas ilbd iwe mwanzo na mwsho kwnda kuangalia tena Tv kwa baba flan.
daaaaah[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] yan nimejarib kuvuta had pich jins ulivyokuwa umekodoa macho[emoji102] nimechek sana uliondoka au ulibak kuangalia
 
Nakumbuka zamani rafiki yake kaka yangu alikuwa na demu wake walikuwa wanasoma chuo kimoja. Jamaa alikuwa anampenda saana.

sasa kuna siku huyo demu alikuwa anasafiri jamaa akaamua amsindikize. Kapakata yale mabegi ya kichina yanayoitwa omaga. Kukaribia stand basi linataka kuondoka ikabidi waonze vimbio kidogo[emoji23][emoji23]. Ili Kupata balance huyo jamaa akaliweka begi kichwani. Ile kuikaribia ngorika begi likachanika zip vitu vyote chini puuuuu.

Kilichofuata vichupi vipendi vimswaki vitait vyote na vipedo vikatapakaaa chini jamaa kabaki na libegi la demu wake kichwaniiii [emoji23][emoji23][emoji23]. Jamaaa aliaibika dirishani abiria demu ikabidi akimbilie vichupi kwanza kuvikusanyaaa [emoji23][emoji23][emoji23]
 
daaaaah[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] yan nimejarib kuvuta had pich jins ulivyokuwa umekodoa macho[emoji102] nimechek sana uliondoka au ulibak kuangalia
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
sitasahau primary nilikatokea kademu kakiarabu sasa nilipanga kukagegeda saa nane mda wa kurusiwa ilipofika saa nane kakaja darasani kwetu machali wakapata habari wakaja wote tulikua kumi demu mmoja mwarabu tulimgegeda kesho akaja na mama yake shuleni demu analia tulivunja bikra mama yake analalamika demu akanitaja na mimi nikawataja wenzangu tulikula bakora za kutosha
 
Niko darasa la pili, miaka hiyo ya 90. Ni muda wa mapumziko, tupo na mpira wa chandimu, tunacheza mbele ya darasa na wenzangu!!

Nimebanwa ushuzi, nikaona isiwe tabu kwenda nje, nikajisemea kimoyomoyo, ngoja niwakomoe ntajamba kwa nguvu na kwa sauti !!

Shetani akawa upande wangu!! SIKUJAMBA.

Nilikunya mbele ya darasa, kilichosaidia nilikuwa na pensi ndani, nikakimbia toilet nikasaula pensi nikatupa ndani ya choo kilichojengwa kwa msaada wa HESAWA.

sorry! it was surposed to be a secret!
 
Mimi nakumbuka nipo chuo Iringa wakati wa group presentations si unajua tena ushapiga jumba lako jeusi ili uongezee marks walau, sasa shughul ikawa tunataka kupanda group zima stejini lecturer akasema no need apande tuu mmoja...straight akanipoint mimi na hata kazi nlikua siijui inafananaje 🙂
Macho yalinitoka na lisuti lako kijasho kwa mbali..basi ile hofu kupanda stejin nikaikosa ngazi nlibiringita hadi chiniiii..kuficha aibu wallah sikuinuka nkajifanya kuzimia!!!
...that was my embarrassing moment ever
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom