Je, ulishawahi kuaibika katika mazingira mabaya?

Mambo ya kuvaa kimini alafu unataka kuvuka mtaro, mpasuo paaaaa, weeeeh!! Acha kabisa.
Haha ikabidi tu utoe hela mwee. Umenikumbusha story ya kimini

Kuna siku nilikuwa darasa la 5 au 6 hivi, nikawa napita mitaa ya sokoni. Nimevaa kakimini kangu ka kuchanua, najishaua tu. Basi bana kuna kichaa fulani hivi, akaninyatia kwa nyuma huyoo akanifunua mwaaaaaa, jamani nashukuru nilivaa teitei. Miguu ilistuck jamani, I felt so embarrassed khaa
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
[emoji3] [emoji3]
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Nilidanganya nasoma kozi flank udsm ,ilikua mkuranga huko nikashangaa kaibuka broo mmoja kaanza kuni tight Mara lecturer huyu na yule unawajua nikisema nawajua ananiuliza wanafundisha mini Aisee nilikwama na kudhalilika sana
[emoji3] [emoji3]
 
Nilidanganya nasoma kozi flank udsm ,ilikua mkuranga huko nikashangaa kaibuka broo mmoja kaanza kuni tight Mara lecturer huyu na yule unawajua nikisema nawajua ananiuliza wanafundisha mini Aisee nilikwama na kudhalilika sana
[emoji23] [emoji2] [emoji23]
 
Hahaha wewe yako itakuwa ya mwaka huu ukaona ubadilishe na ID kabisa. Nani huyo alikutapeli mitandio?

Hahahaaaa!!! Hata sio ya mwaka huu, ya kitambo kidogo bwana. Si unajua ukiwa na shida mtu anatake advantage so aliponitajia bei hata sikubargain niliuchukua tu nikaufunga na kusepa.
 
Dadex... Hahahahahah
 
Ilashamtokea Heaven Sent nakumbuka
 
Ungevua afu usingizie labda ni chemba itakua imeachia.
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Suluali ndo nini?
 
Comment of the year, if nothin else!
 
Nakumbuka enzi hizo kwenye somo la kiingereza ticha aliniita mbele nikaongee na mwanafunzi mwenzangu

Ah basi nikajivuta vuta nikaenda...basi jamaa akaanza gud mrng mi hata sijui nijibu Vp nikasema "thank you" basi darasa zima lilianza kucheka halafu ndiyo niko mbele dah ilikuwa bonge la noma.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
nakikumbuka tukio moja uwa nacheka sana

nilikuwa darasa la pili kwenye shule za kata, katikati ya mwaka kabla sijaingia darasa la tatu wakaniamishia shule hizi mnazoziita sijui ndio english medium...

kama kawaida ya shule hizi walikuwa wanatabia ya kusoma attendance/ register. sasa muungwana mimi utaratibu huo sikuuzoea kutoka shule yangu ya mwanzoni. lugha inayotumika ni englishi.

wenzangu wanaelewa kama mtu yupo, atajibu mwenyewe na neno la "present" na kama hayupo,basi rafiki yake au mtu anayejua taharifa zake atamjibia "absent" muungwana mimi sikujua huo uwakilishi wa present na absent. kuna waungwana kama wa tatu walikuwa na kama week nzima hawajatia mguu darasani,

majina yao yakiitwa washikaji wanawajibia ukizingatia na mimi siwafahamu .mwalimu kila siku akija kusoma majina akifikia kwangu nasema " present " siku inaisha wale washikaji kila siku wao wakiita majina ya rafiki zao ambao hawapo wanaitikia kwa kusema "absent " basi me nikawa naona kama ni style yao na ukizingatia wameshaitikia present pale walipotajwa majina yao.

basi nikasema namimi kesho nabadilisha style ya kuitikia .mwl. alipofikia kwenye jina langu nikaropoka "absent" wacha darasa wanicheke yule mwl. alijua nimemfanyia makusudi nilikula stiki kadhaa niliona aibu achaa.
 
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…