Je, ulishawahi kuaibika katika mazingira mabaya?

Unazo taarifa mnatakiwa kuripoti kituo cha kati cha polisi?
 
[emoji23][emoji23]
 
Nilidanganya nasoma kozi flank udsm ,ilikua mkuranga huko nikashangaa kaibuka broo mmoja kaanza kuni tight Mara lecturer huyu na yule unawajua nikisema nawajua ananiuliza wanafundisha mini Aisee nilikwama na kudhalilika sana
ha haaa haaaaa nimecheka hadi machozi yananitoka.....lol
 
mim nakumbuka kpndi hicho ndo ile Tv za kuhesabika mtaan, tukawa kwa jiran tumekusanyika usiku hiv watu wa kila rika, baba mweny nyumba akadai volume kubwa ipunguzwe bas ile kuangalia remote hii hapa ubavun kwang mzee akanipoint ``ww hebu punguza remote hyo hapo kwako" mixer kuna watoto wa kike wazur wa mweny nyumba nkaishika ile remote nkabofya ktufe ilimradi hee kumbe nimezama kweny setting watu waka-shout aaaah wengne wakasonya maana jns ya kurud sasa kutoa kipengele cha setting mtihan nmebak ak naikodolea remote, mtoto wa mweny nyumba akaichukua faster kaweka sawa mambo
chin chin naskia minong'ono kama hujui si useme tu sijui... bas ilbd iwe mwanzo na mwsho kwnda kuangalia tena Tv kwa baba flan.
 
Hahahahaha....ukome nafikiri umeshanunua yako mkuu
 

Hahahhahahahahhahahaha
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wewe mtu looo
 
Hahaahaahhahajaa
 
Hahaha ngoja nikumbuke khaaa. Usimulie yako pia
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] yangu nilikosea hapa jf...ktk kutuma picha

nikakuta nimetuma yangu then mbaya zaidi ile picha sasa ht kwenye camera haieneii...

pua hiloo na nlitokwa na chunusi kipindi hcho weee...!!!
thanks to@Bonny akantumia msg whasap fastaa...maana aliiona ile picha

akaniuliza 'why u have put ur picture jf...!!'

nkamjibu'mimi?'

akasema 'ndiyo akaniambia nenda kwenye Uzi Fulani nimekuquote' nkaenda fastaa...

weee ile picha sasaa...front page nakuambia ukifungua umeiona nilivurugwaaaa...

maana daahh!acha tu!nkamtumia msg invisible hakujibu

nashukuru kuna sehemu nkaclick kwenye simu ikafutika

nikapoa sasa roho...

sasa@Bonny alinichekaaa...vbaya mnooo...

Ila for sure alinisaidia Sanaa tu!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji15]sisahau bina...!!!
 
Khaaaa bina mbona sikuiona hiyo jamani lol

Me nilijibu pm ya mtu kwenye comment mweee
 
Weweee yani niliiandika kama comment tu ya thread. Uzi hata hauhusiani
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji15] loooohhh!!!

usiombe kukutwaaaa....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…