Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,682
- 98,253
Hahahah acha tu kwa kweli.[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Eti ulifanya nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahah acha tu kwa kweli.[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Eti ulifanya nini?
[emoji26]Me niliwah kugombania daladala yan ule mbanano na mvutano wa mlangoni mpaka nafika kwenye siti vifungo vya blauzi vyote vimetatuka brazia hii hapa
hahahaha na viongozii wa chakula mnakuwaga wanoko balaaaa....Mimi ninayokumbuka ni hii moja!
Kipindi hicho nasoma o'level nikateuliwa niwe kiongozi wa chakula wa muda......
sasa ile sysytem ya kupanga mistari chakula cha jioni nikakuta wapo wamerundikana tu wasichana wengi......nikatoka na masifa yangu huko nikarusha teke ili watawanyike!
Sasa nilikua nimevaa jeans sijui nini kilitokea wakati nanyanyua mguu nikakosa balance, nikabamiza kidevu chini.....lol
kidogo nishindwe kuinuka pale chini
niliumia kweli mpaka leo nina alama ila niliaibika kweli!
utoto shida sana
Me kuna siku alikuja mgeni home so nikaambiwa nikale na mgeni ilikuwa ni kitu adimu sana l considered myself kama luckiest person in the house, wakati tunakula nikawa namshangaa mgeni mpk nikatosa tonge la ugali kwenye bakuli la maji ya kunawa kiruuu... Mgeni akatabasamu akanipa pole na kunisogezea bakuli la mboga karibu
Palikua na watu wa heshima kumbe yeye alisoma ile kozi, mi nikajua huku mkuranga nawatisha tuha haaa haaaaa nimecheka hadi machozi yananitoka.....lol
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mimi nakumbuka nipo chuo Iringa wakati wa group presentations si unajua tena ushapiga jumba lako jeusi ili uongezee marks walau, sasa shughul ikawa tunataka kupanda group zima stejini lecturer akasema no need apande tuu mmoja...straight akanipoint mimi na hata kazi nlikua siijui inafananaje 🙂
Macho yalinitoka na lisuti lako kijasho kwa mbali..basi ile hofu kupanda stejin nikaikosa ngazi nlibiringita hadi chiniiii..kuficha aibu wallah sikuinuka nkajifanya kuzimia!!!
...that was my embarrassing moment ever
Hahahahahaha poleeee Bi dadaMe niliwah kugombania daladala yan ule mbanano na mvutano wa mlangoni mpaka nafika kwenye siti vifungo vya blauzi vyote vimetatuka brazia hii hapa
...Ni 100Tsh kahawa per cup and Tea ni 200Tsh per cupUsichukulie serious.....wengine tunataka tujue ili tusiaibike....tumezoea chai/kahawa 500/-.
daaaaah[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] yan nimejarib kuvuta had pich jins ulivyokuwa umekodoa macho[emoji102] nimechek sana uliondoka au ulibak kuangaliamim nakumbuka kpndi hicho ndo ile Tv za kuhesabika mtaan, tukawa kwa jiran tumekusanyika usiku hiv watu wa kila rika, baba mweny nyumba akadai volume kubwa ipunguzwe bas ile kuangalia remote hii hapa ubavun kwang mzee akanipoint ``ww hebu punguza remote hyo hapo kwako" mixer kuna watoto wa kike wazur wa mweny nyumba nkaishika ile remote nkabofya ktufe ilimradi hee kumbe nimezama kweny setting watu waka-shout aaaah wengne wakasonya maana jns ya kurud sasa kutoa kipengele cha setting mtihan nmebak ak naikodolea remote, mtoto wa mweny nyumba akaichukua faster kaweka sawa mambo
chin chin naskia minong'ono kama hujui si useme tu sijui... bas ilbd iwe mwanzo na mwsho kwnda kuangalia tena Tv kwa baba flan.
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Na ulivyo na nyonyo kubwa sasa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mimi nakumbuka nipo chuo Iringa wakati wa group presentations si unajua tena ushapiga jumba lako jeusi ili uongezee marks walau, sasa shughul ikawa tunataka kupanda group zima stejini lecturer akasema no need apande tuu mmoja...straight akanipoint mimi na hata kazi nlikua siijui inafananaje 🙂
Macho yalinitoka na lisuti lako kijasho kwa mbali..basi ile hofu kupanda stejin nikaikosa ngazi nlibiringita hadi chiniiii..kuficha aibu wallah sikuinuka nkajifanya kuzimia!!!
...that was my embarrassing moment ever